Kampuni ya Tigo ambayo inadhamini mbio za km 21 za Kilimanjaro Marathon imetoa wito kwa washiriki wa mbio hizo waendelee kujisajili kwa wingi huku ikiwa imebaki takriban . . .
Barcelona wanamaliza nafasi ya tatu kwenye Kundi lake na watakwenda kucheza Europa league.Mara ya mwisho Barcelona kushindwa kucheza hatua ya 16 Bora ligi ya mabingwa na . . .
Nafasi moja itaamuliwa na mchezo kati ya Atalanta na Villareal ulioahirishwa kutokana na hali ya hewa.Timuzilizopo upande wa kushoto ndio VINARA wa makundi na watakutana . . .
Ikiwa ni Siku tatu za tambo na vijembe kuelekea kwenye mchezo wa Kariakoo Derby, Simba na Yanga Disemba 11, 2021 kwenye dimba la Benjamin Mkapa, Maofisa habari wa vilabu . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ya soka ya Walemavu ‘Tembo Warriors’ kwa kufuzu kuiwakilisha nchi kwenye kombe . . .
NAMUNGO ni miongoni mwa timu inayopitia wakati mgumu kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na kushindwa kupata matokeo mazuri huku ikielezwa kuwa matokeo haya yamepelekea viongoz . . .
ACHANA na furaha waliyokuwa nayo Simba baada ya kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, Uongozi wa timu hiyo umeendelea kulisuka benchi la . . .
Msimamo wa ligi kuu ya England baada ya mechi 15. Huku timu tatu Manchester City, Liverpool na Chelsea zikiwa na nafasi kubwa ya kumaliza ndani ya nne bo . . .
Wakati joto la pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya vinara Yanga dhidi ya Simba likizidi kupanda mwamuzi, Herry Sasii amepewa jukumu la kusimama kati kuamua mchezo h . . .
Miss Tanzania namba mbili, Juliana Rugumisa ambaye aliteuliwa kushiriki Miss World baada ya aliyeshika nafasi ya kwanza, Rose Manfere kuenguliwa kutokana na utovu wa nidh . . .
KLABU ya Simba imefanikiwa kuingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa mabao 2-1 na Red Arrows katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa, Zambia. Wenye . . .
Newcastle United imeanza kuonesha nia ya kumtaka kiungo wa Uingereza Jesse Lingard katika dirisha dogo la Januari, mchezaji huyo mwenye miaka 28 kandarasi yake inataraji . . .
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Soka kwa Wenye Ulemavu (Tembo Warriors), imeipa hadhi nchi kwa kuwa Taifa la kwanza Afrika, kufuzu kwenda Robo Fainali za Mashindano ya Soka . . .
LIONEL MESSI ANASHINDA TUZO YA BALLON D’OR MARA YA 7.Miaka aliyoshinda Leo Messi Ballon d’Or!2009: Lionel Messi 2010: Lionel Messi 2011: Lionel Messi 2012: Lionel Mes . . .
TIMU ya Simba ya Tanzania imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katikap Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Mchezo huo, umepigwa leo J . . .
Manchester United wamethibitisha kusitisha mkataba wa kocha Ole Gunnar Solskjaer baada ya matokeo mabovu ya hivi karibuni.Taarifa ya United inasema Michael Carrick atasim . . .
Kiungo wa PSG Idris Gana Gueye ametoa msaada wa vifaa vya hospitali, dawa pamoja na kiasi cha pesa kwa wizara ya Afya ya taifa lake la Senegal ili kuwasaidia Wananchi wa . . .