logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Afrika
  • Na Asha Business
  • September 30, 2025

Watu 95 wafariki kutokana na njaa pamoja na magonjwa Sudan

Watu 95 wamekufa kutokana na njaa pamoja na magonjwa katika kipindi cha siku 40 zilizopita kwenye kambi ya wakimbizi ya Abu Shouk huko El Fasher nchini Sudan, wafanyakazi wa kujitolea wamethibitisha.K . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • September 28, 2025

Polisi wamulikwa vikali kwa kukosa kukamata washukiwa waliomuua wakili Mbobu

Maafisa wa upelelezi wanapigwa darubini vikali kwa kushindwa kumkamata mshukiwa hata mmoja kuhusiana na mauaji ya wakili Mathew Kyalo Mbobu, karibu siku 20 baada ya kuuawa kwa kupigwa risasi jijini Na . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • September 26, 2025

Rais Mstaafu wa Ufaransa Ahukumiwa Miaka Mitano Gerezani

 Rais mstaafu wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya kula njama ya uhalifu katika kesi inayohusiana na kupokea fedha za kampe . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 26, 2025

Madagascar yatangaza amri ya kutotoka nje usiku kufuatia maandamano makali

Serikali ya Madagascar, kisiwa kilicho katika Bahari ya Hindi, siku ya Alhamisi kimetangaza marufuku ya kutotoka nje usiku kufuatia maandamano makali. Polisi walitumia risasi za mpira na mabomu ya mac . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • September 25, 2025

Horohoro ahukumiwa kifungo cha maisha kusafirisha dawa za kulevya

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemhukumu Hemed Juma Mrisho maarufu kwa jina la “Horohoro” kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Hausiboi’ Kortini Akituhumiwa Kwa Shambulio La Aibu Kwa Mtoto

Mkazi wa Nyakato ambaye ni Mfanyakazi wa ndani (Hauseboy), Fred Kelendo Marekioli (19), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza kwa tuhuma za kumfanyia shambulio la aibu mtoto . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 21, 2025

Askari wa Gereza Njombe Ajitoa Uhai Baada ya Kumuua Mwenzake

Njombe – Askari wa Gereza la Njombe, Erasto Mlelwa (26) mwenye namba C.916 WDR, amefariki dunia baada ya kujirusha kutoka kwenye gari la Polisi wakati likiwa linaenda kwa mwendo, kufuatia kuoneshwa . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • September 19, 2025

Ukraine yanyaka Wakenya wakipigana kwa niaba ya Urusi vitani

WANAJESHI wa Ukraine wanaendelea kuwazuilia zaidi ya Wakenya wanne ambao imebainika walinyakwa wakipigania jeshi la Urusi.Ukraine na Urusi zimekuwa na mzozo wa zaidi ya miaka mitatu kuhusu mipaka yao . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • September 18, 2025

Mahakama Kuu Afrika Kusini Yatupilia Mbali Rufaa ya Familia ya Edgar Lungu

Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini ilitupilia mbali rufaa siku ya Jumanne iliyowasilishwa na familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, iliyokuwa ikitaka kusitisha urejeshaji wa mwili wake nchin . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 18, 2025

Baraza la usalama la UN kupiga kura kuidhinisha usitishwaji wa vita

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupiga kura kuidhinisha usitishwaji wa vita na kuruhusu misaada kuingia Gaza, licha ya kura turufu ya Marekani ambayo haiungi mkono hatua hiyo.Wanach . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 16, 2025

Zaidi ya hamsini wauawa katika shambulio la magenge

Zaidi ya watu 50 waliuawa wiki iliyopita katika mfululizo wa mashambulizi ya magenge nchini Haiti, kulingana na ripoti iliyotolewa siku ya Jumatatu na Mtandao wa Kitaifa wa Kutetea Haki za Kibinadamu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 1, 2025

Zaidi ya watu 800 wamefariki kutokana na tetemeko la ardhi

Watu zaidi ya 800 wamefariki na wengine zaidi ya 2,700 wamejeruhiwa mashariki mwa Afghanistan, ambayo imekumbwa usiku na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6 lenye ukubwa wa 6 katika kipimo cha Richter . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 1, 2025

Wawili wafa kwa mlipuko, mmoja ajeruhiwa nyumba zaharibiwa

Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko uliotokea katika banda la kuchomelea vyuma lililopo Kichemuchemu, Kata ya Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 21, 2025

Afghanistan 79 wafariki kwa ajali wakitokea Iran

Watu 79 wakiwemo watoto 19, wamefariki dunia baada kutokea ajali ya basi  katika Jimbo la Herat kaskazini magharibi mwa Afghanistan ikihusisha  lori pamoja na pikipiki.Taarifa iliyotolewa na . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • August 18, 2025

Harusi yakumbwa na taharuki baada ya nywele kupatikana kwa sufuria

Watu walikimbia ovyo huku wakipiga mayowe na wengine wakipoteza fahamu baada ya harusi iliyokuwa imepangwa kwa miezi kadhaa kuvurugika ghafla wakati wa kupika chakula cha wageni, ambapo nywele ya ajab . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 18, 2025

Watu 300 wapoteza maisha Pakistan

 IDADI ya vifo imefikia karibu watu 300 kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha kuporomoka kwa majengo katika Wilaya ya Buner, Kaskazini Magharibi mwa Pakistan.Waokoaji wameendelea ku . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • August 18, 2025

Askari wanne mbaroni kwa kuua raia

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia askari wanne wa Hifadhi ya Kigosi iliyoko Wilaya ya Bukombe kwa tuhuma za mauaji ya kijana Hezron Fikiri (20), mkazi wa Kijiji cha Msonga.Kamanda wa Polisi . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 18, 2025

Zaidi ya watu 40 wafariki katika ajali ya boti

Idara ya huduma za uokoaji zinajaribu kutafuta zaidi ya watu 40 ambao hawajulikani waliko baada ya ajali ya boti kaskazini magharibi mwa Nigeria siku ya Jumapili jioni, Agosti 17, Mamlaka ya kitaifa y . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • August 16, 2025

Urusi ilirusha makombora na ndege zisizo na rubani 85 kuelekea Ukraine

Urusi ilirusha makombora na ndege 85 zisizo na rubani nchini Ukraine usiku wa kuamkia leo kulingana na taarifa ya Kyiv.Taarifa ya Kyiv  imejiri saa chache kupita tangu kukamilika kwa kikao kati y . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Wimbi la ghasia lazuka Embu biashara za mamilioni ya pesa zikichomwa

SERIKALI imetuma kikosi maalum cha wapelelezi mjini Siakago, Kaunti ya Embu, kufuatia wingu la visa vya ghasia ambavyo vimesababisha mali yenye thamani ya mamilioni kuharibiwa na wakazi kadhaa kujeruh . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Watu 40 wapoteza maisha Darfur

DARFUR, SUDAN : SHIRIKA la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limeripoti kuwa takriban watu 40 wamefariki dunia katika eneo la Darfur, Sudan, kufuatia mlipuko mkubwa wa ugonjwa wa kipindupindu.Kwa mujibu . . .

Mauaji
  • Na Jembe Digital
  • August 11, 2025

Wahalifu wafanya mauaji ya watu kaskazini Magharibi mwa Nigeria

Magenge ya wahalifu yamewaua maafisa 13 wa usalama, wakiwemo polisi wawili na walinzi 11, katika jimbo la Zamfara kaskazini Magharibi mwa Nigeria katika ghasia za hivi punde katika eneo hilo, vyanzo v . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • August 8, 2025

Ahukumiwa miaka 30 jera kwa kosa kulawiti mtoto

Mahakama ya Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani, imemhukumu Kulwa Said Omary (26) mkazi wa Bungu "A" kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka (3) (jina limehifadhiwa).Hukumu hiyo imet . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • August 8, 2025

Aliyeua babake wakizozania mboga ya sukumawiki auawa na umati

WAKAZI wa kijiji cha Emulwala, Khwisero, Kaunti ya Kakamega wanaomboleza baada ya tukio la kusikitisha ambapo mwanamume mwenye umri wa miaka 39 alimuua babake kwa kisu baada ya kugombana kuhusu mboga . . .

Kurasa 2 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 8 masaa yaliopita

China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

Habari
news
  • 8 masaa yaliopita

Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Uhamiaji Simiyu yaendelea na jitihada za kudhibiti Wahamiaji haramu

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Serikali kufuatilia Makala ya CNN kuhusu maandamano ya uchaguzi oktoba 29

Habari
news
  • 9 masaa yaliopita

Dkt, Samia anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi siku mbili mkoani Arusha

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Kesi ya 3 yawasilishwa kupinga ujenzi wa Chuo Kikuu cha Nyamira

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 8 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 8 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 9 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode