Dada Wawili Wapiga na Kuua Kaka Yao Kisa Chakula

Polisi eneo la Webuye Mashariki katika Kaunti ya Bungoma wanachunguza kisa ambapo wanawake wawili wanakisiwa kumuua kaka yao katika mzozo wa chakula.


Katika kisa hicho cha Jumanne - Machi 28 - usiku, wanawake hao wanaripotiwa kugombana na kaka yao kuhusu chakula na ugomvi huo kufika kiwango cha kupigana, Akithibitisha kisa hicho, Kamanda wa Polisi wa Webuye Mashariki Irene Kerubo alisema kuwa siku huyo, mwanamume huyo ambaye hakuwa ameoa, alirejea numbani mwendo wa saa tani usiku na kuanza kuagiza chakula kutoka kwa dada zake.Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii