Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi wa picha mjongeo ambayo inaonekana kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha kijana aliyeefungwa mikono huku akipigwa kwa fimbo.Jeshi la Polisi limetoa ufafanu . . .
Mashambulizi kadhaa ya anga ya jeshi la Israel kwenye Ukanda wa Gaza yameuwa takribani watu 30 na kuwajeruhi wengine kadhaa.Kwenye mashambulizi ya hivi karibuni zaidi, watu kumi wameuawa usiku wa kuam . . .
VIJANA waliokuwa na hasira waliteketeza kituo cha polisi cha Mawego katika eneo la Rachuonyo Kaskazini wakati wa ibada ya mazishi ya mwalimu aliyeuawa, Albert Ojwang’.Ambapo awali alikuwa amezuiliwa . . .
MAMILIONI ya watu wanaokimbia mapigano nchini Sudan wanakabiliwa na hali mbaya ya njaa, huku wakisaka hifadhi katika mataifa jirani ambayo yenyewe tayari yanakumbwa na uhaba wa chakula.Kwa mujibu wa S . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Victor Fransis Thomas (39), mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Kadudu, Kijiji cha Lupaso, Wilaya ya Masasi kwa tuhuma za mauaji ya kikatili dhidi ya Mchunga . . .
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema serikali imeamua kubeba gharama za maziko ya watu 39, waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la saba saba, nje kidogo ya Mji wa . . .
Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro imeongezeka na kufikia 39.Ajali hiyo ilitokea Juni 28, 2025 katika eneo la Sabasaba, Sa . . .
Ndege ya abiria ya Batik Air ilinusurika kuteleza wakati wa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, kutokana na hali mbaya ya hewa. Tukio hilo lilinaswa kwenye video iliyorekodiwa . . .
VIGOGO wa maeneo ya kisiasa nchini ambao kwa kawaida wamekuwa wakijivunia ufuasi mkubwa, sasa wapo hatarini kupoteza umaarufu huo kutokana na kuchipuka kwa maasi ya Gen Z dhidi ya serikali.Mnamo Jumat . . .
Kampuni ya Rasilimali ya Madini Sudan (SMRC) imethibitisha kuwa wachimbaji 11 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na mgodi katika eneo la Kirsh al-Fil, jangwa la Howeid, kati ya miji ya At . . .
WAZIRI wa Huduma ya Umma, Geoffrey Ruku, amekashifu vikali uharibifu ulioshuhudiwa kote nchini katika maandamano ya Gen Z majuzi.Akizungumza Alhamisi Mbeere Kaskazini, Kaunti ya Embu, wakati wa shughu . . .
Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imemuhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Hassan Ntakula (70), Mkazi wa Kijiji cha Ngalinje baada ya kupatikana na hatia ya kosa la udhalilishaji wa kingon . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamsaka mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Mgore anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 na mkazi wa lbanda, Kata ya Kirumba Wilaya ya llemera kwa tuhuma za . . .
IDARA ya Ulinzi wa Raia katika Ukanda wa Gaza imethibitisha kuwa watu 56 wameuawa Juni 26, 2025 kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika maeneo mbalimbali ya uk . . .
Mrisho Mussa Nchemba (31) Mkulima mkazi wa Milama, Kata ya Dakawa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro , amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka 6.Akisomewa hukumu . . .
Iran imeripoti kuwa watu wasiopungua 26 wamekamatwa katika mkoa wa Khuzestan, kusini magharibi mwa nchi, kwa madai ya kushirikiana na Israel, siku mbili baada ya Iran na Israel kufikia makubaliano ya . . .
IDADI ya raia waliofariki dunia kutokana na maandamano ya Jumatano imefikia 16, kwa mujibu wa taarifa ya shirika la Amnesty International.Ripoti hiyo imeeleza kuwa idadi ya watu waliopotez . . .
Maandamano yanayoendelea ya kizazi cha Gen Z katikati mwa Jiji la (CBD) jijini Nairobi yameanza kuchukua mkondo mbaya. Maandamano hayo, yaliyokusudiwa kuwaenzi waliouawa wakati wa maandamano ya m . . .
Wasichana wawili wadogo wanaripotiwa kufariki baada ya mama yao mwenye umri wa miaka 26, Mary Mushi, kudaiwa kuwachoma kisu tumboni. Baba mkwe wa Mary, Nicholas Kileka, alisimulia tukio hilo la k . . .
Mkazi wa Kijiji cha Lituhi kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma Winfridi Twahibu Mahundi {29} amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la udhalilishaji wa kingono kwa mtoto wa miaka 03.Hukum . . .
WATAALAMU wa Umoja wa Mataifa wametahadharisha kuwa magenge ya wahalifu yanayodhibiti maeneo makubwa ya Haiti yameongeza vitendo vya ukatili ikiwemo mauaji, ubakaji na utekaji nyara.Taarifa ya j . . .
Watanzania 42 waliokuwa wamekwama nchini Israel kwa sababu ya mapigano kati ya nchi hiyo na Iran watarejea nchini leo tarehe 25 Juni 2025, kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia. Kwamujibu wa . . .
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara, imewahukumu kunyongwa hadi kufa maofisa wawili wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi (25), . . .
Wiki moja baada ya kutoweka kwa meli, ambayo ilitakiwa kusafiri kutoka bandari ya Majunga, Madagascar, hadi Mutsamudu, mji mkuu wa kisiwa cha Comoro cha Anjouan, waokoaji bado wanajaribu kutafuta manu . . .