logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 3, 2025

Kijana Afariki Dunia: Ajinyonga Kwa Kutumia Manda Wa Suruali

Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Halla, wilayani Babati, mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali, tukio ambalo limezua masikitiko makubwa miongoni mwa familia . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 3, 2025

Magari ya Chaumma yako tayari kuzipeperusha bendera za chama C4C Mwanza viwanja vya Furahisha

Magari yanayotarajiwa kutumiwa na Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kwenye uzinduzi wa operesheni yake ya C4C katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo Jumatatu Juni 3, 2025 zikiwa kwenye maan . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 3, 2025

Kesi ya rufaa ya Nyundo na wenzake inaendelea leo Mahakamani Dodoma

Mawakili wa serikali na wale wa upande wa utetezi wamejiandaa kwa kusikilizwa kwa kesi ya rufaa inayowakabili Nyundo na wenzake, waliokata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha maisha gerezani waliyopew . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 2, 2025

Ukraine inasema iliharibu ndege za kivita za Urusi kwenye Mji wa Siberia

Ukraine inasema ndege zake zisizo na rubani ziliharibu ndege za kivita za Urusi zenye thamani ya mabilioni ya dola za Marekani kwenye mji wa Siberia, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa Kiev kutekeleza ma . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 30, 2025

Marekani yatoa siku 60 Gaza kusitisha vita, kuachiliwa kwa wafungwa pamoja na mateka wote.

Israel imeeleza wazi kuwa Hamas lazima ivunje jeshi lake na mamlaka yake ya kisiasa na kurejesha mateka wote 58 waliobaki kabla ya kukubali kumaliza vita Mpango mpya wa Marekani kwa ajili ya Gaza ulio . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 29, 2025

Israeli yatangaza kifo cha Mohammed Sinwar, anayechukuliwa kuwa Kiongozi wa Hamas

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema siku ya Jumatano, Mei 28, kwamba Israeli imemuua Mohammed Sinwar, anayechukuliwa kuwa kiongozi wa Hamas katika eneo la Palestina lililoharibiwa na mie . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 29, 2025

Mwanafunzi wa Kidato cha 3 Apatikana Ameuawa Akielekea Shuleni Asubuhi

Polisi huko Siaya wanachunguza mazingira yaliyopeleka mwanafunzi kupatikana ameuawa karibu na ofisi za Shirika la Utangazaji la Kenya (KBC). Marehemu, mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri wa . . .

Afrika
  • Na Jembe Digital
  • May 29, 2025

MTUNZI WA RIWAYA NA TAMTHILIA GWIJI NGUGI WA THIONG’O AFARIKI DUNIA.

Ngugi wa Thiong’o Mwandishi gwiji wa fasihi kutoka Kenya ameripotiwa kufariki dunia  Mei 28, 2025 akiwa na umri wa miaka 87 ambapo taarifa rasmi zinaeleza kuwa Mwandishi huyo mashuhuri amefarik . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 28, 2025

WANAMGAMBO WANNE WAUAWA KWA KUKANYAGA BOMU

Wanamgambo wanane wanaoliunga mkono Jeshi la Nigeria kwenye vita dhidi ya makundi ya siasa kali wameuawa baada ya gari yao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika jimbo la kaskazini mashariki la Born . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 27, 2025

Cheti feki cha KCSE: Mbunge Sunkuyia atiwa mbaroni

MBUNGE wa Kajiado Magharibi, George Sunkuyia, amekamatwa na wapelelezi wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kwa kosa la kughushi cheti cha masomo cha Mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE).Mbun . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • May 27, 2025

Wezi wavunja kanisa, wafurahia sakramenti, divai na kuiba mali

MAJAMBAZI walivunja kanisa jingine katika kaunti ya Kirinyaga na kuiba mali ya thamani ya Sh120,000 usiku wa Jumapili Mei 25, 2025.Majambazi hao pia walikula sakramenti na kunywa divai ya kanisa katik . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • May 27, 2025

Kwa mwaka 2024/2025 Matukio ya vitendo vya ukiatili wa kijinsi na makundi maalum vimepungua

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu  amesema wizara yake imeshughulikia migogoro ya ndoa 97,234 katika kipindi cha Julai hadi kufikia Aprili 2025 kupitia Kitengo cha U . . .

Dini
  • Na Jembe Digital
  • May 27, 2025

Wezi wa Divai ya kanisa na kula Sakramenti wasakwa na police Kenya

Polisi Nchini Kenya wameanzisha uchunguzi kufuatia uvamizi katika kanisa la Kirinyaga ambapo wezi  walivamia na kunywa  divai ya madhabahuni huku wakishiriki kula mkate wa sakramenti pia kuo . . .

Afrika
  • Na Jembe Digital
  • May 26, 2025

MBUNGE KENYA ATUPWA KATIKATI YA SHAMBA

Nchini  Kenya Mbunge wa Juja George Koimburi amekutwa ametupwa akiwa hai katikati ya shamba la kahawa katika kaunti ya Kiambu nchini humo baada ya kukamatwa na watu wasiojulikana nje ya kanisa ka . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • May 24, 2025

DIWANI WA KIWERE AFARIKI GHAFLA

Diwani wa Kiwere Felix Waya amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025 baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo Wilaya ya Iri . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 24, 2025

CHUO KIKUU CHA HARVARD KUTOPOKEA WANACHUO WA KIGENI

Serikali ya Marekani imekizuia Chuo Kikuu cha Harvard kuandikisha Wanafunzi wa Kigeni ambapo imaelezwa imechukua hatua hiyo kwa kuwa #Harvard inaiunga Mkono Palestina pamoja na kushirikiana na Chama c . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • May 23, 2025

SAINI YA KIBALI CHA MAZIKO YALETA UTATA

Vurugu zimeibuka na kudumu zaidi ya saa kumi katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Mwea Mission iliyopo huko Karira, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya ambapo wanawake wawili na watoto wao . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • May 22, 2025

Mwanafunzi ashtaki shule kwa kujeruhiwa sikio

MWANAFUNZI ameshtaki Shule ya St Bakhita, Nairobi, akidai kuwa taasisi hiyo ilishindwa kumlinda baada ya kudaiwa kuadhibiwa na mwalimu mnamo Machi, jambo lililosababisha jeraha kwenye sikio lake.Kupit . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • May 19, 2025

KABURI LAKUTWA KATIKA SHAMBA LA VIAZI

Katika hali isiyo ya kawaida Kaburi linalodhaniwa kuwa amezikwa binadamu limekutwa katika shamba la viazi mtaa wa Edeni B kata ya Momoka manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa hali ambayo imezua taharuki . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 19, 2025

TAHADUKI YATANDA KENYA

TAHARUKI imetanda katika makazi ya Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya katika mtaa wa Milimani, Kitale baada kikosi cha maafisa wa kukabiliana na ufisadi EACC na DCI kuvamia nyumba yake Jumatatu as . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • May 18, 2025

WAZAZI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA KUTOA ADHABU KWA WATOTO

Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Dodoma Mratibu Msaidizi wa Polisi ASP Crister Kayombo amewataka waumini wa kanisa la Waadventista  Wasabato Msangalalee Jijini Dodoma  kusimamia misingi ya . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 13, 2025

Jeshi la Israel latekeleza shambulio kwenye hospitali ya Nasser Gaza

Jeshi la Israel limethibitisha kutekeleza shambulio katika kile limesema ni hospitali ambayo ilikuwa inatoa hifadhi kwa magaidi wakati wa oparesheni zake katika Ukanda wa Gaza.Hamas inasema wanahabari . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 8, 2025

BUNDUKI ILIYOTUMIKA KUMUUA POLISI KENYA YAOATIKANA

Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja ametangaza kupatikana kwa bunduki iliyotumika kumpiga risasi na kumuua Mbunge wa Kasipul Charles Ong'ondo, katika barabara ya Ngong jijini Nairobi wikiiliyopi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 8, 2025

RSF yaendelea kushambulia mji wa Port Sudan, wasiwasi watanda

Ndege zisizokuwa na rubani kwa mara ya tano siku ya Alhamisi, zimeshambulia ngome za jeshi Mashariki na Kusini mwa nchi ya Sudan.Mashambulio hayo yanatekelezwa na wanamgambo wa RSF wanaoendelea kupamb . . .

Kurasa 5 ya 54

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Top Stories
news
  • 25 dakika zilizopita

Ilani ya uchaguzi mkuu Chaumma yaidhinisha rasmi leo

Top Stories
news
  • 33 dakika zilizopita

Salum Mwalimu kuipeperusha bendera ya chaumma huku Devotha Minja kuwa mgombea mwenza

Habari
news
  • 59 dakika zilizopita

Serikali kuendelea kuimarisha mifumo ya uagizaji mafuta nchini

Top Stories
news
  • 5 masaa yaliopita

Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 1,540,000 hadi 1,700,000 wanaoishi na VVU

Habari
news
  • 5 masaa yaliopita

Zaidi ya wakulima 18,000 watarajia kunufaika na Kilimomisitu

Habari
news
  • 6 masaa yaliopita

Uingereza imekuwa nchi ya kwanza utoaji chanjo ya gonorrhea

Habari
news
  • 6 masaa yaliopita

Mawaziri wawili wauawa ajali ya helikopta

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Ilani ya uchaguzi mkuu Chaumma yaidhinisha rasmi leo

    • 25 dakika zilizopita
  • Salum Mwalimu kuipeperusha bendera ya chaumma huku Devotha Minja kuwa mgombea mwenza

    • 33 dakika zilizopita
  • Serikali kuendelea kuimarisha mifumo ya uagizaji mafuta nchini

    • 59 dakika zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode