WAZAZI na walimu nchini Jumatatu walijipata kwenye njiapanda, baada ya Waziri wa Elimu George Magoha kutangaza kuwa wanafunzi wataenda kwenye mapumziko ya muhula wa pili kuanzia leo Jumanne hadi Alham . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka washiriki wa kozi fupi ya 13 ya viongozi watambue, wafuate na waisimamie falsafa ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan iliyo . . .
India imethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa homa ya nyani hapo jana. Wizara ya Afya katika jimbo la kusini la Kerala imesema mgonjwa aliyefariki alikuwa kijana wa miaka 22. Uhispania iliripoti . . .
Halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro , imepitisha rasimu ya sheria ndogo inayotaka wazazi watakaoshindwa kuwalipia vyakula watoto wao wakiwa shuleni, wafungwe miaka miwili gerezani.Hayo . . .
Wananchi wa Senegal Jumapili wamepiga kura katika uchaguzi wa bunge ambao upinzani una matumaini utalazimisha ushirika na Rais Macky Sall kuunda serikali na kuzuia nia yake ya kuwania muhula wa tatu.S . . .
Kushamiri kwa biashara ya urembo mtandaoni kumeleta bidhaa ambazo nyingine ni hatari kwa afya ya viungo vya uzazi kwa wanawake.Bidhaa hizo za urembo zimeshamiri kutokana na matangazo yake na has . . .
Katika hatua isiyo ya kawaida, afisa mmoja wa ngazi ya juu kwenye serikali ya Ethiopia amesema Alhamisi kwamba wako tayari kwa mazungumzo na vikosi hasimu vya TPLF, vilivyo . . .
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Komredi Abdulrahman Kinana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura, kufanya tathimini ili kuona k . . .
Bei za mahitaji ya kila siku nchini Ujerumani zinatarajiwa kupungua katika nusu ya pili ya mwaka baada ya mfumuko wa bei wa miezi kadhaa. Taarifa hiyo imetolewa na taasisi ya Ujerumani inayoshughu . . .
Uchumi wa Marekani umenywea tena katika robo ya pili ya mwaka, ishara ambayo katika nchi nyingi duniani inazingatiwa kuwa mdororo wa uchumi. Hata hivyo kusinyaa huko kwa kiwango cha asilimia 0.9 k . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania imekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufika mahakamani kesho katika kesi ya Halima Mdee na wenzake 18 wanaopinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho itakay . . .
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imewaalika wagombeaji urais kwa mkutano wa mashauriano huku kukiwa na wasiwasi kuhusu imani dhidi ya tume hiyo.tume hiyo ilionyesha kuwa imebainisha wasiwasi uli . . .
Waziri wa zamani nchini Msumbiji amefungwa jela miaka 16 kwa kuhusika na vitendo vya ufisadi. Maria Helena Taipo, mwenye umri wa miaka 60, ambaye pia ni mwanchama wa chama tawala cha . . .
Rais wa Marekani, Joe Biden na mwenzake wa China, Xi Jingping, wamekubaliana kuandaa mkutano wao wa kwanza wa ana kwa ana, wakati huu Beijing ikiionya Washington kutocheza na . . .
Ukraine imeanza tena operesheni za uuzaji nafaka katika miji kadhaa muhimu ya pwani. Bandari za Odesa, Chernomorsk na Piv-dennyi zinatarajiwa kuanza tena usafirishaji wa nafaka kupitia bahari nyeu . . .
Vita dhidi ya maambukizi ya ukimwi duniani vimeripotiwa kuathirika pakubwa kutokana na uwepo wa janaga la uviko 19 pamoja na changamoto nyengine zinazoikumba dunia. . . .
Benki za Kenya zinakabiliwa na uhaba wa noti ndogo ndogo kwa sababu wanasiasa wanawapa hongo raia kujaribu kupata kura zao kwenye uchaguzi wa mwezi ujao, waziri ma mambo ya ndani ametoa tuhuma h . . .
China imeionya Marekani kuhusu mpango wa spika wa bunge nchini humo Nancy Pelosi wa kutaka kuzuru Taiwan. Iwapo ziara hii itafanikishwa, kiongozi huyo atakuwa mtu wa ngazi ya . . .
Asilimia 67.2 ya wakazi wa Dar es Salaam wana uzito kupita kiasi huku wengi wao wakiwa ni wanywaji wa pombe wa mara kwa mara, utafiti wa hivi karibuni umeonyesha. Mkuu wa Idara ya Utafiti n . . .
Gharama ya maisha inapozidi kulemea Wakenya, imebainika kuwa wengi wamekosa kulipa mikopo yao huku kiasi cha madeni wanayodaiwa kikigonga Sh483 bilioni kufikia mwezi Mei 2022. Takwimu za Benki Ku . . .
Waziri wa Maji Mh. Jumaa H. Aweso (Mb) akielekea Buhigwe kwenye ziara ya ukaguzi wa Miradi ya Maji amesimama jimbo la Kigoma Kaskazini na kuzungumza na wananchi wa Vijiji vya Kiganza na Bitale. W . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov amewasili nchini Uganda katika ziara yake ya tatu katika nchi za Afrika, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Russia ametangaza Jumatatu. La . . .
TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumatatu iliendelea kubaki kimya kwa siku ya pili mfululizo, baada ya Idara ya Kuchunguza Uhalifu (DCI) kutoa taarifa ndefu ikiilaumu kwa kutoeleza ukweli ku . . .
Kuna sintofahamu imeibuka kuhusu sarafu ya Sh500 baada ya kuonekana baadhi zenye alama tofauti kwenye mzunguko ambao unaoneshakuwa sarafu hizo zenye baadhi ya alama tofauti zipo kwenye mzunguko na z . . .
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu na wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva akiwemo Harmonize, Marioo, Sholo Mwamba, Balaa Mcee, Sarafina, Mimi Mars, Mzee wa Bwax wameungana na umma wa Mtwar . . .
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewasili mkoani Katavi kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi itakayokwenda sambambamba na kupokea taarifa na kukag . . .
Liberia imeruhusu uraia pacha, na hivo kubatilisha marufuku ya muda mrefu iliyochukuliwa na baadhi ya watu kama ya kinafiki kwani wasomi wengi walikuwa na uraia wa Marekani kwa siri. Mswa . . .
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza maradhi ya homa ya nyani kuwa janga la kimataifa. Hii ni baada ya maradhi hayo hatari kuthibitishwa katika zaidi ya nchi 70 kote dunia Maafisa katika shirik . . .
nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo baadhi ya watumishi wa umma wamekuwa wakijiuliza tangu juzi, baada ya Serikali kuweka nyongeza ya mishahara huku baadhi wakiambulia Sh20,000!Hilo limefanya wa . . .
Korea Kaskazini leo imeishutumu Marekani kwa kutengeneza silaha za kibaiolojia nchini Ukraine na kurejelea madai ya Urusi yaliyopuuziliwa mbali na Umoja wa Mataifa mnamo mwezi Machi. Shirika la ha . . .