SERIKALI YATANGAZA OPARESHENI YA MIFUKO YA PLASITI

Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira imesema kuanzia Jumatatu Agosti 29, 2022 itafanya oparesheni ya kutokomeza mifuko ya plastiki nchini.

Akizungumza na Waandishi wa habari leo Agosti 26, 2022 Jijini Dodoma kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Dk Philip Mpango, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Seleman Jafo amesema hivi karibuni watu wasio waaminifu wamegeuza vifungashio kuwa vibebeo vya bidhaa.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii