Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro, Magreth Mashuwe aliyeuwawa na watu wasioju . . .
Tume ya uchaguzi nchini Libya imeagiza kuvunjwa kwa kamati za uchaguzi nchini humo na kutilia mashaka uwezekano wa kuandaliwa kwa uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mnamo Disemba 24.Ijumaa ya Disem . . .
Naibu meya wa mji Cap-Haitien, nchini Haiti Patrick Almonor amesema idadi ya watu waliokufa baada ya lori la mafuta kulipuka wiki iliyopita imeongezeka na kufika watu 90. Naibu huyo wa meya anaho . . .
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akiongea na wazazi na wanafunzi juu ya umuhimu wa kujua kusoma na kuandikaMkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akimkabidhi zawadi ya mwanafunzi wa . . .
Madereva Bodaboda na Bajaji jijini Dar es Salaam, wametakiwa kujiamini na kutambua kuwa wana haki ya kujitafutia riziki kwa njia halali kwa kuzingatia Sheria za usalama Barabarani. &nbs . . .
Picha za mvulana mdogo Mkenya aliyevalia mavazi ya polisi, akiwa na bunduki bandia pamoja na pingu za plastiki, zimevuma sana mitandaoni Mvulana huyo aliyeonekana akielekeza trafiki kwenye mitaa ya Na . . .
Mlipuko mkubwa wa gesi uliotokea leo kwenye mfumo wa majitaka katika mji wa Shershah kusini mwa Pakistan umewauwa watu wasiopungua 12 na kujeruhiwa wengine 11. Msemaji wa polisi ya mji huo Sohail . . .
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kuzingatia kujikinga na Uviko-19 na kwamba ugonjwa huo bado upo hivyo huenda maambukizi yakaongezeka.Aidha katika kuelekea msimu huu wa si . . .
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akiwa anakagua miradi ya majengo ya madarasa kwa ajili ya wanafunzi wanaotarajiwa kuingia kidato cha kwanza mwakani mwezi wa kwanza mwanzoni huku aki . . .
Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, wakati akifunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Afya nchini uliomalizika jijini Dodoma.Watawa kutoka mkoani Arusha, w . . .
Mtoto Leonard Morisha (11), mkazi wa Kijiji cha Ngemo, Mbogwe mkoani Geita, aliyefariki dunia na kuzikwa Juni 27, 2017, anadaiwa kufufuka baada ya Oktoba 2020 kuonekana wilayani Kahama na wazazi wake . . .
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amemtaka mhandisi wa Jengo la abiria katika Uwanja wa ndege wa Mwanza kufika mara moja kurekebisha dosari katika mradi huo wa Sh bilioni 11 ambao uj . . .
Na.WAMJW....DODOMA 14/12/2021Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Dorothy Gwajima ameanzisha utekelezaji wa mfumo wa kukusanya maoni toka kwa watendaji wa taasisi anazosimam . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha imepanga kuanzia Februari 14, 2022 kuanza kusikiliza rufaa iliyofunguliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenz . . .
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, anaendelea na matibabu huku majukumu akiyaacha kwa Naibu Rais, David MabuzaInaelezwa kuwa, Rais Ramaphosa ana dali . . .
Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma, ikitumbuiza katika hafla ya Utiaji saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini.Mgeni rasmi katika hafla hiyo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa T . . .
Rais Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na kitendo cha askari polisi aliyevalia sare ya jeshi hilo akiisifu gongo.Akizungumza leo wakati wa ufungaji wa mafunzo ya kozi ya uofisa ya chuo cha taaluma cha . . .
Watu wenye silaha wamevamia kijiji kimoja cha kaskazini mwa Nigeria na kuua Waislamu 16 waliokuwa wanasali ndani ya Msikiti na kuteka nyara watu wengine wengi.Mkuu wa serikali ya kijiji hicho cha Ba'a . . .
Serikali za Burkina Faso na Niger zimetoa taarifa ya pamoja inayosema kwamba majeshi yake yameua wapiganaji wa kiislamu 100 katika oparesheni ya wiki mbili.Hakuna ripoti huru kudhibitisha madai hayo a . . .
Mamlaka Nchini Pakistan Imewaachia Huru Takriban Wafungwa 100 Wa Kundi La Taliban Nchini Humo Linalojulikana Kama Tehreek-e-taliban Paksitan TTP Kama Sehemu Ya Mapatano Na Kundi Hilo La Wanamgambo.&nb . . .
Tanzania Na Kenya Imeondoa Vikwazo Vya Kibiashara 46 Kati Ya 64,Hayo Yameelezwa Na Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hasan Katika Zoezi La Utiaji Saini Mkataba Na Makubaliano Na Ke . . .
Jamii Imetakiwa Kuendelea Kukemea Ukatili Wa Kijinsia Unaojitokeza Ili Kukuza Kizazi Chenye Usawa Wadau Wa Kupinga Ukatili Wameeleza Hayo Jijini Dar Es Salam Ikiwa Leo Ni Hitimisho Katika S . . .
Jeshi la Polisi Tanzania limeteketeza silaha 5,230 haramu zilizokamatwa katika kipindi cha miaka miaka minne kuanzia mwaka 2018 hadi Oktoba 2021.Zoezi hilo limefanyika leo Ijumaa Desemba 10, 2021 kati . . .
Jaji Mkuu Wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Amewakumbusha Mawakili Kuzingatia Maadili Na Viwango Katika Nyakati Hizi Za Utandawazi Na Ushindani Jaji Mkuu Ameyasema Hayo Katika Sherehe Ya Miak . . .
Mkuu Wa Mkoa Wa Simiyu David Kafulila Amewataka Wananchi Kutambua Msingi Mkubwa Wa Taifa Hili Ni Katika Kuzingatia Utu Na Usawa Ameeleza Hayo Katika Kongamano La Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya Uhuru . . .
Jamii Imeaswa Kuwa Mstari Wa Mbele Katika Kupiga Vita Ikiwemo Kuwalinda Watoto Wenye Mahitaji Maalum Dhidi Ya Vitendo Vya Ukatili Ili Waweze Kuwa Na Ustawi Bora Kama Ilivyo Kwa Watu Wengi.Rai Hiyo Ime . . .
Mapambano kati ya wakulima, wafungaji na wavuvi kutokana na uhaba wa maji kwenye mpaka wa kaskazini mwa Cameroon karibu na Chad yanasemekana kuongezeka sana katika siku za karibuniMaafisa wa serikali . . .
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema mradi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ( JNHPP ) utakamilika bila ongezeko la gharama za ujenzi kwa sababu fedha zilizotolewa zinatosha.†. . .
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara zita . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano Desemba 8, 2021 saa 3:00 usiku, atalihutubia taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari. . . .