logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Burudani

  • Pata Habari Zote Za Burudani Hapa
news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 15, 2022

Amber Lulu" Najilaumu Kuunadi Mwili Wangu Kwenye Mitandao".

Lulu Euggen almaarufu Amber Lulu; ni muuza nyago (video vixen) na ni msanii wa Bongo Fleva anayefanya vizuri ambaye anafunguka kuwa, kipindi cha kukaa utupu ili mtu u . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 15, 2022

Nai" Mastaa Acheni Pombe Kali na Bata Zisizokuwa na Maana Kwenu".

NAIRATH Ramadhan au Nai; ni video vixen na msanii wa Bongo Fleva ambaye kwa mara ya kwanza amefunguka sababu iliyomfanya apungue, kuwa ni pamoja na kupunguza matumizi . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

WEMA SEPETU " SIWEZI KUCHORA TATOO YA MWANAUME BABA YANGU YUPO".

Wema Isaac Abraham Sepetu siku hizi wanamuita Last Born wa Taifa; ni staa mwenye jina kubwa kunako Bongo Movies ambaye anafunguka kuwa, kamwe hawezi kuchora tattoo ya . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

KIBA "Sijawahi Kuimba Wimbo Wenye Uongo"

KING Kiba; ni mfalme wa muziki nchini Tanzania ambaye amezua mjadala kama wote, baada ya kutoa kauli tata kuwa, bila uongo hakuna mapenzi. King Kiba anasema kuwa, ha . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 2, 2022

Msanii wa Bongo Fleva Gigy Money Aliamsha Tena

MOURAD Alpha almaarufu Mo J; ni mtangazaji wa Radio Clouds FM ambaye dunia inajua ni baba mzazi na halisi wa mtoto Mayra aliyezaa na msanii wa Bongo Fleva, Gigy Money . . .

news
Flamu/Movie
  • Na Asha Business
  • April 19, 2022

Rais Samia aanza kuwafungulia njia bongo movie duniani

Kutoka kuwa mshiriki na kuzindua filamu ya Tanzania: The Royal Tour, kufanya mazungumzo na ikulu ya White House hadi kuanza kujenga daraja kati ya kampuni za filamu z . . .

news
Flamu/Movie
  • Na JZ The Brand
  • April 13, 2022

Rais Samia aondoka nchini kwenda Marekani, ‘atashiriki pia uzinduzi wa filamu ya the Royal tour’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisindikizwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere D . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 12, 2022

MARIOO NA MIMI MARS WAWEKA PENZI LAO HADHARANI

Kwa muda mrefu wasanii wa muziki nchini Tanzania, Marioo na Mimi Mars wamedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi, lakini wakawa wanakanusha. Lakini kama ujuavyo, penzi ni . . .

news
Muziki
  • Na Asha Business
  • April 6, 2022

Wakazi atangaza ujio wa album yake ya tatu #Beberu

Kupitia mitandao yake ya kijamii Wakazi ametangaza ujio wa album hiyo baada ya album ya Live at Sauti za Busara ambayo ndio ilikuwa album yake ya mwisho aliyoiachia m . . .

news
TAMASHA
  • Na Asha Business
  • April 1, 2022

TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA LASITISHA SHUGHULI ZAKE.

Baada ya miaka 19 ya kusherehekea tamaduni tofauti na muziki wa Kiafrika, pazia la Sauti za Busara linafungwaZanzibar: Kwa huzuni na masikitiko makubwa, Busara Promotions . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 31, 2022

Wakazi awapa somo Nay na Diamond

Rapa Wakazi ameibuka na jipya kuhusu kujitoa kwenye tuzo za muziki kwa msanii Nay wa mitego ambaye hivi karibuni alitangaza kujiengua kutokana na kile alichodai kuwa . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 30, 2022

Barnaba kuandika historia mwaka 2022

Mwanamuziki mahiri wa bongo fleva Elias Barnabas maarufu Barnaba boy, ametoa taarifa rasmi kuwa yuko katika maandalizi ya album yake mpya anayotarajia kuiachia siku z . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 25, 2022

Steve Nyerere Ajiuzulu

Steve Nyerere ametangaza kujiuzulu leo hii Kwenye ofisi za BASATA leo hii akiwa anazungumza na Waandishi wa Habari Steve amesema ataendelea kuwepo kwenye Maisha ya Wasan . . .

news
Habari
  • Na Asha Business
  • March 23, 2022

BASATA wana jukumu la kusimamia Shirikisho la Wasanii

Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa sio jukumu la serikali kuingilia mambo ambayo yanaendelea kwenye baadhi ya mashirikisho ambayo y . . .

news
Muziki
  • Na Asha Business
  • March 22, 2022

TAMASHA LA TAARABU LA KIMATAIFA LATINGA

Ndugu Yakubu amesema hayo Machi 2022 jijini Dodoma wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi la wizara hiyo kilichofanyika Machi 21 na 22 jijini hapo.“Nawasisiti . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Davido kuwagawia wanaijeria zaidi ya milioni 110

Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria David Adedeji Adeleke maarufu Davido ametangaza neema kwa raia wa nchini Nigeria kwa kuamua kugawa kiasi cha pesa kisichopungua . . .

news
Muziki
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Album ya Mavoko yasitishwa

Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, mwanamuziki Rich Mavoko amekuwa akipaza sauti za kuunadi ujio wa album yake mpya aliyopanga kuiachia rasmi Machi 18, 2022. Licha y . . .

news
Muziki
  • Na Asha Business
  • March 17, 2022

Album ya Kiba yazidisha ‘streams’ 150 milioni

Meneja wa mwanamuziki Ali Kiba, Aidan Charlie ameweka wazi kuwa Album ya msanii wake imefanikiwa kufikisha zaidi ya streams Milioni 150 kwenye platforms mbali mbali. . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 14, 2022

Mama Diamond amepunguza tetesi za Diamond na Zuchu

Wawili hao wamezungumza mengi kuhusu mahusiano ya mapenzi ambayo yalikuwa yanadaiwa kuwepo huku mashabiki wengi wakiamini wimbo huo umethibitisha kwamba wawili hao ni . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 9, 2022

King Kiba Ayamaliza Na Mkewe Amina

Hivi  karibuni kume kuwa na  mijadala mingi inayomuhusu King Kiba; mfalme wa Bongo Fleva na C.E.O wa Lebo ya Kings Music na mke wake AminaKwa mujibu wa vyombo v . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 9, 2022

Kajala Atoa Nukuu Ya Kuwatia Moyo mashabiki Wake

Supastaa wa  Bongo Movies Kajala Masanja  alivuma sana mwaka jana baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Harmonize. Alizidi kuv . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 28, 2022

Mchekeshaji Eric Omondi Sasa Asema Hatawahi Kuoa Maishani Mwake, Ataja Sababu.

Mchekeshaji Eric Omondi sasa anadai kuwa hatawahi kufunga pingu za maisha kwani anaogopa ndoa na matatizo yake.Mchekeshaji huyo licha ya kuwa na umri wa takriban miaka 40 . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 28, 2022

Nikki Mbishi kuja na Album mpya

Rapa Nikki Mbishi ametangaza rasmi kuwa album yake mpya ‘Welcome to Gamboshi’ tayari imefikia asilimia takribani 97 kukamilika ili kuwa tayari kuingia sokoni. . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 28, 2022

Jux kugawa Kitita kwa shabiki

Jux ametangaza kutoa zawadi kwa shabiki yake atakayeweza kubashiri siku na muda atakaoachia wimbo wake mpya ‘I love you’ alioshirikiana na nyota kutoka nchini Gha . . .

news
Muziki
  • Na Asha Business
  • February 27, 2022

Asa Aachia Albamu Yake Akimshirikisha Wizkid

SIKU chache baada ya kuachia ngoma mbili kwa mpigo za Mayana na Ocean, staa mrembo kutoka nchini Nigeria, Asa amezindua rasmi albamu yake yenye ngoma kumi ndani yake, . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 27, 2022

Grand P " Mimi na wewe ‘dam dam"

Mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea Moussa Sandiana Kaba almaarufu Grand P amethibitisha kuwa bado anampenda mwanasoshalaiti Eudoxie Yao miezi kadhaa baada ya&nb . . .

news
Mastaa
  • Na JZ The Brand
  • February 21, 2022

Neema yawadondokea Ray, JB

WAANDAAJI wa filamu Afrika Mashariki hususa ni waandishi wa miswada (script writters) watanufaika na mpango maalum ulioandaliwa na Taasisi ya Realness kwa ajili ya ku . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Hawajui Maisha Hao

MWANAMAMA mtata kunako Bongo Flevani, Gift Stanford almaarufu Gigy Money, anasema kuwa, asilimia kubwa ya watu wanaokesha kumsema vibaya mitandaoni kuwa anapenda kuji . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 21, 2022

Lulu" Sijawahi Kupanda Bodaboda"

ELIZABETH Michael au Lulu ni mwigizaji ambaye ni nembo ya Bongo Movies kwani alianza kuigiza akiwa na umri wa miaka mitano pekee! Lulu amejikuta kwenye mabishano makali n . . .

news
Habari
  • Na JZ The Brand
  • February 18, 2022

Meridianbet Kuchangia Miche 20,000 Kwenye Masoko Yake

Ubora wa hali ya hewa umekuwa ukiongoza mijadala mikubwa ya masuala ya kimataifa kwa miongo kadhaa sasa. Ndio maana Meridian Gaming Group inafanyia kazi moja ya miradi mi . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 18, 2022

Bobi Wine na mkewe washerehekea miaka 20 ya ndoa

Mwanamuziki na mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine na mkewe Berbie Kyagulanyi walisherehekea miaka 20 ya mahusiano Februari 16, katika jumbe za kukosha ka . . .

news
Mastaa
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

Msanii wa Nigeria Rema atangaza ujio wa collabo na Chris Brown

Ni Headlines za mkali kutokea nchini Nigeria, Rema ambae time hii ameingia katika vichwa vya habari baada ya kuonekana kwneye picha ya pamoja akiwa studio na Chris Brown. . . .

news
Muziki
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

RODJAZZ, MWANAMUZIKI CHIPUKIZI TANZANIA WA KUTAZAMWA 2022

“Ninatarajia kuachia kazi zenye ubora na ubunifu mkubwa ili kuendana na kasi ya soko la muziki ndani na nje ya Tanzania”Rodgers George maarufu zaidi kama Rodjazz ni j . . .

Kurasa 12 ya 14

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 8 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 8 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 9 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode