Shekh wa mkoa wa mwanza shekh Hasani Kabeke katika hatua za mwisho leo taehe 22- 8- 2022 amehamasisha sensa na kutoa maelekezo kwa ofisi za bakwata na madrasa zote zilizopo mkoani mwanza na kufungwa kwa siku moja ya tarehe 32-8 -2022 ili kubaki majumbani ili kupokea makarani wa sensa na kuweza kufanikisha zoezi la kuhesabiwa kwa maendeleo ya taifa.
Aidha amewaomba wananchi kutoa tarifa sahihi kwa makarani watakao fanya sensa ya watu na makazi ili serikali ipate takwimu sahihi za kila eneo na kwaajili ya maendeleo nchi.