Zlatan Ibrahimovic Astaafu Kucheza Soka

Straika huyo raia wa Sweden ambaye ni Zlatan Ibrahimovic ametangaza kustaafu akiwa na umri wa Miaka 41 baada ya kucheza Soka kwa Miaka 24

Amestaafu akiwa anaichezea ACMilan, timu aliyoiwezesha kutwaa ubingwa wa #SerieA Mwaka 2011 na 2022, ikikumbukwa kuwa Miezi kadhaa iliyopita alisema hana mpango wa kustaafu licha ya kuandamwa na majeraha na umri nao kuonekana kumtupa mkono

ZlatanIbrahimovic amecheza mechi 988 ngazi ya Klabu na Taifa. Klabu alizocheza kuanzia Mwaka 1999 ni; Malmo, Ajax, #Juventus, #InterMilan, FCBarcelona, AC Milan, PSG, #ManchesterUnited na LAGalaxy
-

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii