Steve Nyerere ametangaza kujiuzulu leo hii Kwenye ofisi za BASATA leo hii akiwa anazungumza na Waandishi wa Habari
Steve amesema ataendelea kuwepo kwenye Maisha ya Wasanii kwani bado ana nafasi za Uongozi sehemu mbali mbali na hata ataendelea kuendesha Matamasha yanayowahusu wasanii.