Baadhi ya vijana katika Kijiji cha Muungano wilayani Chemba mkoani Dodoma, wamedai kuwa wanakabiliwa na changamoto ya kukataliwa kuoa katika vijiji vya jirani kutokana na shida ya maji inayowakabi . . .
Wanajeshi wawili waliokuwa wamelewa wamewaua kwa risasi watu 15 katika mashambulizi tofauti kwenye eneo tete la mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC) mamlaka ilisema Jumatatu. Mwa . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Jumatatu ametangaza kuwa mafuriko mabaya yanayolikumba taifa hilo ni janga la kitaifa, na kuonya kwamba ukarabati wa huduma za msingi utachukua muda mrefu. . . .
Ukraine imeapa kupambana hadi dakika ya mwisho katika mji uliozingirwa wa Mariupol baada ya kumalizika kwa muda uliowekwa na Urusi kwa kuwataka wapiganaji wake kuweka chini silaha na kujisalimisha . . .
JUMLA ya watu 47 wameripotiwa kufariki nchini Afghanistan katika majimbo ya Khost na Kunar yanayopatikana mashariki mwa nchi hiyo na hiyo ni baada ya shambulio la anga lililotekelezwa na majeshi ya Pa . . .
Watu wanane wakiwemo wanajeshi watatu wameuawa katika mji wa Bambu, Kilomita 40 kutoka mji wa Bunia, mkoani Ituri baada ya kupigwa risasi na mwanajesha aliyekuwa amelewa.&nbs . . .
Maafisa wa jimbo la South Carolina nchini Marekani wanasema wanachunguza tukio la ufyatuaji risasi katika klabu moja katika kaunti ya Hampton mapema Jumapili tukio ambalo lilisababisha watu tisa . . .
Wakati mgogoro ukizidi kufukuta kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, leo baadhi ya waumini wa usharika wa Mbalizi wamemzuia mchungaji wao, Atupele Mlawa kuingia ka . . .
Kikosi cha pamoja cha kijeshi kutoka Nigeria, Niger na Cameroon kilisema Jumapili kwamba kimewaua zaidi ya waasi 100 wa kiislam wakiwemo makamanda 10 katika wiki chache zilizopita huku wakizidis . . .
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyotokea Afrika kusini, iliongezeka hadi 440 siku ya Jumapili huku mvua ikipungua na kuruhusu shughuli za uokoaji kushika kasi baada ya moja ya . . .
Wiki iliyopita simanzi iliwakumba watu wengi barani Afrika, hasa wafuatiliaji wa muziki wa injili baada ya kifo cha muimbaji wa nyimbo za injili Nigeria, Osinachi Nwachukwu (42) kilichodaiwa kuhusishw . . .
Huku wengine wakisumbuliwa na uraibu wa pombe na dawa za kulevya, basi kuna wengine ambao wana uraibu wa kunywa mkojo wao. Daah! ama kweli kila soko na wazimu wake. mwanamke mwenye umri wa miaka . . .
Kufuatia Video iliyosambaa mitandaoni ikionyesha Mjasiriamali mdogo wa ndizi akichukuliwa bidhaa zake na mgambo wa Halmashauri, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa amese . . .
Jeshi la anga la Nigeria limesema limewauwa zaidi ya wapiganaji 70 wenye mafungamano na kundi linalojiita Dola la Kiislamu katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo uliko mpaka na taifa jirani la Nig . . .
Jeshi la Urusi limevitolea mwito vikosi vya Ukraine katika mji wa bandari uliozingirwa wa Mariupol kuweka chini silaha na kujisalimisha likionya kutakuwa na "taathira kubwa" baada ya muda uliowekw . . .
Korea Kaskazini imefanya jaribio jingine la aina mpya ya makombora katika tukio ambalo limeshuhudiwa na kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong Un, usiku wa kuamkia leo. Taarifa hizo ni kwa mujibu wa shi . . .
Meli iliyobeba tani 750 za mafuta ya dizeli ikitokea Misri kwenda kisiwa cha Malta imezama nje kidogo ya pwani ya kusini mashariki mwa Tunisia, lakini maafisa wanasema inawezekana umwagikaji mkubw . . .
Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo wanasherehekea sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa msalabani zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kiongozi wa Ka . . .
YUMBA moja mali ya Bw. Rashid Adam mkazi wa Dodoma, imenusurika kushika moto kutokana na gari iliyokuwa imepaki nje ya nyumba hiyo kuteketea kwa moto. Nyumba hiyo iliyoko jirani na jengo maar . . .
Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapelek . . .
April 14 imetimia miaka 8 tangu kundi la kigaidi la Boko Haram lilipofanya shambulizi mwaka 2014 kwenye shule ya sekondari ya wasichana huko Chibok katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa . . .
Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (Usemi) imesema ufuatiliaji umeonyesha kuwa zipo dalili za baadhi ya halmashauri kutotekeleza miradi ya maendeleo kwa kutumia bajeti badala yake kut . . .
Kalenda ya Saudi Arabia ya mwaka 2030 inaonesha kwamba Waislamu katika mwaka huo watafunga mara mbili kwa mwakakwa mujibu wa mtaalamu wa Nyota Khalid al-Zaqaq, tofauti ya siku za hesabu hizo ina . . .
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko kwenye maeneo ya mji wa Durban nchini Afrika Kusini imepanda na kufikia 259. Mamlaka nchini humo zinasema watu wengi zaidi bado wanahofiwa kupotea. . . .