Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewahimiza wawekeza kutoka Sekta binafsi nchini kuwekeza katika sekta ya mifugo kwa sababu kuna fursa kubwa ya kukuza mitaji yao na kupata faida.Alitoa wito . . .
Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira imesema kuanzia Jumatatu Agosti 29, 2022 itafanya oparesheni ya kutokomeza mifuko ya plastiki nchini.Akizungumza na Waandishi wa habari leo Agosti 26, 20 . . .
Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria kesi waliyoifungua mahakamani hapo ya kupinga kuvuliwa uanac . . .
Vladimir Putin alitia saini siku ya Alhamisi agizo la kuongeza idadi ya wanajeshi katika jeshi la Urusi kwa 10% mnamo Januari 1, 2023. Tangazo kali ambalo linakuja katikati ya mzozo wa Ukraine, na wak . . .
Zaidi ya vijana wadogo 2,000 wa Tunisia walivuka bahari ya Mediterania mwaka huu kutoka katika taifa lao la kaskazini mwa Afrika kuelekea Italy kutafuta maisha bora, shirika la kutetea haki za binadam . . .
Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia msaada . . .
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango.Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara . . .
Madeni, bajeti kubwa ya mishahara, miradi iliyokwama na migomo ya wafanyakazi ni miongoni mwa changamoto zinazowakabili magavana 37 wapya wanaoingia afisini leo Alhamisi, Agosti 25, 2022.Hawa ni miong . . .
Mahakama ya Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imemhukumu Raymond Bwire (28) kifungo cha miaka mitano jela kwa kujifanya mkurugenzi mkuu idara ya usalama wa taifa. Hakimu mkazi wa wilaya Mlele . . .
Msemaji wa kundi la Taliban Zabihullah Mujahid amesema leo kuwa bado hawajaupata mwili wa aliyekuwa kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa Al-Qaeda Ayman al-Zawahiri na wanaendelea na uchunguzi. Marekani i . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Karani wa Sensa Kata ya Ilomba Jijini Mbeya LUtengano Mwakibambo kwa tuhuma za kutofika kwenye kituo cha kazi alichopangiwa kwa kusingizia kuwa anaumwa.Mtuh . . .
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud Jumanne ameahidi vita vikali kutokomeza kundi la Al Shabab katika taarifa yake ya kwanza kwa taifa tangu wanamgambo hao wa Kiislamu kufanya uvamizi mbaya wa saa 3 . . .
Serikali ya Misri imesema Rais wa taifa hilo, Abdel Fattah al-Sisi leo hii anakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa mataifa matano ya Kiarabu, mkutano ambao unatarajiwa kuiangazia vita ya Ukraine na a . . .
Nairobi. Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia jana Jumatatu Agosti 22, 2022 baada ya kuanguka ghafla.Meneja . . .
Waandamanaji dhidi ya gharama kubwa ya maisha wamevamia mitaa mbalimbali ya miji ya Port-au-Prince, Les Cayes, Cap-Haitien na Gonaïves. Raia wengi walijitokeza barabarani siku ya Jumatatu, kushutumu . . .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe, Mama Mariam Mwinyi leo Agosti 24, 2022 wameshiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi 2022 lililofanyika nyu . . .
Waziri mkuu wa Finland Sanna Marin hakuonekana kama alitumia dawa za kulevya katika kipimo cha matumizi ya dawa hizo alichofanya kufuatia kusambazwa mitandoni kwa kanda za video zikimuonyesha akishere . . .
Benki ya dunia Jumatatu imetoa msaada wa dola milioni 300 kwa Msumbiji, kuashiria kurejea kwake nchini humo miaka sita baada ya kusitisha msaada wake wa kifedha kufuatia kashfa ya deni iliyofichwa.Waz . . .
Shekh wa mkoa wa mwanza shekh Hasani Kabeke katika hatua za mwisho leo taehe 22- 8- 2022 amehamasisha sensa na kutoa maelekezo kwa ofisi za bakwata na madrasa zote zilizopo mkoani mwanza&n . . .
ISLAMABAD Polisi nchini Pakistan wamemfungulia mashitaka ya ugaidi waziri mkuu wa zamani Imran Khan na kusababisha kuuongeza mvutano wa kisiasa katika nchi hiyo. Hayo yameelezwa hii leo na maafisa nch . . .
Utafiti mpya umehitimisha kwamba maradhi ya saratani yanaweza kuzuilika kwa kudhibiti visababishi vya maradhi hayo kama matumizi ya tumbaku na pombe pamoja na uzito mkubwa wa mwili. Utafiti huu ni kul . . .
Takriban Wakenya milioni moja kutoka maeneo kame wanakabiliwa na baa la njaa kutokana na ukame wa muda mrefu ambao umeathiri shughuli za kilimo.Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Ukame (NDMA) jana . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Mark Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na maji (Ewura)akichukuwa nafasi ya Profesa Jamidu Hazzam am . . .
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, amemuagiza IGP Camillius Wambura, kuangazia malalamiko yote yanayotolewa na wananchi kwa jeshi la polisi na kuwachukulia hatua askari wachache wanaoharibu taswira ya . . .
Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa nchini Rwanda kwa shutuma za kuvaa mavazi ya aibu anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela, waendesha mashtaka wamesema Alhamisi.Liliane Mugabeka . . .
Waziri Mkuu Kassim MajaliwaWaziri mkuu Kassim Majaliwa kasimu ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka mitatu katika eneo la Boko-Dovya, wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam baina ya Bw. Aloyce . . .
Ujumbe wa bunge la Marekani upo nchini Kenya kukutana na rais mteule na kiongozi wa upinzani ambaye anatarajiwa kuwasilisha kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi katika nchi hiyo yenye demokrasi . . .
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko. Lengo ni kuwezesha Watanzania kushiriki Sensa ya Watu na Makazi. . . .
Zimbabwe imesema Jumanne kwamba mlipuko wa Surua nchini humo kufikia sasa umeua takriban watoto 157, huku kukiwa na zaidi ya maambukizi 2,000 yaliyoripotiwa kote nchini.Kesi za maambukizi zimekuwa zik . . .
Hali ya huzuni ilitanda Jumanne wakati wa mkusanyiko wa takriban watu 5,000 nchini Afrika kusini wakiadhimisha miaka 10 ya kile kinachojulikana kama mauaji ya Marikana, ambapo polisi waliwa . . .