Mbunge ajiuzulu baada ya kuangalia video za ngono bungeni

Neil Parish ameiambia Jembe FM kuwa anajiuzulu kama mbunge baada ya kukiri kuwa alitazama ponografia mara mbili Bungeni.

Bw. Parish, ambaye amewakilisha majimbo ya Tiverton na Honiton huko Devon tangu 2010, alisema imekuwa "wakati wa wazimu".

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii