Wawili hao wamezungumza mengi kuhusu mahusiano ya mapenzi ambayo yalikuwa yanadaiwa kuwepo huku mashabiki wengi wakiamini wimbo huo umethibitisha kwamba wawili hao ni wapenzi.
Wadau wa mambo wakawa wanadai @diamondplatnumz anashindwa kujiachia kwa @officialzuchu kwa kuweka mambo hadharani kwamba anampenda Zuchu kwa kuwa @mama_dangote hapendi mahusiano hayo.
Jumatatu hii @mama_dangote amepost video ikimuonyesha @officialzuchu na @diamondplatnumz wakiimba wimbo ‘Mtasubiri’ ujumbe ambao unadaiwa utapunguza kelele.