Polisi, mahabusu wafariki kwa ajali Mwanza

Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-Mwanza

Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita,Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii