Mahakama moja ya mji wa Phnom Penh nchini Cambodia imewakuta na hatia takriban wanasiasa 60 wa upinzani, akiwemo mwanaharakati na mksoaji mkubwa mwenye uraia wa Marekani na Cambodia Theary Seng.Hu . . .
Bunge la Kenya liliahirishwa kwa muda usiojulikana kabla ya uchaguzi wa Agosti 9 bila kuzingatia miswada muhimu inayohusiana na shughuli za uchaguzi mkuu. Mswada wa marekebisho ya sheria ya . . .
Zaidi ya watu 150 wamefariki kutokana na kuibuka tena kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Cameroon katika kipindi cha miezi minane iliyopita Umoja wa Mataifa ulisema Jumatatu. Wizara ya afya ya . . .
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni ikilinganishwa na Sh60.72 trilioni kwa kipindi kama hicho mwaka 2021, s . . .
Shirika la Umoja wa mataifa lenye kuhusika na usaidizi wa dharura OCHA limesema ukame ulioikumba Somalia umesababisha zaidi ya watu 805,000 kuyahama makazi yao hadi mwishoni mwa Mei.Rekodi zinaone . . .
Mikhail Kassianov alikuwa waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya Vladimir Putin. Lakini hata hivyo, Mikhail Kasyanov hakuweza kufikiria kiongozi wake wa zamani kweamba anaweza . . .
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetoa makataa kwa Seneta wa Nairobi Johnson Sakaja kujibu kesi nne dhidi yake kufikia 12pm Jumatatu, Juni 13.Uamuzi huo umetolewa na mwenyekiti wa Kamati ya Kus . . .
Maseneta wametangaza muundo wa pande mbili siku ya Jumapili katika kujibu mashambulizi ya bunduki kwa umma ya mwezi uliopita ikiwa mafanikio ya kawaida yanayotoa hatua za udhibiti wa bunduki na . . .
Jaji Mkuu wa Kenya Martha Koome anataka mahakama ya rufaa kutangaza kwamba Rais Uhuru Kenyata amekiuka katiba ya nchi hiyo kwa kushindwa kuwateuwa majaji sita katika ya majaji 40 walioteuliwa na T . . .
Tanzania imetiliana saini mkataba wa gesi na kampuni za Shell ya Uingereza na Equinor ya Norway ili kuutekeleza mradi wa dola bilioni 30 wa kuiwezesha nchi hiyo ya Afrika mashariki kuuza gesi yake . . .
Waziri wa Ulinzi wa Korea Kusini Lee Jong-sup amesema leo kwamba nchi yake itaboresha uwezo wake wa ulinzi na kufanya kazi kwa karibu na Marekani na Japan kukabiliana na tishio la nyuklia na makom . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa Kagera, Prof. Faustine Kamuzora kuwasimamisha kazi Afisa Manunuzi wa . . .
Wahalifu waliojihami kwa bunduki wamewaua kwa kuwapiga risasi watu 32 na kuteketeza makumi ya nyumba katika shambulizi la hivi punde katika eneo tete la Kaduna, kaskazini magharibi mwa taifa la Nigeri . . .
Rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud, ameapa kukabiliana na ugaidi katika nchi hiyo iliyokumbwa na mzozo, huku pia akiiomba jumuiya ya kimataifa kuisaidia nchi hiyo dhidi ya kitisho cha njaa . . .
Rais wa Senegal na mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Macky Sall Alhamisi ameisihi Ukraine kutegua mabomu ya ardhini kwenye maji ya bahari kando na bandari ya Odesa, ili kurahisisha usafirishaji wa n . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Alhamisi amemsimamisha kazi mkuu wa taasisi ya kupambana na ufisadi wakati bunge linaandaa kikao kilichocheleweshwa kwa muda mrefu kusikiliza mashtaka yanay . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amezungumza kwa njia ya simu na kiongozi wa upinzani wa Venezuela Juan Guaido na kueleza uungaji mkono wa Marekani wa kuanzishwa upya mazungumzo kati ya serikali ya Rais . . .
Shirika la afya duniani WHO limetahadharisha juu ya hatari ya kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani hasa katika mataifa ya Ulaya, huku kukiwa na zaidi ya watu 1,000 waliokutwa na homa hi . . .
Sudan Jumatano imeanzisha mazungumzo ya moja kwa moja na makundi hasimu chini ya upatinishi wa Umoja wa mataifa ikitumai kutatua mzozo wa kisiasa uliochochewa na mapinduzi ya kijeshi ya mwaka ja . . .
Kanda zenye matamshi ya chuki, habari potofu za kisiasa na vitisho vya ghasia za kikabila zinasambaa kwenye mtandao wa TikTok kabla ya uchaguzi muhimu nchini Kenya, ripoti mpya imesema Jumatan . . .
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa wakiambatana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Hassan Abbasi wamekutana na Balozi wa Marekani hapa nchini leo Juni 8, 2022 wameku . . .
akati bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 ikitarajiwa kusomwa wiki ijayo (Juni 14, 2022), baadhi ya wadau wamesema wanatarajia kuona ruzuku katika mafuta ikiendelea ili mwananchi apate ahueni.Wam . . .
Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimewasilisha azimio kwa shirika la Umoja wa Mataifa la kudhibiti matumizi ya nishati IAEA na kuikosoa vikali Iran kwa kutoshirikiana na shirika hilo. Ka . . .
Wizara ya Afya imesema idadi ya maambukizi mapya ya Ugonjwa wa Virusi vya Uviko-19 imeongezeka na kufikia 161 ikilinganishwa na maambukizi 68 kwa kipindi cha Aprili 2 hadi Mei 4, 2022.Kwa mujibu w . . .
Ripoti ya shirika la Marekani linalofuatilia jinsi mabilioni ya dola yanavyotumiwa na Marekani kwa ujenzi mpya wa Afghanistan SIGAR imesema rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani hakuikimbia n . . .
Kura ya kutokuwa na imani dhidi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson imeshindwa kufaulu katika bunge la Uingereza lakini idadi kubwa ya wabunge katika chama chake cha kihafidhina walipiga kur . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa anakabiliwa na uchunguzi wa makosa ya jinai baada ya taarifa iliyofichuliwa kuwa hakuweza kuripoti wizi wa takriban dola milioni 4 pesa taslimu kwenye shamb . . .
Mawakili wa upande wa utetezi kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuahirisha k . . .
Wakati kukiwa na malalamiko ya wananchi dhidi ya Jeshi la Polisi kudaiwa kuhusika katika mauaji ya watuhumiwa wanaokamatwa, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imeingilia kati suala . . .
Rais wa Somalia hassan Sheikh Mohamud ametoa wito kwa raia kuchangia katika mpango wa kuwasaidia wenzao walioathirika na ukame nchini humo, hasa walioko katika kambi za wakimbizi ndani kwa ndani { IDP . . .