Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anatarajiwa kuzuru mataifa ya Cameroon ,Benin na Guinea Bissau wiki ijayo, ikiwa ni ziara yake ya kwanza barani Afrika baada ya kuchaguliwa t . . .
Mamlaka nchini Nigeria zimesema watu wenye silaha wamewaua watu 17, wakiwemo polisi watano kwenye mambulizi mawili tofauti, katika jimbo la Katsina. . . .
Serikali za Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimetoa mwezi mmoja kwa wataalam wa sekta za ujenzi na uchukuzi kukamilisha taratibu za kupata Mkandarasi wa ujenzi wa miundombinu y . . .
Urusi na Ukraine leo zinatarajiwa kutia saini mkataba wa kufungua tena shughuli za usafirishaji nafaka kupitia bandari za Ukraine zilizopo kwenye mwambao wa bahari nyeusi, hatua itakayofungua njia . . .
Darzeni ya makundi ya kutetea haki za binadamu yameiomba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumuachia huru mwanahabari wa DRC aliyekamatwa wiki iliyopita, baada ya maafisa wa ujasusi kumuachilia h . . .
Waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, tayari wamefungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.Mdee na wenzake wam . . .
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty, linaitaka serikali ya Ethiopia, kuendesha uchuguzi kuhusiana na mauwaji ya kikabila ya raia zaidi 400, yaliofanyi . . .
Rais wa Marekani Jumatano ametangaza kwamba Marekani itawaalika viongozi kutoka barani Afrika kwenye kongamano litakalofanyika mwezi Decemba. Kongamano hilo litafanyikia Washin . . .
Serikali ya Mali imetaka ufafanuzi juu ya uhusiano uliopo kati ya serikali ya Ujerumani na wanajeshi 49 wa Ivory Coast waliokamatwa mjini Bamako wiki iliyopita. Wanajeshi hao walizuiliwa tarehe 9 . . .
Mahakama ya juu ya Uturuki imeunga mkono uamuzi wa rais wa nchi hiyo Recep Tayyip Erdogan wa kuiondoa Uturuki katika mkataba wa Ulaya dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia. Uamuzi huo wa Erdogan aliouf . . .
Maafisa wa jimbo la Somaliland lililojitenga na Somalia, Jumanne walisitisha matangazo ya shirika la utangazaji la Uingereza (BBC), wakilishtumu shirika hilo kwa “kudhoofisha uaminifu wa taifa . . .
Afisi ya Umoja wa mataifa ya kupambana na ugaidi inasema kuna umuhimu wa kuweka msingi imara wa ushirikiano kati ya mashirika ya serikali ya Nigeria katika usimamizi wa taarifa zinazohusiana na . . .
Wafanyakazi nchini Australia washauriwa kufanyia kazi nyumbani kutokana na ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya Uviko-19 kulikumba Taifa hilo. Mamlaka zimebainisha kuwa jumla ya kesi 300, . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna wa Polisi, Camillus Wambura na kumteua kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP).Wambura alikuwa Mkurugenzi wa Upelelezi . . .
Mkuu wa jeshi la Israel Aviv Kohavi anaendelea na ziara yake ya siku tatu nchini Morocco ambapo anatarajiwa kufanya mikutano na maafisa wandamizi wa ulinzi wa vyeo vya juu huku ushirikiano kati ya . . .
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tunisia Rached Ghabbouchi Jumanne amepangiwa kuhojiwa na idara ya kupambana na ugaidi nchini, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa fedha pamoja na kuf . . .
Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen amesema kwamba Marekani na Korea kusini wanahitaji kuimarisha uhusiano wao wa kibiashara. Yelln amesema kwamba hatua hiyo ni ili kuzuia kushirikiana . . .
Bunge la India limetoa heshima kwa hayati Rais wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki wakati wa kikao maalum kinachojulikana kama Monsoon Session.Akizungumza Jumatatu, Julai 18, Spika wa Bunge hilo, Om Birla al . . .
Tanzania ni kati ya nchi tano Afrika na ni nchi pekee Afrika Mashariki inayozalisha mionzi dawa. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Gwodin Mollel wakati wa ufunguzi wa . . .
VIJANA waliandama mjini Kisii jana dhidi ya maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) mjini Kisii. Vijana hao walikabiliana na maafisa wa polisi katika kituo cha Itumbe na kulemaza usafiri . . .
. . .
Kiongozi wa jeshi la Israeli anatarajiwa kuanza zaira ya kikazi ya siku tatu nchini Morocco, hii ikiwa ni ziara ya kwanza kufanywa na kiongozi wa ngazi yake kwenye taifa hilo . . .
Wizara ya Afya kupitia kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu imetangaza uwepo wa mlipuko mpya wa ugonjwa wa Homa ya Mgunda unaosababisha wananchi kutoka damu puani na kuishiwa nguvu na hata kufariki. . . .
RAIS Uhuru Kenyatta ametumia Sh1.5 trilioni kwa ujenzi wa barabara katika kipindi cha zaidi ya miaka tisa ya utawala wale, na ataondoka Agosti akiwa amewaachia Wakenya kilomita 11,000 za barabara . . .
"Afghanistan ya leo ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia kuliko ilivyokuwa mwaka 2001." Hili ni onyo kali kutoka kwa mtoto wa kiongozi maarufu wa upinzani dhidi ya Taliban.Ahmad Massoud . . .
Rais wa Marekani Joe Biden yuko kwenye ziara mashariki ya kati tangu Alhamisi na Ijumaa amekwenda Jerusalem mashariki ambako aliitembelea hospitali moja na kuahidi dola milioni 100 kuzisaidia hosp . . .
Saudi Arabia imesema itafungua anga yake kwa mashirika yote ya ndege, hatua hiyo ikitoa fursa kufanyika kwa safari za ndege za kutoka na kuelekea Israel. Uamuzi huo umekaribishwa na rais wa Mareka . . .
Mali Alhamisi imesema kwamba inasitisha kubadilishana zamu wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa kwa sababu za 'usalama wa kitaifa,' katika mvutano mpya kati ya utawala wa kijeshi wa Ma . . .
Mahakama moja ya wilaya mjini Stockholm, Sweden, Alhamisi imemuhukumu afisa wa zamani wa Iran kifungo cha maisha jela kwa uhalifu wa kivita na mauaji ya wafungwa wa kisiasa wakati wa vita kati y . . .
Uganda Alhamisi imesema watu kadhaa walifariki kwa sababu ya njaa katika moja ya maeneo maskini nchini humo, huku maafisa wa eneo hilo wakisema mamia wameangamia. Ofisi ya waziri mkuu hai . . .