Rais Samia aondoka nchini kwenda Marekani, ‘atashiriki pia uzinduzi wa filamu ya the Royal tour’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisindikizwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam wakati akielekea nchini Marekani kwa ziara ya kikazi.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii