logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
AFYA
  • Na Asha Business
  • July 15, 2022

Tanzania Yapokea Chanjo Ya Uviko-19 Aina Ya Sinopharm Dozi Milioni Tatu

Tanzania imepokea chanjo ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm dozi Milioni tatu (3,000,000) ambazo zitawasaidia kuwakinga wananchi 1,500,000 dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Korona. Chanjo . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 14, 2022

Rais wa Sri Lanka anayekabiliwa na shinikizo aondoka Maldives

Rais wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa leo ameondoka kutoka visiwa vya Maldives alikowasili jana baada ya kuikimbia nchi yake kufuatia shinikizo la maandamano ya umma yanayomtaka kujiuzulu kutokana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 14, 2022

Mazungumzo ya upatikanaji wa amani yarejelewa mjini Rome.

Mazungumzo ya amani kuhusu Sudan Kusini, yanayosimamiwa na kituo kimoja cha kanisa katoliki nchini Itali, yameanza tena mjini Rome, kujaribu kuyaunganisha makundi ya kisiasa . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 14, 2022

Mamlaka ya Marekani ya kukagua ubora wa chakula na dawa yaidhinisha chanjo ya Covid ya Novavax

Mamlaka ya Marekani ya kukagua ubora wa chakula na dawa (FDA) imeidhinisha matumizi ya chanjo ya Covid 19 ya Novavax Jumatano, na hivo kuruhusu chanjo hiyo ambayo inatengenezwa kwa teknolojia ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 14, 2022

Mkuu wa zamani wa ujasusi apatikana na hatia ya mauaji ya mpinzani mashuhuri

Jaji mmoja nchini Gambia Jumatano alimuweka hatiani mkuu wa zamani wa ujasusi na maafisa wengine wa ujasusi kwa mauaji ya mwaka 2016 ya mwanaharakati wa kisiasa muda mfupi kabla ya uchaguzi amba . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 14, 2022

Madiwani, RC Mongella wanyukana

Madiwani wa Jiji la Arusha wamemshukia Mkuu wa Mkoa huo, John Mongela wakidai amewadhalilisha kwa kuwaita wapika majungu, wafitini na wanakwamisha maendeleo.Wiki iliyopita, Mongela akiwa kwenye . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 14, 2022

Waliorejea shuleni baada ya kujifungua waomba hosteli kuishi na watoto

Baadhi ya wanafunzi waliorejea shuleni baada ya kukatisha masomo kutokana na ujauzito wameomba kujengewa hosteli ambazo zitawasaidia kuishi na watoto wao.Wamesema hosteli hizo zitawasaidia kuwa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 14, 2022

Bosi wa zamani TRA apewa tena ukamishna

Ndivyo unavyoweza kumwelezea Rished Bade, ambaye aliwekwa kando kwa miezi 79 tangu alipoondolewa katika wadhifa wa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na sasa ameibuka akiwa Kamishna . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 13, 2022

Joe Biden kufanya ziara mashariki ya kati wiki hii.

Rais wa Marekani, Joe Biden, juma hili anaanza ziara ya kutembelea nchi za mashariki ya Kati, ikiwemo nchi za Israel na Saudi Arabia ambako amekosolewa kwa kupuuza rekodi mba . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 13, 2022

Nchi wanachama wa EU zakubaliana kuipa Ukraine Euro bilioni moja

Baraza la Umoja wa Ulaya linalowakilisha nchi wanachama 27 limeidhinisha kuipa Ukraine msaada wa fedha wa Euro bilioni moja wakati ambapo Urusi inazidisha uvamizi nchini humo. Mawaziri wa fedha wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 13, 2022

Rais Samia Aridhia Wadaiwa Sugu Kodi Ya Ardhi Kusamehewa Riba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameridhia kusamehewa riba ya kodi ya pango la ardhi kwa wadaiwa sugu kwa masharti kwamba wadaiwa hao wawe wamelipa  madeni ya msi . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 13, 2022

Sababu ya Muturi kuahirisha kikao maalum

SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi amefutilia mbali kikao maalum ambacho kiliratibiwa kufanyika leo Jumatano, Julai 13. Kwenye taarifa aliyoituma kwa vyombo vya habari Jumanne, Julai 12, Bw Mu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 12, 2022

UN Kufanya Uchunguzi Mauwaji Ya Watoto Nchini Ukraine, Ethiopia, Msumbiji.

Maofisa wa umoja wa Mataifa, juma hili wametangaza kuanzisha uchunguzi kuhusu kujeruhiwa na mauaji ya watoto yaliyofanywa katika nchi za Ukraine, Ethiopia na Msumbiji, wakati . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 12, 2022

Wandamanji wapinga serikali inayojumuisha familia ya Rajapaksa.

Maelfu ya wandamanaji nchini Sri Lanka wameendelea kupiga kambi katika makazi ya rasimi ya rais na yale ya waziri mkuu wakiituhumu familia ya Rajapaksa kuwa sehemu kubwa ya c . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 11, 2022

China yazionya nchi za ASEAN kujiepusha kutumiwa

Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi leo ametowa tahadhari kwamba nchi zinapaswa kujiepusha kutumiwa na nchi zenye nguvu katika kanda ambayo iko kwenye hatari ya kubadilishwa kutokana na sababu . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 11, 2022

MKU yazindua kituo kipya cha utafiti na ubunifu

KITUO cha utafiti na ubunifu kimezinduliwa katika Chuo Kikuu cha Mount Kenya ili kuwaongeza maarifa wanafunzi wa chuo hicho. Naibu Chansela wa chuo hicho Prof Deogratius Jaganyi alisema utafiti na . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 11, 2022

Katibu Mkuu wa Uingereza Athibitisha Kugombea Nafasi ya Waziri Mkuu Iliyoachwa Wazi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza Liz Truss amethibitisha nia yake ya kugombea nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo iliyo wazi baada ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo Boris John . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 11, 2022

Rais Joe Biden ajitetea juu ya kufanya ziara Saudi Arabia

Rais wa Marekani Joe Biden ametetea ziara anayotarajia kufanya nchini Saudi Arabia mnamo wiki hii. Biden amesema katika makala aliyoandika kwenye gazeti la Washington Post kwamba sera yake ya nje . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 11, 2022

Mzozo waibuka juu ya mazishi ya José Eduardo dos Santos.

Mzozo umeibuka kuhusu mazishi ya rais wa zamani wa Angola José Eduardo dos Santos, aliyefariki siku ya Ijuma wakati akipokea matibabu katika hosipitali moja nchini Hisapania . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 11, 2022

Mpinzani wa Saudia auawa Lebanon

Mpinzani wa kisiasa wa Saudia Menea Al-Yami aliuawa nchini Lebanon, chama cha upinzani cha Saudia National Assembly Party (NAAS) na chanzo cha usalama cha Lebanon wamesema Jumapili. Kat . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 8, 2022

WATEMI SHINYANGA WASISIMUA TAMASHA LA BUSIYA SABA SABA WANADI KISWAHILI

Maelfu ya Watu wakusanyika Tamasha la Sanjo ya Busiya (7SabaFEST) Ikiwa ni kilele cha siku ya kiswahili Duniani pamoja Kilele cha sherehe za sanjo ya Busiya wilayani kishapu mkoani shinyanga ,Ntem . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 8, 2022

WANDERI KAMAU" Afrika ikumbatie ushauri wa Gaddafi kuwe na taifa moja"

MNAMO Jumamosi iliyopita, viongozi wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) walitangaza kuiondolea vikwazo Mali, kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika nchini . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 8, 2022

Tutazungumza na Al-Shabaab kwa wakati mwafaka, asema Rais wa Somalia

RAIS mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud sasa anasema kuwa serikali yake ifanya mazungumzo na kundi la wapiganaji wa Al-Shabaab ila kwa “wakati ufaao”. Alisema hatua hiyo ni mbinu mbadala k . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 8, 2022

Waziri Ummy"Tujitokeze Kuchanja Chanjo Ya Uviko-19 Ili Tupate Kinga Ya Jamii."

Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kuchanja chanjo dhidi ya UVIKO-19 ili Tanzania iwe na watu wengi waliochanja na kupata Kinga ya Jamii dhidi ya UVIKO-19.Waziri Ummy . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 7, 2022

Rais Samia Atoa Pole Kwa Wananchi Walioathiriwa Na Tembo

RAIS Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi kutokana na athari walizozipata baada ya tembo kuvamia katika vijiji vyao na kusababisha maafa kikiwemo kifo.Salamu hizo zimetolewa jan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 7, 2022

Boris Johnson kujiuzulu kama kiongozi wa chama cha Conservative

Waziri mkuu Boris Johnson anarajiwa kujiuzulu kama kiongozi wa chama tawala cha Conservative baadaye leo, lakini atandelea kuhudumu kama waziri  hadi baadaye mwaka huu. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 7, 2022

UN "Dunia inashindwa juhudi zake za kutokomeza janga la njaa"

Umoja wa Mataifa ulionya Jumatano kwamba dunia inashindwa katika juhudi zake za kutokomeza njaa kwani zaidi ya watu milioni 828 walikuwa na uhaba wa chakula hapo mwaka 2021 ikiwa ni milioni . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 7, 2022

M23 wamedhibithi sehemu zaidi ya 14, Kagame na Tshisekedi wamekubali kupunguza uhasama

Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame wamekubaliana kupunguza uhasama na hali ya wasiwasi ambayo imekumba nchi hizo kutokana na mashambulizi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 7, 2022

Jaji Werema" Wananchi washirikishwe utungaji sheria"

Mwanasheria Mkuu mstaafu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema kutoshirikishwa kwa wananchi katika utungaji wa sheria ndiyo chanzo cha wananchi kulalamikia sheria hizo.Werema ameishauri Serik . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 7, 2022

Utamu wa Lamu ni kutembea peku

NI kawaida kutembea bila viatu kwenye fuo za bahari katika visiwa vingi ulimwenguni. Lakini katika Kaunti ya Lamu, ni kawaida kukumbana na wanaume wakitembea bila viatu hadi katikati ya mji na vichoc . . .

Kurasa 94 ya 123

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 13 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 13 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 14 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode