Hizi taarifa zinasambaa nipende kukanusha ni za uongo zipuuzwe mara moja.
Sijawai kuwa na mawazo ya kwenda yanga wala kujiunga na yanga tangu niwe mchezaji wa Simba. Naipenda Simba na taitumikia Simba kipindi chote cha soka ndani ya ardhi ya Tanzania.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii