Kuanzia Februari Nchini Austria, Chanjo kwa Watu wazima itakuwa ni lazima na wote ambao hawajachanjwa watapokea wito wa kuchomwa sindano ya kwanza. Wale ambao hawatajitokeza watatozwa faini baada ya k . . .
erikali imesema, zaidi ya Watumishi wa Umma 180,000 wamepandishwa madaraja ambapo Wilaya ya Nkasi iliyopo mkoani Rukwa imenufaika na promosheni kwa watumishi wake 837 kupandishwa madaraja huku watumis . . .
Wadau wameshuhudia mabadiliko katika bei za Vifurushi vya Intaneti, ikionekana Kampuni za Mawasiliano zimepunguza ukubwa wa Vifurushi vilivyokuwepo awali huku Wananchi wakilalamika kutofahamishwa kuhu . . .
Maafisa Usalama Nchini humo wamesema watu zaidi ya 20 wamefariki dunia baada ya matetemeko ya ardhi yaliyotokea eneo la Magharibi mwa Taifa hiloMatetemeko hayo ya kipimo cha 4.9 na 5.3 yaliathiri Mkoa . . .
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita inatarajiwa kuendelea leo kwa shahidi wa 14 wa upande wa mashataka kuanza kutoa ushahidi.Sabaya n . . .
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango anaondoka nchini hii leo kuelekea Lilongwe, Malawi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Januari 8,2022 amefanya mabadiliko Madogo katika Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu.Rais Samia Sul . . .
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi na mkewe Isaura wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Uviko-19.Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Rais huyo jana Jumatatu Januari 3, 2021 imesema kuwa Rais Nyusi na mkewe w . . .
Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amefariki dunia huku mwingine akinusurika baada ya kunywa dawa ya chanjo ya ng’ombe katika kitongoji cha Imalamakoye Wilaya ya Urambo mkoani Tabora. Mwenyekiti . . .
Wafanyakazi wa uwanja wa ndege nchini Mauritius wamekuta mtoto mchanga wa kiume aliyetelekezwa kwenye chombo cha kuhifadhia taka ndani ya choo cha ndege ya Air Mauritius.Mwanamke mwenye umri wa miaka . . .
Takriban watu sita wameuawa na vijiji kuchomwa moto na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab katika mji wa pwani wa Lamu nchini Kenya.Polisi wamesema wapiganaji waliokuwa na silaha nzito wali . . .
Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdok ametangaza kujiuzulu wadhifa huo baada ya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, ya kupinga makubaliano ya kuongoza Serikali ya Mpito.Hamdok am . . .
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 1 Januari 2022 wameungana na waumini wa kanisa katoliki Parokia ya mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu la Dodoma kus . . .
Wakati Tanzania na baadhi ya nchi kote ulimwenguni ikiwa inahesabu saa kadhaa hadi kufika Januari 1, 2022, kuna nchi na miji tayari wamewasha fataki za 2022. Vilevile kuna miji ambayo huenda ikawasha . . .
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imesema inaendelea na ukaguzi wa mabasi ya kwenda mikoani ili kubaini yanayozidisha nauli na kuchukua hatua. Ofisa . . .
Ikulu ya Marekani imesema Jumatano kwamba Rais Joe Biden atazungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Russia Vladimir Put . . .
Msemaji wa Umoja wa Mataifa Ari Gaitanis amesema Jumatano kwamba Umoja wa Mataifa pamoja na mataifa mengine wanafa . . .
Mahakama ya juu ya Gambia Jumanne imetupilia mbali kesi iliowasilishwa dhidi ya ushindi wa rais Adama Barrow kwa madai kwamba walioiwasilisha hawakufuata hatua za kisheria, kama inavyohitajikaBarrow a . . .
Madakatari nchini Israel Jumatatu wameanza kutoa chanjo ya nne ya covid 19 kwa watu wake ikiwa kama sehemu y . . .
Meli ya shirika lisilo la kiserikali la Ujerumani Sea-Watch 3, ikiwa na wahamiaji 444, ilikuwa ikingoja kupewa bandari ya usalama kutia nanga baada ya operesheni tano za uokoaji kutekelezwa kati . . .
Waziri wa mambo ya kigeni wa Italy Luigi Di Maio Jumanne wakati akiwa ziarani Tunisia, ameshauriana na rais Kais Sa . . .
Kusimamishwa kwa Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble kunakuja siku moja baada ya Waziri Mkuu huyo kumshutumu Rais Farmajo kwa njama katika uchaguzi wa bungeMzozo wa kisiasa kati ya viongozi wawili . . .
Waziri wa Afya, Ustawi wa jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amepata maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 lakini hali anaendelea vizuri.Akizungumza na Mwananchi kwa njia . . .
Maafisa nchini DR Congo wanasema kwamba takriban watu sita wamefariki katika shambulio la mlipuaji wa kujitoa muhanga katika makahawa uliojaa watu katika mji wa mashariki wa Beni.Maafisa wa polisi wal . . .
WATU wanne wamepoteza maisha baada ya gari la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T 654 DRW walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka katika mteremko wa Kishoju Kata ya Kihanga W . . .
SERIKALI ya Afrika Kusini imetaka kusitishwa kwa mnada wa kuuza funguo za chumba cha jela alichokuwa akiishi hayati Nelson Mandela kwenye jela ya “watukutu” ya Robben Island. Mnada huo uliopa . . .
Rais Joe Biden ameingia madarakani wakati hadhi ya Marekani ulimwenguni ilifikia rekodi ya chini.Katika nchi 60 na maeneo yaliyofanyiwa ukusanyaji wa maoni juu ya Uongozi wa Marekani na kampuni ya Gal . . .
Licha ya mwaka wa pili wa kuwepo kwa masharti ya kusafiri kwa sababu ya COVID -19, mji wa Bethlehem, eneo ambako alizaliwa Yesu, lilifufua sherehe zake za kila mwaka za mkesha wa Krismasi.“Mwaka jan . . .