Uongozi wa Klabu ya Mbeya Kwanza FC imemtangaza kocha wa zamani wa Dodoma Jiji, Mbwana Makata kuwa Kocha Mkuu wa kikosi cha klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania . . .
Kiungo Mshambuliaji Wa Klabu ya Simba SC Bernard Morrison amewataka Mashabiki wa klabu hiyo kuamini timu yao bado ina nafasi kubwa ya kutinga hatua ya Robo Fainali Ko . . .
Mabingwa watetezi Chelsea watamenyana na mabingwa mara 13 Real Madrid katika robo fainali ya Kombe la Klabu Bingwa barani Ulaya.Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza Manchest . . .
Menaja wa Habari na Mawasilino wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally amesema lengo kuu la kikosi chao kuelekea Benin ni kuendeleza mapambano katika michuano ya Kombe la Shi . . .
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Klabu ya Young Africans Hassan Bumbuli ameijibu KMC FC baada ya klabu hiyo ya Kinondoni Jijini Dar es salaam, kutamba kuondok . . .
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ amesema klabu hiyo ina mpango wa kusajili wachezaji wanne wa K . . .
Mnigeria Sylvester Igboun (31) amekuwa Mwanasoka wa Kiafrika wa kwanza kuondoka kwenye Ligi ya Urusi kufuatia uvamizi uliofanywa na Urusi nchini Ukraine. Igboun amet . . .
Kiungo wa klabu ya Manchester United Paul Pogba ametangaza kuwa nyumba yake ilivamiwa na wezi siku ya Jumanne usiku wakati timu yake ikicheza na Atletico Madrid. Waka . . .
Mshambuliaji wa Namungo FC Reliant Lusajo amewajibu baadhi ya Wadau wa Soka la Bongo ambao wamekua wakihoji ubunifu wa ushangiliaji pale anapoifungia timu yake kwenye . . .
Makamu wa Rais wa RS Berkane Majid Medrane amethibitisha kuandikwa kwa barua ya malalamiko na kutumwa Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ kuhusu mapungufu yali . . .
Shabiki wa Kalbu ya Young Africans Peter Kanduru ametimiza ahadi yake kwa kumzawadia Ng’ombe Mshambuliaji hatari wa klabu hiyo kwa sasa, Fiston Kalala Mayele. . . .
Timu ya US Monastir ya Tunisia ilikuwa ya kwanza kukata tiketi ya kuingia robo fainali ya michuano ya BAL baada ya kuishinda timu ya Dakar University Club-DUC   . . .
Kocha Mkuu wa RS Berkane ya Morocco Florent Ibenge amesema hatashangaa kuiona Simba SC ikicheza Fainali ya Kombe la Shirikisho msimu huu, kufutia kiwango chao kuikari . . .
Uongozi wa Young Africans umesema upo tayari kumuuza mchezaji yoyote mwishoni mwa msimu huu, endapo itapata ofa nzuri inayoendana na thamani ya mchezaji husika. . . .
Washindi wa mechi ya ufunguzi ya BAL ya msimu wa pili timu ya Seydou Legacy Athletique Club (SLAC) ya Guinea wamepata ushindi mwingine dhidi ya Ferrovia . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar esa Salaam Amos Makalla amewahimiza Mashabiki wa soka mkoani humo na sehemu za karibu, kufika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili (Machi 13) . . .
Timu ya Young Africans itacheza mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Timu ya taifa ya Somalia iliyoweka kambi nchini Tanzania kujiandaa na mchezo wa hatua ya awal . . .
Bilionea Nick Candy amethibitisha kuwa na nia ya kutaka kuinunua Klabu ya Chelsea iliyowekwa sokoni na mmiliki wake, Bilionea wa Kirusi, Roman Abramovic. Bilio . . .
Kiungo kutoka nchini Croatia na klabu ya Real Madrid Luka Modric ametangaza hadharani kutaka kuona Mshambuliaji wa PSG Kylian Mbappe akijiunga na The Galacticos msimu . . .
Kikosi cha RS Berkane kimeanza safari ya kuelekea Dar es salaam Tanzania, tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wa 04 wa ‘Kundi D’ Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Si . . .
Beki wa Kulia wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Shomari Salum Kapombe amewatoa hofu Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo, kuhusu hali yake kuelekea mchezo wa . . .
Nahodha na Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania, Mbwana Samatta na mamia ya watu maarufu wamejitokeza kuchangia timu ya Taifa ya Wanawake ya Twiga Stars . . .
Licha ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Young Africans katika mchezo wa Mzunguuko wa 17 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wachezaji wa Geita Gold FC wamepongezwa na Uongozi w . . .
Klabu ya Azam FC imejitoa Rasmi katika mbio za Ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2021/22, baada ya kuangusha alama 08 katika michezo mitatu dhidi ya Biashara United M . . .
Kocha Mkuu wa Simba SC Franco Pablo Martin anaamini bado kikosi chake kina nafasi ya kutetea taji la Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya tano mfululizo msimu huu 2021/ . . .
Mwanariadha wa Kirusi Ivan Kuliak anakabiliwa na kesi ya kinidhamu na Shirikisho la Kimataifa la Gymnastics (FIG) kwa kuonyesha herufi "Z" kwenye jukwaa karibu na m . . .
Mlinda Lango chaguo la pili katika kikosi cha Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Beno Kakolanya, huenda akaanza langoni leo Ijumaa (Machi 04), katika mchezo wa M . . .
YANGA inazidi kupasua anga ikionyesha inalitaka kombe na wakati mbio hizo zikiendelea kocha wao Nesreddine Nabi ameshusha mkwara mzito akiwachonganisha mastaa wake wa . . .
Ni wikiendi ya kibabe katika kuuanza mwezi wa 3 mwaka huu wa 2022. Ni mwendo wa ‘Big Match’ kunako EPL na Serie A. Mbio za Top 4 vs vita ya kuwania Scudetto, Meridian . . .
Kocha Mkuu wa Simba SC Franco Pablo Martin amesema wachezaji wake hawatakua na muda wa kupumzika baada ya kuwasili Dar es salaam, wakitokea nchini Morocco. Sim . . .
Mwenyekiti wa Klabu ya Young Africans Mshindo Mbette Msolla ameibuka kwa mara ya kwanza msimu huu na kutoa nasaha kwa Benchi la Ufundi na Wachezaji wa klabu hiyo, kuf . . .
Mshambulia wa Yanga na kinara wa mabao, Fiston Mayele aliyetupia tisa katika Ligi Kuu katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar, akiwa ameiteka asilimia kubwa ya nchi kwa s . . .
Kiungo kutoka nchini Uganda na klabu ya Simba SC Thadeo Lwanga amesema yupo tayari kuipigania klabu yake katika Mzunguuko wa Pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao ulia . . .