BANDA AREJESHWA TAIFA STARS

Kocha mkuu wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Hanoor Janza amemrejesha kikosini beki Abdi Banda anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika klabu ya Chipa United kwenye.
Janza leo Jumanne ametangaza kikosi kitakachocheza mechi za kirafiki zilizopo kwenye kalenda ya FIFA.
Stars inatarajia kuanza kuingia kambini Jumamosi na Jumatatu watafanya mazoezi mepesi kisha Jumanne wataondoka kwenda nchini Libya kucheza mechi za kirafiki mbili na timu hiyo kuanzia tarehe 20.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii