Jeshi la Polisi Tanzania limeteketeza silaha 5,230 haramu zilizokamatwa katika kipindi cha miaka miaka minne kuanzia mwaka 2018 hadi Oktoba 2021.Zoezi hilo limefanyika leo Ijumaa Desemba 10, 2021 kati . . .
Jaji Mkuu Wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Amewakumbusha Mawakili Kuzingatia Maadili Na Viwango Katika Nyakati Hizi Za Utandawazi Na Ushindani Jaji Mkuu Ameyasema Hayo Katika Sherehe Ya Miak . . .
Mkuu Wa Mkoa Wa Simiyu David Kafulila Amewataka Wananchi Kutambua Msingi Mkubwa Wa Taifa Hili Ni Katika Kuzingatia Utu Na Usawa Ameeleza Hayo Katika Kongamano La Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya Uhuru . . .
Jamii Imeaswa Kuwa Mstari Wa Mbele Katika Kupiga Vita Ikiwemo Kuwalinda Watoto Wenye Mahitaji Maalum Dhidi Ya Vitendo Vya Ukatili Ili Waweze Kuwa Na Ustawi Bora Kama Ilivyo Kwa Watu Wengi.Rai Hiyo Ime . . .
Mapambano kati ya wakulima, wafungaji na wavuvi kutokana na uhaba wa maji kwenye mpaka wa kaskazini mwa Cameroon karibu na Chad yanasemekana kuongezeka sana katika siku za karibuniMaafisa wa serikali . . .
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema mradi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere ( JNHPP ) utakamilika bila ongezeko la gharama za ujenzi kwa sababu fedha zilizotolewa zinatosha.†. . .
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara zita . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano Desemba 8, 2021 saa 3:00 usiku, atalihutubia taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari. . . .
Mapigano kati ya Waarabu na wapiganaji wa Kiafrika kutoka jamii ya Masalit inayoungwa mkono na waasi wa zamani yamekuwa yakiendelea kwa siku kadhaa sasa. Mapigano katika eneo la Kreinik yamesababisha . . .
Wachimbaji watatu waliokuwa wamenaswa kwa siku sita shimoni Nchini Kenya eneo la Abimbo huko Bondo, kaunti ya Siaya, wameokolewa.Kamishna wa kaunti ya Bondo Nchini Kenya Richar . . .
Jeshi la Uganda limelalamikia vikwazo vya kifedha vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Meja Jenerali Abel Kandiho, mkuu wa ujasusi wa kijeshi wa nchi hiyo.Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda lilisema k . . .
Wizara ya fedha ya Marekani imemuwekea vikwazo mkuu wa idara ya ujasusi wa jeshi la Uganda, Meja Jenerali Abdel Kandiho, kwa shutuma za ukiukwaji wa haki za binadamu zilizofanyika chini ya uangalizi w . . .
Serikali imesema ipo mbioni kuvifungulia vyombo vya habari ambavyo bado vimefungiwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yanayoendelea hivi sasa baina ya mamlaka na wahusika.Kauli hiyo imetolewa leo Juma . . .
Mwanaume mmoja raia wa Saudi Arabia anayeshukiwa kuhusika na mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi amekamatwa nchini Ufaransa, ripoti zinasema. Khaled Aedh Al-Otaibi alikamatwa katika uwanja wa n . . .
Umoja wa falme za kiarabu umepunguza siku za kufanya kazi hadi siku nne na nusu.Wikendi kwa wafanyakazi itakuwa inaanza jumamosi hadi jumapili, badala ya ijumaa hadi jumamosi, ilivokuwa awali.Wiki ya . . .
Mtia nia wa kugombea urais nchini Kenya ameahidi kutoa mikopo yenye thamani ya kati ya TZS milioni 10 hadi TZS milioni 20 kwa wanandoa wapya endapo atachaguliwa katika ofisi hiyo ya juu zaidi nchini h . . .
Kambi ya Mtendeli, moja ya kambi tatu za Tanzania zinazohifadhi wakimbizi wa Burundi imefungwa kabisa, baada ya zaidi ya wakimbizi elfu 19 wa mwisho waliokuwa katika kambi hiyo kuham . . .
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika kusini alisema nchi hiyo sasa ina vifaa vya kutosha vya chanjo, chanjo ni muhimu kwa ajili ya kufufua uchumi wetu kwa sababu watu wengi zaidi wanavyochanjwa maeneo mengi . . .
Taarifa hiyo ya pamoja iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje Marekani ilisema Australia, Canada, Denmark, Uholanzi na Uingereza waliungana na Marekani kuitaka serikali ya Ethiopia ikomeshe mara moja k . . .
MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela aliyekuwa mkuu wa gereza kuu la Kigali kwa kuiba fedha kutoka katika akaunti ya mfungwa, raia wa Uingereza.Innocent Kayumba amehukumiwa . . .
Usawa ni muhimu kwangu na ndio maana kati ya mawaziri 16 kutakuwa na wanaume wanane na wanawake wanane alisema Scholz ambaye anajieleza mwenyewe kama mtetezi wa haki za wanawa . . .
Waandamanaji hao waliandamana kutoka wilaya mbalimbali za mji mkuu, wengi wakiwa wamebeba bendera za taifa na wakiimba “Hapana kwa utawala wa kijeshi” na "jeshi linaweza kukusaliti, lakini mi . . .
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis leo amekitembelea kwa mara nyingine kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki eneo ambalo lilikuwa kitovu cha wimbi la wahamiaji miaka 6 iliyopita na kuitaja ta . . .
Mmarekani mweusi aitwaye, Jeffrey Thornton ameishtaki Kampuni iliyomuajiri ya Encore Group, kwa kumfanyia unyanyasaji baada ya kumwambia akate rasta zake ili aendane na mazingira ya kazini “niliambi . . .