Raila Odinga"Maandamano Bado Yataendeleea Kenya "

Kiongozi wa Azimio Raila Odinga sasa amesema maandamano ya kushinikiza kushuka kwa gharama ya maisha itakuwa kila Jumatatu na Alhamsii.

Raila anasema amechukua msimamo huo baada ya wananchi kutaka kuwe na maandamano zaiidi.

Amewataka wafuasi wake wajiandae kabisa kwa kivumbi tena ifikap[o wiki ijayo akisema sasa itakuwa siku mbili za wiki.




Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii