Baada ya kikao kizito hatimaye Mshambuliaji wa Yanga Sc, Fiston Mayele ameamua kuondoka klabuni humo mwishoni mwa msimu huu baada ya kudumu kwa muda wa miaka miwili
Mayele anataka kwenda kutafuta maisha sehemu nyengine, na hivi sasa anatathmini kuchagua klabu gani nyengine mpya ya kufanya nao kazi
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii