SIMBA inaenda nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa ambapo wao wanashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika huku wakiwa . . .
YANGA imemalizana na Bernard Morrison akisaini mkataba wa mwaka mmoja kurejea klabuni kwa masharti kadhaa lakini kuna balaa kubwa wanalifanyia kazi kwa usiri mkubwa . . .
Mashindano yajayo ya kuwania ubingwa wa Afrika AFCON yatafanyika mapema mwaka 2024 ili kuzuia kinyang'anyiro hicho kukumbwa na mafuriko wakati wa msimu wa mvua nchini . . .
MSHAMBULIAJI matata raia wa Ubelgiji, Romelu Lukaku, 29, amerejea Inter Milan kwa mkopo, takriban mwaka mmoja baada ya kutua ugani Stamford Bridge kuvalia jezi za Che . . .
WASHAMBULIAJI Sadio Mane na Mohamed Salah wamejumuishwa katika orodha ya masogora 30 wanaowania taji la Mchezaji Bora wa Kiume barani Afrika mnamo 2021-22. Mane aliy . . .
Mkongomani aliyeko kwenye hatua za mwisho za kujiunga na Simba, Ceasar Manzoki ameaga rasmi wachezaji wenzie na mashabiki wa Vipers ya Uganda. Simba imefanya maz . . .
Yanga inafanya usajili wa bandika bandua kutokana na namna wanavyofanya usajili wao kuelekea msimu wa 2022/23, lakini kama unadhani Simba wamepoa unajidanganya. . . .
Club ya Man City imemtambulisha rasmi Erling Haaland (21) kutokea Boru . . .
INAWEZA kuwa habari ya kushtua sana kwa mashabiki wa Yanga, lakini ndivyo ilivyo kwamba wakala wa Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, alilipelekea jina la kocha h . . .
WACHEZAJI, John Bocco na Chris Mugalu waliong’ara msimu uliopita wakiwa vinara wa mabao wa Simba na Ligi Kuu Bara msimu uliopita, wamewagawa mabosi wa klabu hiyo ya . . .
BINGWA wa ligi kuu tanzania bara msimu wa 2021/2022 atajinyakulia kombe la shilingi milioni 600. Afisa mtendaji wa mkuu wa bodi ya ligi kuu [TPLB] , Almasi Kasongo , ames . . .
Vita ya nafasi ya Urais wa Yanga imeanza. Kuna majina makubwa kwa mashabiki na wanachama ambayo kabla kesho Jua halijazama yatapishana kuchukua fomu za nafasi h . . .
HATIMAYE Michuano ya Maji Cup League 2022 kwa ngazi ya Kanda ya Ziwa imehitimishwa jinini Mwanza na kupata wawakilishi wake watakao kwenda kushiriki kwenye fainali zi . . .
Yanga inaendelea na mazoezi ya kujiandaa na mechi za kumalizia msimu wa Ligi Kuu Bara pamoja na pambano lao na fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASF . . .
Mabosi wao wanazidi kukuna kichwa ili kutengeneza timu itakayofukia mashimo yote yaliyojitokeza msimu huu na kushindwa kutimiza malengo yao na moja ni kusaka wacheza . . .
Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema, ametiwa hatiani kwa njama ya vitisho dhidi ya aliyekuwa mchezaji mwenza wa timu ya Ufaransa Mathieu Valbuena kuhusiana na . . .
Taarifa za ndani zinasema kuwa kiungo wa Simba, Rally Bwalya ameshamwaga wino wa kujiunga na klabu ya Amazulu ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini, lakini uongozi wa Wekundu . . .
NI rasmi kwamba Yanga imetangaza kuachana na Saido Ntibazonkiza. Siyo huyo tu imefuta pia mpango wa kumsajili beki wa Uganda, Mustafa Kizza sababu kubwa ikitajwa kwam . . .
ALIYEKUWA kocha mshikilizi wa Manchester United, Ralf Rangnick, amekataa majukumu mapya ya kuwa mshauri wa benchi ya kiufundi kambini mwa mabingwa hao mara 20 wa Ligi . . .
MCHAKATO wa kuuzwa kwa Chelsea unakamilika rasmi leo Jumatatu, Mei 30, 2022 baada ya maelewano ya “mwisho na dhahiri” kuafikiwa na kampuni inayoongozwa na T . . .
YANGA wamepania kwa namna yoyote ile kushinda mechi ya Jumamosi dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza na hawataki masihara kwenye jambo lao.Habari . . .
KOCHA wa Simba, Pablo Franco hajaridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake katika mechi yao waliyoshikiliwa kwa sare ya 1-1 dhidi ya Geita Gold kwenye Uwanja . . .
.Klabu ya Barcelona imetuma dau la kwanza la dola milioni 33 ili kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski .Gazeti la Ujerumani la Bild am Sonntag limer . . .
YANGA ipo jijini Mwanza kwa ajili ya mechi mbili ngumu, lakini hapohapo wakapeleka salamu nzito kwa watani zao Simba watakaokutana nao Mei 28 jijini humo.Yanga ambayo . . .
Saido Ntibazonkiza yupo kwenye majadiliano na Yanga kuhusiana na muda wa mkataba wake mpya huku Mwanaspoti likitaarifiwa kwamba amegomea wa muda mfupi.Staa huyo ambay . . .
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amepewa wiki moja kuandaa ripoti maalumu kwa ajili ya masuala ya kiufundi kabla ya msimu ujao kuanza mambo gani anayotaka yafanyike . . .
YANGA itashuka uwanjani leo, huku ikiwa haijaonja ushindi katika mechi mbili zilizopita, lakini Kocha Msaidizi, Cedric Kaze amesema sare imewapa kazi ya kupambana zai . . .
SARE iliyopata Simba dhidi ya Namungo na kichapo ilichopewa Azam FC kutoka kwa Kagera Sugar, imewarahisishia kazi Yanga, kwani vinara hao wa Ligi Kuu Bara imekuwa kla . . .
Wakati Ligi Kuu ya NBC ikikaribia ukingoni, napenda kutoa shukrani za dhati kwa kila mtu aliyewezesha kufanikiwa kwa ligi hii maarufu Afrika na duniani . . .
Beki wa klabu ya Chelsea Antonio Rudiger anaondoka klabuni hapo ifikapo mwisho wa msimu huu. ANTONIO Rudiger ameamua kuondoka ndani ya kikosi cha Chelsea mwishoni mwa . . .
Manchester,Manchester City wana uongozi mwembamba wa kuulinda katika mkondo wa pili wa nusu fainali yao ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid baada ya kushin . . .
Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge amepata ajali ya gari wakati akitoka mazoezini jana.Taarifa ya klabu yake imesema ajali hiyo imempa maumivu makali ya mgongo koch . . .