MWINYI Zahera aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga ametambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na uongozi wa Polisi Tanzania umebainisha k . . .
KUTOKANA na Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linalofanyika Qatar kuanza karibia majira ya baridi, msimu huu umekuwa wa kitofauti ambapo ligi mbalimbali duniani zimesimama k . . .
UFARANSA tayari wamefuzu kwa hatua ya 16-Bora, lakini leo Jumatano watakutana na Tunisia ambao ushindi utafufua matumaini yao ya kutinga katika raundi hiyo ya maondoano. . . .
Brazil iliungana na Ufaransa katika hatua ya mwondoano kwenye Kombe la Dunia siku ya Jumatatu, Novemba 28, baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Switzerland.Kiungo wa kati wa . . .
Shirikisho la vyama vya kandanda duniani FIFA litachunguza hatua ya timu ya Ujerumani ya kukiuka taratibu za kuitisha mkutano na waandishi habari kabla ya pambano na timu . . .
Waogeleaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ya wanaume na wanawake (Tanzanite) wameipeperusha vyema bendera ya nchi baada ya kushinda mashindano ya Kanda ya tatu Afrika yaliy . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa amri ya watu kutotoka nje ya Wilaya mbili ambazo mlipuko wa virusi vya Ebola ulianzia, kwa muda wa siku 21. Museveni amesema kwamba . . .
Timu ya taifa ya Qatar imekuwa ya kwanza kuaga mashindano ya kombe la dunia baada ya kufungwa na Senegal bao 3-1 siku ya Ijumaa katika uwanja wa Al Thumama Do . . .
Wachezaji wa Saudi Arabia watazawadiwa gari aina ya Rolls Royce Phantom baada ya kuifunga Argentina kwenye Kombe la Dunia la Fifa 2022.Rolls Royce itazawadiwa kwa kil . . .
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amemuongeza kwenye benchi lake, staa wa zamani wa Msimbazi, Mussa Hassan Mgosi.Straika huyo aliyekuwa anakochi timu ya vijana ya . . .
WAKATI timu ya taifa ya Brazil ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Serbia staa wao Neymar alipata maumivu ya enka.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye benchi la ufun . . .
Waziri wa Michezo wa Saudi Arabia Prince Abdulaziz bin Turki Al-Faisal amebainisha nia ya kutamani kumuona Cristiano Ronaldo akishiriki katika Ligi Kuu ya Nchi hiyo k . . .
Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia, Ufaransa, walianza kampeni za kipute hicho mwaka huu kwa ushindi wa 4-1 dhidi ya Australia katika pambano la Kundi D lililo . . .
Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia wamepindua meza kibabe na kusepa na pointi tatu mazima kwenye mchezo wa kwanza wa makundi dhidi ya Australia.Austaralia wakiwa U . . .
TUNISIA almaarufu Carthage Eagles watafungua kampeni za Kombe la Dunia kwa kibarua kizito dhidi ya Denmark katika uga wa Education City mjini Al Rayyan. Wawakilishi . . .
UONGOZI wa Dodoma Jiji umetamba kuifunga Yanga kwenye mchezo wa ligi na kuvunja rekodi ya timu hiyo kutofungwa ndani ya ligi.Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi im . . .
Hatimaye Sadio Mane amevunja kimya chake baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar. Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/michezo/483798- . . .
LIONEL Messi ametoa ahadi ya kuongoza Argentina kujituma maradufu katika makala ya 22 ya Kombe la Dunia mwaka huu 2022 na kutwaa ufalme.Kombe la Dunia ndilo taji la pekee . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imewakamata watuhumiwa 9 wakiwa na dawa za kulevya aina ya heroin kg 34.89 ambapo miongoni mwa watuhumiwa hao . . .
Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola ameweka wazi kwamba anaondoka kwenye benchi la ufundi la timu hiyo kwa muda akapige shule kidogo.Matola ambaye ni nahodha wa . . .
Mashabiki wa soka katika viwanja nchini Ujerumani wametoa wito jana Jumamosi, wa kususiwa kwa michuano ijayo ya kombe la dunia nchini Qatar. Mjini Dortmund, mashabiki wal . . .
. . .
kiungo wa soka ambaye alipata umaarufu mkubwa akiwa na Klabu ya Yanga, Saido Ntibazonkiza, amefunguka kuwa mechi yao ijayo dhidi ya Yanga, kwake anaitazama kwa umakini mk . . .
Shirikisho la soka duniani FIFA limesema watu watatu wamekufa katika miaka ya hivi karibuni katika maeneo ya ujenzi wa viwanja vitakavyotumiwa kwa ajili ya mechi za kombe . . .
Cristiano Ronaldo leo siku ya Jumatatu atakuwa kwenye kika kizito na kocha wake, Erik ten Hag kujadili kile kilichotokea kwenye mchezo wao na Tottenham Hotspur huku t . . .
CHAMA cha Soka Mkoa wa Mjini Magharib kimewasimamisha waamuzi wawili na kumfungia kutochezesha ligi mmoja kwa kushindwa kumudu Sheria 17 za soka.Kwa mujibu wa taari . . .
Timu ya taifa ya soka ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania (Serengeti Girls) sikua ya Jumamosi iliushtua Ulimwengu wa soka baada ya kuifunga timu ya ta . . .
Simba kinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Primeiro de Agosto ya Angola, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda akif . . .
Arsenal na Manchester United ndio klabu zinazoongoza kwa kuwa na mashabiki wengi barani Afrika lakini pia katika bara la Asia Manchester wakijatwa kuongoza zaidi.Mbali na . . .
Kikosi cha KMC FC leo kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaochezwa siku ya Jumamosi Oktoba 15 katika uwanja w . . .
kocha wa Manchester United Eric ten Hag yupo tayari kumruhusu mshambuliaji wake Cristiano Ronaldo kuondoka klabuni hapo kwenye dirisha dogo la usajili la mwezi Januari 20 . . .
Timu ya Taifa ya Watu wenye ulemavu Tembo Warriors, imepata ushindi wa kwanza katika mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yanayoendelea nchini Uturuki wakiifunga Uzbekistan . . .