Waziri Ummy ametoa kauli hiyo jijini Tanga mara baada ya kutembelea kituo cha afya cha Makorora na kujionea hali ya utoaji huduma.“Naomba nisisitize hili si hapa tu bali ni nchi nzima, acheni ta . . .
Polisi wameanzisha uchunguzi katika kisa ambacho mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 55, amefariki katika chumba cha hoteli nchini Kenya, baada ya kufurahia burudani ya tendo la ndoa kati yake na mwan . . .
Watu watano wa familia moja wamekutwa wakiwa wameuawa nyumbani kwao eneo la Zanka wilayani Bahi mkoani Dodoma.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.Mkuu . . .
Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao.Maafisa wa polisi wanasema kwamba Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesh . . .
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anayepigania kuinusuru kazi yake baada kufanya sherehe za kunywa pombe ofisini na makazi yake ya Downing Street kipindi nchi ilipokuwa imefungwa ku . . .
Rais Samia Suluhu ametuma salamu za pole kwa wafanyabiashara wote wa soko la mitumba la Karume jijini Dar-es-salaam nchini Tanz . . .
Tyson Kilasi (32), Mkazi wa Kijiji cha Mawindi Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwenye goli la kuchezea mpira wa miguu wa kijiji hicho huku pemb . . .
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi kwa tamaa ya mali, limeibuka tukio lingine la kinyama mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi.In . . .
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro, limesema wafugaji ambao walikimbia makazi yao kutokana na mapigano yaliyoibuka kati yao na wakulima katika Kijiji cha Itete wilayani Malinyi wamerejea baada ya h . . .
Mwanamke mwingine mkazi wa Njiro jijini Arusha, Janerose Dewasi (66) amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali.Tukio hilo limetokea siku chache baada ya mfanyab . . .
Baraza la Ardhi la Kata ya King’ori wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha, limemtaka mkazi wa kijiji cha King’ori, John Peter Nanyaro anayedaiwa kujenga kaburi katikati ya barabara kuliondoa ndani . . .
Wapelelezi kutoka Idara ya Makosa ya Jinai (DCI) wamefichua kwamba wamemkamata mzee wa miaka 73, James Tarus, kwa kumuua mwanae.Kijana huyo ambaye alikuwa mlevi alielekea chumbani kwa baba yake na kuj . . .
Mufti Mkuu wa Tanzania shehe Abubakari Zuberi amewatahadharisha watanzania kuilinda amani ya nchi yetu kwamba ikiondoka kuirudisha itachukua muda mrefu.Amesema hayo katika Maulidi ya kumswalia mtume i . . .
Baada ya miaka mitatu tangu baadhi ya makaburi ya Vingunguti, jijini Dar es Salaam kusombwa na maji ya Mto Msimbazi, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imekuja na mpango wa kuyahamisha yaliyosalia k . . .
Kamera ya James Webb Space ya NASA, iliyotengenezwa kuiwezesha dunia kufahamu ulimwengu ulivyokuwa wakati sayari za kwanza zilipopatikana, ilizinduliwa kwa njia ya roketi mapema Jumamosi kutoka pwani . . .
SAILI Juma (27) mkazi wa Mbeya ambaye mapema wiki hii alilala kitandani nyumbani kwao Mbeya na ghafla akaamkia juu ya mti Masasi mkoani Mtwara akiwa amelala fofo, amesafirishwa kurejea Mbeya. Jum . . .
Jumla ya watoto watatu wa kiume wamezaliwa katika mkesha wa Krismasi katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga wakiwa salama wenye afya njema.Akizungumza afisa muuguzi msaidizi kiongozi wa wodi y . . .
. . .
Katika hali ya kushanganza Mbunge mmoja wa jimbo la Embakasi Mashariki nchini Kenya aliyefahamika kwa jina Babu Owino amezua taharuki bungeni baada ya kuficha magongo ya kutembelea ya mbunge mwenzake . . .
Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali iliyotokea jana katika eneo la Lungumba Kata ya Mahenge karibu na mlima Kitonga mkoani Iringa imeongezeka na kufikia kumi.Majeruhi mmoja kati ya watatu waliotoka . . .
Watu wawili wamefariki akiwemo kijana aliyeuawa kwa kukatwa na panga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kilimanjaro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema jana kuwa mwanamke aliye . . .
Musoma. Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na ku . . .
MKAZI wa mtaa wa Kanisani B uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe anaefahamika kwa jina la Raban Razalo (48) amefariki kwa kujinyonga na waya kwa madai ya kutoridhishwa na kitendo cha Padri wa kanisa . . .