Mchezaji Haaland Azomewa na Mashabiki Wake Baada ya Mechi

ErlingHaaland amekutwa na tukio hilo baada ya Timu yake ya Taifa ya 
Norway kupoteza mchezo kwa magoli 2-1 dhidi ya Scotland, ambapo aliingia kwenye basi la timu moja kwa moja bila kuwasalimia mashabiki ambao walikuwa wakimsubiri kwa nje

Wakati mchezo ukiendelea mashabiki wa Norway walikuwa wakiimba jina la Haaland na baada ya mechi wakataka kumsalimia na asaini vitabu vyao, hivyo kitendo alichofanya cha kiliwakwaza na kuanza kumzomea

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii