VIONGOZI wa mataifa mbalimbali ya ulimwenguni wameanza kumtumia Donald Trump jumbe za kumpongeza anapoelekea kuibuka mshindi katika uchaguzi wa urais nchini Amerika uliofanyika Novemba 5, 2024.Waziri . . .
Fox News imetangaza Donald Trump amemshinda Makamu wa Rais Kamala Harris katika uchaguzi wa urais wa 2024, hatua ambayo inampa muhula wa pili na kubadili rekodi iliyowekwa na Grover Cleveland, rais wa . . .
Wabunge wa muungano unaotawala nchini Pakistan, waliidhinisha msururu wa miswada Jumatatu inayoongeza muda wa wakuu wa vikosi vya usalama, ikiwa ni pamoja na jeshi, kutoka miaka mitatu hadi mitano, li . . .
Russia ilikataa kuthibitisha mipango yake kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini ambao inasemekana inapanga kupeleka katika mapambano yake dhidi ya Ukraine, wakati wa makabiliano na Marekani Jumatatu kwenye . . .
WASICHANA watatu katika Kaunti ya Narok wanaendelea kufanya mitihani ya kitaifa ya sekondari (KCSE) wakiwa hospitalini baada ya kujifungua saa chache kabla ya kuanza kwa mtihani Jumatatu.Mkurugenzi wa . . .
Tanzania imetajwa kuwa kati ya mataifa 10 bora barani Afrika ambayo yana miundombinu bora zaidi ya barabara. Taarifa hizo zinakuja ikiwa serikali chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ikiwa imewe . . .
Rais wa Iran, Jumapili amesema uwezekano wa kusimamishwa mapigano baina ya washirika wake na Israel, kunaweza kuathiri kiwango cha mwitikio wa Tehran, kwa mashambulizi ya karibuni ya Israel katika mae . . .
Hata hivyo, Wakurya wengi wanapatikana katika wilaya za Tarime, Serengeti na sehemu za wilaya za Rorya na Butiama lakini pia wanaishi katika wilaya zingine za mkoa huo.Mbali na kupatikana mkoni humo p . . .
Mkuu wa Polisi wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Selestin Luhende amewataka wanandoa kuacha kupekua simu za wenza wao ili kuepuka madhara yanayoweza kupatikana ikiwemo ugomvi unaoweza kuvunja ndoa pamoja . . .
Ujumbe kutoka Benki ya Dunia umeonesha kuridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) unaoendelea Chuo Kikuu Mzumbe, baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi . . .
Ujerumani Alhamisi imesema kuwa itafunga ubalozi wa Iran nchini humo yakiwa majibu ya tangazo la Iran la kuuwa Jamshid Sharmahd, mjerumani mwenye asili ya Iran, na aliyekuwa mkazi wa Marekani mapema w . . .
Aliyekuwa Waziri wa Usalama wa ndani, Prof. Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa Naibu Rais mpya wa Kenya, akichukua nafasi ya Rigathi Gachagua ambaye aliondolewa madarakani, huku akiapa kuwa mtiifu . . .
Wananchi wa Palangawanu, halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe, mkoani Njombe, wamekumbwa na huzuni baada ya kubaini kuwa wametapeliwa fedha zao za mahindiKatika godauni lililokuwa na mahindi, walikut . . .
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus, amewataka Madereva kuzingatia tija na ufanisi katika utendaji kazi wao ili kuhakikisha jamii inafanya kazi . . .
HATIMA ya watahiniwa 23 wa mtihani wa Gredi ya Sita (KPSEA) katika Kaunti ya Uasin Gishu haijulikani baada ya kubainika kwamba walikalia mtihani feki.Shule hiyo, Silver Bells Academy eneo la Kimumu, E . . .
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameandikia barua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, akielezea wasi wasi wake kutokana na sheria mpya ya Israel iliopitishwa, ikuzuia Umoja huo k . . .
Mwanamume Mkenya ambaye amekuwa akitumikia kifungo cha miaka 10 jela amesimulia kuwa alimficha mpenzi wake kuhusu hali yake ya Ukimwi kwa sababu alikuwa na wasiwasi angemwacha.Arthur Wachira, ambaye a . . .
Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Viwandani, Kata ya Unga Limited wametishia kutompa kura za “Ndio” mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa huo kupitia Chama hicho end . . .
Muungano wa vyama unaoongoza Japan, Jumapili, umepoteza wingi wake kwenye uchaguzi wa kitaifa wa Jumapili, hali ambayo imezua wasi wasi kuhusu serikali mpya itakayoundwa kwenye taifa hilo la nne kiuch . . .
Kyiv inasema inamzuilia mwanaume mwenye asili ya Ukraine anayefanya kazi ya kujitolea na shirika la mpango wa chakula duniani WFP kwa kuwasaidia wanajeshi wa Urusi kuingia mashariki ya taifa hilo.Kuli . . .
Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia Castory Abusalam Kindole mwenye umri wa miaka 48 mkazi wa Kijiji cha Idindilimunyo wilayani Wanging’ombe kwa tuhuma za mauaji ya mke wake Sifa Lusemwa &nb . . .
VIJANA wawili wamekamatwa na vyombo za ulinzi na usalama wilayani Magu mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuzalisha na kusambaza mbegu feki za mahindi zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 41 pamoja na dawa f . . .
Maafisa wa jeshi la Cameroon wamesema kwamba wanafanya uchunguzi baada ya video iliyosambazwa mitandaoni ikionyesha mwimbaji maarufu akiteswa na vikosi vya usalama.Maafisa wa jeshi la Cameroon walisem . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert John Chalamila, ameendelea na ziara yake ya usiku kwa usiku leo, Oktoba 23, 2024, ikiwa ni siku ya pili ya ziara ya ukaguzi wa miundombinu na utoaji wa hudum . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kwamba Ufaransa itatoa euro milioni 100 kwa Lebanoni, akiongeza kwamba "vita vinapaswa kukoma haraka iwezekanavyo" kati ya Israel na Hezbollah."Ufaransa&nbs . . .
Zaidi ya vijana 500 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika Jumatatu wamekutana Jijini Arusha ,Tanzania kujadili namna watakavyoweza kupata fursa na haki ya kumiliki ardhi katika nchi &n . . .
Rais wa Cameroon Paul Biya amerejea nchini Tangu siku ya Jumatatu Oktoba 21, 2024. Aliwasili kwenye uwanja wandege wa kimataifa wa Yaounde saa 12: 38 za za Cameroon, kulingana na picha zilizorushwa he . . .
Mamlaka mjini Buenos Aires inaendelea na uchunguzi wao kuhusu kifo cha nyota wa zamani wa #OneDirection #LiamPayne, Wanashuku kuwa mfanyakazi wa hoteli huenda alimpa dawa za kulevya kabla ya kuanguka . . .
Hapa ndipo kuna hadithi ya maisha ya Bw. Hamis Omary Uchuro na Bi Hadija ambao ni walemavu wa macho wakazi wa Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.Safari ya maisha ya wanandoa hawa ilianza tangu mwaka 20 . . .
Shirika la Afya duniani WHO, limeithibitisha rasmi Misri kuwa nchi isiyokuwa na Malaria jambo linaloashiria hatua muhimu sana katika vita dhidi ya ugonjwa huo.Hatua hii ni kauli yenye kuonyesha nguvu . . .