Shambulizi la anga la Israel limeulenga mji mkuu wa Syria,Damascus mapema Jumanne kulingana na ripoti ya chombo cha habari cha serikali likiwa la nne mjini humo tangu Alhamisi . . .
Moto huo umetokea majira ya saa tatu usiku wa Aprili 1 mwaka huu ambapo Mkaguzi Loti Madauda kwa niaba ya Kaimu Kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Njombe amesema walipata taarifa ya . . .
Katibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Pwani – PUSA, Kelvin Nyambura amewataka Wanafunzi na Wazazi kuwa watulivu akisema vifo hivyo vimewagusa watu wengi na Taifa la Kenya kiujumla na kwamba bado wanafuatili . . .
Polisi eneo la Webuye Mashariki katika Kaunti ya Bungoma wanachunguza kisa ambapo wanawake wawili wanakisiwa kumuua kaka yao katika mzozo wa chakula. Katika kisa hicho cha Jumanne - Machi 28 - usiku, . . .
WATU sita wamekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya mauaji ya watu, kufukua makaburi wilayani Manyoni na kuchukua sehemu za siri za miwili ya watu waliozik . . .
Kwa zaidi ya muongo uliopita, Wachina wamekuwa wakifurika mijini na vijijini barani Afrika kujenga barabara, mabwawa, madaraja na miundombinu mingine ya kisasa.Hata hivyo, kuja kwao kumeleta baraka na . . .
Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya na ambaye ni mfadhili mkubwa wa mbegu za kiume aliyezaa takriban watoto 550 duniani kote anakabiliwa na mashtaka.Jonathan Jacob Meijer, 41, ames . . .
Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani Happyness William mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Nyehunge wilayani humo kwa kosa la wizi wa mtoto wa miezi . . .
Kiongozi wa Muungano wa Azimio La Umoja One Kenya Raila Odinga amesisitiza kuwa safari yake ya kwenda Ikulu haiwezi kuzimwa. Kupitia kitandazi chake cha Twitter baada ya maandamano hayo, Raila al . . .
Polisi mjini Kampala nchini Uganda wanamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Joy Biira kwa tuhuma za kumkata mumewe sehemu za siri jambo lililosababisha kifo cha mwanaume huyo.Msemaji wa . . .
watu waliojeruhiwa wakipokea matibabu baada ya shambulizi la bomu.Maafisa wa Taliban nchini Afghanistan, wamesema kwamba shambulizi la bomu la kujitoa mhanga nje ya wizara ya mambo ya nje mjini Kabul, . . .
Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vya Kenya na Kimataifa, wameshambuliwa na genge la watu wenye silaha eneo la Kibra nchini humo, wakati wakiripoti maandamano ya kwanza ya kila wiki ya kupinga . . .
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia Jumapili imezuia shambulio la ndege isiyo na rubani ya Ukraine katika mji mmoja wa Russia ambapo watu watatu walijeruhiwa na majengo ya makazi kuharibiwa, wizara ya . . .
Afisa kutoka shirika moja la kiraia kwa jina Charite Banza amefahamisha kwamba wapiganaji wa kundi la waasi la CODECO walishambulia kijiji cha Drodro katika mkoa wa Ituri kwenye mji wa Djungu siku ya . . .
Zaidi ya watu 119,000 wamejeruhiwa na gesi ya kutoa machozi pamoja na kemikali nyingine za kudhibiti maandamano kote ulimwenguni tangu 2015. Hilo limejiri huku wengine takriban 2,000 wakipata maj . . .
MAMA yake mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Maseno aliyeuawa Jumatatu wakati wa maandamano ya Upinzani, amesikitika na kusema hakuwahi kuwazia kuwa mwanawe angefariki kabla hajahudhuria sherehe ya kufuzu k . . .
Wanafunzi katika chuo kikuu cha Maseno wamefanya maandamano kufutia kifo cha mmoja wao William Bhangi Mayenga mwanafunzi wa mwaka wa tatu aliyepigwa risasi shingoni na maafisa wa usalama.Kifo cha Maye . . .
Kiongozi wa Azimio Raila Odinga sasa amesema maandamano ya kushinikiza kushuka kwa gharama ya maisha itakuwa kila Jumatatu na Alhamsii.Raila anasema amechukua msimamo huo baada ya wananchi kutaka kuwe . . .
Mkazi wa Kijiji cha Kiperesa, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Sophia Ishuka (56) amejinyonga kwa mtandio akiwa nyumbani kwake kwa madai kuwa mimea yake imeathirika kwa kiwango kikubwa shambani kwake . . .
Wanaume wawili kutoka nchini Kenya wamepanda mti wakiwa uchi muda wa usiku Alhamis March 16 huku wakihubiri lakini waafisa wa usalama walifanikiwa kuwafuykuz watu hao.Ijumaa asubuhi, wanaume hao walif . . .
Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha kwa kumchoma na kisu akiwa darasani. Kamanda wa Poli . . .
Baba ampachika mimba binti yake na kumuoa, aishi nyumba moja na mama yakeFamilia ya Chihinzi Misagwe Ezekiel (baba), Tumaini Chihonzi (binti), na Ntakwinja Kakumba (mama) sio familia ya kawaida kwani . . .
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ametangaza wiki mbili za maombolezo ya kitaifa baada ya watu zaidi ya 200 kuuawa na Kimbunga Freddy, ambacho kilipeleka maafa makubwa zaidi katika jiji la Blantyre na . . .
Swaumu Abdala (13) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Bugongwa mtaa wa Igombe B kata ya Bugogwa halmashauri ya manispaa ya Ilemela amepoteza maisha baada ya kupigwa na . . .