Mamia ya Waislamu na Wakristo huko Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso, wameshiriki pamoja dhifa ya futari katika medani ya Place De La Na . . .
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde amesema daraja la J.P Magufuli (Kigongo Busisi) lenye urefu wa KM 3 litaanza kutumika . . .
Polisi mjini Naivasha wamemkamata mwanamume mmoja raia wa Uganda kwa madai ya kumuua mkewe katika eneo la Lwakhakha linalopakana na Kenya na . . .
Finland imeorodheshwa ya kwanza kama nchi yenye watu wenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo. Kulingana na ripoti ya Furaha y . . .
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wamee . . .
Kiongozi mkuu wa upinzan nchini Kenya, Raila Odinga amefichua kuwa aliamua kumwokoa Rais William Ruto wakati wa maandamano ya Gen Z ili kuzi . . .
MAHAKAMA ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida imemhukumu kifungo cha maisha jela Barnaba Yohana Isaya (20), mkazi wa kiji cha Nselembwe, kata . . .
Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya Luis de Guindos amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu . . .
Israel imeapa kuendelea na mapigano katika Ukanda wa Gaza hadi pale ambapo mateka wote wanaoshikiliwa na Hamas wataachia huru.Tangazo la Isr . . .
WANAUME wakongwe ambao hunywa sharubati ya zabibu (grape juice) wanapunguza uwezekano wa kuandamwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, . . .
Rwanda imetangaza Jumatatu, Machi 17, kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Ubelgiji, ikishutumu serikali ya zamani ya kikoloni kwa "kuunga mk . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja (26), mkazi wa kijiji cha Kirwa, Wilaya ya Rombo, kwa tuhuma za mauaji ya m . . .
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni ya Mkoani Kigoma, imekanusha Picha mjongeo iliyonakilishwa na Mange Kimambi Machi 13, 2025 kwenye ukurasa . . .
Mwanamke mmoja kutoka Connecticut, Kimberly Sullivan (56), amekamatwa baada ya kijana anayesemekana kuwa mtoto wake wa kambo kudai kuwa alim . . .
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema Tanzania imefanikiwa kuudhibiti ugonjwa wa mlipuko wa Marburg na ameutangazia Umma wa Watanzania kuw . . .
Jeshi la kujenga Taifa (JKT), limesema lipo tayari kutoa ushirikiano kwa Taasisi mbalimbali za ajira, ili kuwachukulia hatua kali Vijana wan . . .
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema Iran haipo tayari kwa mazungumzo na Marekani wakati inapewa vitisho na kumtaka Rais Donald Trump ‘ . . .
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetangaza kumalizika kwa majukumu yake ya kupeleka wanajeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi . . .
Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12 Emmanuel John (31), maarufu kama . . .
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dk. Patrice Motsepe, amechaguliwa tena kuliongoza Shirikisho hilo kama Rais kwa kipindi ch . . .
Nchini Norway katika mji wa Halden lipo gereza maarufu la Halden linalotajwa kuwa gereza lenye utu zaidi duniani.Gereza hilo lililojengwa kw . . .
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amewasili jijini Jeddah, Saudi Arabia na kupokelewa kwa heshima zote na Mrithi wa Kiti cha Ufalme, Mwana . . .
Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amekamatwa kwa hati maalum kutoka Mahakama ya Uhalifu wa Kivita (ICC) kufuatia tuhuma za ukatil . . .
hirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevifungia viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza), na Liti (Singida) kutumika kwa m . . .
Maafisa wa utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump wamemkamata mwanafunzi raia wa Palestina aliyehitimu ambaye alihusika sana katika maanda . . .
Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji, ameweka wazi kuwa mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga SC na Simba SC, iliyokuwa imepangwa kufanyi . . .
KATIKA kijiji cha Koono, Kaunti ya Turkana, Lomong, kijana wa miaka 12 amekaa kwenye kiti huku akiwatazama vijana wenzake wakicheza kandanda . . .
Uchunguzi kuhusu kifo cha Gilbert Kinyua, mgonjwa anayedaiwa kuuawa akiwa amelazwa katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta, umekwama baada y . . .
Rais wa Marekani Donald Trump Alhamisi amechelewesha kwa wiki nne ushuru mpya wa asilimia 25 kwenye bidhaa nyingi kutoka Mexico na Canada kw . . .
Katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), D . . .
Iran imekamilisha miezi miwili ya mazoezi makali ya kijeshi katika miongo kadhaa huku ikijaribu kuzuia uwezekano wa mashambulizi kutok . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa kile alichokiita “onyo la mwisho” kwa Hamas kuwaachilia mara moja mateka wote walioko Gaza – hatu . . .
Umoja wa Mataifa umesema Wapiganaji wa M23 wamewateka karibu Watu 130 kutoka Hospitali za Mji wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kon . . .
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Omary Seleman Mwanamtwa (61), mkazi wa Morogoro ambaye ni dereva wa teksi, anashikiliwa na polisi m . . .
Bila shaka unamfahamu mdudu anaitwa Mende au kombamwiko: Mdudu huyu anaweza kuishi zaidi ya mwezi bila ya kula chakula chochote kutokana na . . .
Familia mashariki mwa DRC, Jumanne ya wiki hii zilizika wahanga wa shambulio lililoua takriban watu 13 huko Bukavu, huku jamaa waliokuwa na . . .
Marekani imeweka bayana kwamba haitakuwa ikitoa mchango wa moja kwa moja kwa majukwaa ya Umoja wa Mataifa yakiwemo maendeleo endelevu pamoja . . .
Rais wa Baraza la Taifa na Bunge la Jamhuri ya Cuba, Esteban Lazo Hernandez, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.Katika Uwanja . . .
Takriban Watu sita wamefariki dunia na wengine 49 kujeruhiwa kufuatia kutokea kwa ajali iliyohusisha Lori na Basi la abiria katika eneo la C . . .
Zaidi ya Wakenya 60 waliookolewa kutoka mikononi mwa makundi ya matapeli wa mtandaoni nchini Myanmar wamekwama kwenye mpaka kati ya nchi hiy . . .