Kufuatia maneno ya kaka mkubwa wa kiungo wa kati wa Ufaransa na klabu ya Juventus Paul Pogba, Mathias Pogba siku kadhaa zilizopita, akidai hivi karibuni . . .
Miamba ya soka Uingereza, Manchester United leo imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kupata ushindi mwembamba wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Southampton katika mfululizo wa . . .
Baada ya kuitumikia Man United kwa miaka sita beki wa kimataifa wa Ivory Coast Eric Bailly ameondoka Man United na kwenda kujiunga na Olympic Marseille kwa mkopo hadi mwi . . .
BOSI wa benchi la ufundi la Simba, Zoran Manojlovic ‘Maki’, ameweka wazi kuwa matakwa ya kimfumo ambao anautumia ndiyo sababu kubwa ya kutoonekana kwa straika na naho . . .
Klabu ya Zalan ya Sudan Kusini imewasilisha rasmi maombi ya mechi zao zote dhidi ya Mabingwa wa Tanzania Yanga zichezwe hapa nchini kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa.Taari . . .
Bondia Twaha Kassim ‘Kiduku’ ameanza Kambi ya kujiandaa na Pambano la Kimataifa ambalo huenda likaunguruma Septemba 24, katika mkoa ambao utatangazwa baadae.Kiduku am . . .
Kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya kwanza, Kocha Mkuu wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa, amefichua kuwa kwa sasa amekuwa akiwafuatilia kwa karibu wachezaji wa S . . .
Wizara ya Ulinzi ya Jeshi la Shirikisho Urusi limemtunuku nishani kwa kuimarisha ushirikiano katika Majeshi Kimataifa. Kanali Joseph Bakari ni mwanajeshi anayetumiki . . .
Wakati zikisaliwa takribani siku 13 kabla ya usajili wa dirisha kubwa kufungwa hapa nchini, uongozi wa Simba, umetangaza kuachana mazima na mshambuliaji wa Vipers FC ya U . . .
Bilionea namba moja duniani mwenye utajiri wa $265.7 bilioni Elon Musk amekanusha kuhusu kuinunua klabu ya Manchester United baada ya kuandika kupitia akaunti yake ya Twi . . .
Baada ya mazungumzo kwa siku kadhaa na klabu ya Juventus pamoja na muwakilishi wa mchezaji Adrien Rabiot ambaye ni mama yake, Klabu ya Manchester United imeshindwa kufiki . . .
YANGA wamethibitisha rasmi leo Agosti 12, 2022 kuachana na aliyekuwa Afisa wa habari na mawasiliano wake, Hassani Bumbuli. . . .
Hukumu ya mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani Brittney Griner kwenda jela miaka 9 nchini Urusi kwa ulanguzi wa madawa ya kulevya, katika muktadha wa mahusiano yenye m . . .
Kocha msaidizi na mtaalamu wa viungo Simba, Karim Sbai amesema kwa muda wa wiki mbili aliokuwa kwenye kikosi hicho amefanikiwa katika maeneo mengi tofauti na alivyokuwa a . . .
Morrison ameanza kazi rasmi Yanga na leo akiingia siku ya nne mazoezini, lakini kocha mmoja fundi wa mazoezi ameshtukia kitu kwa winga huyo Mghana kisha akamtengea siku 1 . . .
Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya Simba na Yanga kukutana kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii, Agosti 13 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kocha wa Simba . . .
Klabu ya wananchi ya Raja Athletic ya Morocco iko katika hesabu kali ikipigania saini ya winga wa Simba, Pape Sakho na fedha ambayo wameitaja kupata saini hiyo ni kam . . .
Yanga bado haijawapa mikataba mipya makocha wao, lakini kama kuna kitu kitawashtua basi ni ujio wa ofa moja kubwa kwa kocha mkuu Nasreddine Nabi ambaye kama hawatajiongez . . .
wiki tangu kiungo mshambuliaji wa Simba, Pape Sakho atwae tuzo ya Bao Bora kwenye michuano ya Caf.Bao la Sakho liliingia kwenye kinyang’anyiro cha michuano ya Kombe l . . .
Kambi ya Simba inaendelea kunoga, huku kocha Zoran Maki akisaliwa na wiki kama moja tu kukamilisha programu zake kabla ya kuja kuwasha mitambo katika tamasha la Simba . . .
Kocha mkuu wa Simba, Zoran Maki amewaambia wachezaji kuwa atakayefanya vizuri ndiye atakayepata nafasi ya kucheza bila kujali ukubwa wa majina.Kauli hiyo ni kama amew . . .
Klabu ya Chelsea imeripotiwa kufikiria uwezekano wa kumbakiza kwa mkopo wa mwaka mwingine zaidi mchezaji wake Romelu Lukaku hadi mwisho wa msimu wa 2023/2024. Taar . . .
Mchezaji wa kimataifa wa Harambee Stars, Eric Johana Omondi amejiunga na Muangthong inayoshiriki Ligi Kuu nchini Thailand kwa kandarasi ya mwaka mmoja Julai 22. Kupi . . .
Mchezaji mpya wa Simba, Mnigeria Nelson Okwa wikiendi iliyopita aliiaga timu aliyokuwa akiichezea ya Rivers United kibabe kwa kuiongoza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu, ki . . .
. . .
Matajiri wa Chamazi raundi hii hawataki utani kabisa na bosi mkubwa, Yusuf Bakhresa ameingilia usajili na hadi sasa ameshusha wageni watano wa maana na wazawa watatu . . .
Kiungo mshambuliaji Raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki (26) hatimaye ametangazwa rasmi kuwa mchezaji wa klabu ya Yanga kabla ya kujiunga na Yanga, Aziz Ki a . . .
Aliyekuwa kiungo wa klabu ya Sofapaka Wisdom Naya ameaga dunia, klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Kenya (KPL) imethibitisha kupitia kwa taarifa.Aliyekuwa Kiungo wa Klabu ya Sofap . . .
Klabu ya Simba juzi ilimtambulisha kocha mkuu, Zoran Maki ambaye ameelewa matumaini mapya ndani ya klabu hiyo msimu ujao na akiwataka wapinzani wake wajipange kwani y . . .
Kocha Mkuu wa Yanga, amefurahia usajili uliofanywa na uongozi mpaka sasa lakini akaahidi kutakuwa na mabadiliko makubwa kikosini na amewatumia salamu wachezaji huko w . . .
Katika mashindano ya kandanda barani Ulaya kuwania ubingwa wa wanawake yanayoendelea huko England jana ilikuwa zamu ya kundi B kucheza mechi zake na kilele cha uhondo . . .
Klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza imefikia makubaliano na klabu ya Napoli ya nchini Italia juu ya uhamisho wa Beki wao Kalidou Koulibaly kwa ada ya uhamisho ya Eur . . .
Mashabiki wa Yanga bado wanaendelea kushangweka baada ya timu hiyo kubeba mataji matatu, huku wakiendelea kusikilizia mastaa wapya watakaoshuka kikosini kwa msimu uja . . .