Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe, Mama Mariam Mwinyi Washiriki Zoezi la Sensa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe, Mama Mariam Mwinyi leo Agosti 24, 2022 wameshiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi 2022 lililofanyika nyumbani kwake Migombani, Mkoa wa Mjini Magharibi.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii