logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
SOKA
  • Na Asha Business
  • October 3, 2022

Mbunge "Yanga hii inatoboa CAF"

Kocha wa timu ya Bunge (Bunge SC), Ahmed Juma Ngwali amekiangalia kikosi cha sasa cha Yanga kisha akatamka kibabe kwamba kama wataamua kukaza watatoboa kiulaini tu katika . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 29, 2022

John Mikel Obi Astaafu Soka

Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, John Mikel Obi, ameangika daluga zake kwenye ulingo wa soka akiwa na umri wa miaka 35.Akitangaza maamuzi hayo, Mikel alisema . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Simba Mushusha Mafundi

 Mgunda amesaini mkataba wa mwaka mmoja Simba na klabu hiyo iko kwenye mchakato wa kuajiri makocha watatu kwa mpigo, Makocha hao ni wa viungo, makipa na bosi wa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Wachezaji 15 wa kike wajiuzulu

 wachezaji 15 wa timu ya taifa ya wanawake ya Uhispania wamejiuzulu wiki chache baada ya minon'gono ya kuwepo kwa mgawanyiko kwenye kambi ya timu hiyo. Vyombo vya ha . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

UNYANYASAJI WA KINGONO WAMUONDOA MKURUGEZI CHELSEA

Chelsea imemfuta kazi Mkurugenzi wa Biashara, Damian Willoughby mwezi mmoja baada ya kuajiriwa kutumikia nafasi hiyo. Willoughby alibainika alikuwa akituma jumbe zisizofa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 14, 2022

Mchezaji wa Man City Benjamin Mendy Afutiwa Shtaka la Ubakaji

Mchezaji wa Manchester City, Benjamin Mendy hakupatikana na hatia katika kesi ya kumbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 19.Uamuzi huo ulitolewa na jaji wa Mahakama ya Ches . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 14, 2022

ONYANGO AREJAEA TENA.

Beki wa Simba, Mkenya Joash Onyango ambaye alikuwa analazimisha kuondoka kikosini, jana alikuwa miongoni mwa mastaa waliosafiri na timu kwenda Mbeya.Awali, Onyango alipel . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 13, 2022

BANDA AREJESHWA TAIFA STARS

Kocha mkuu wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Hanoor Janza amemrejesha kikosini beki Abdi Banda anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika klabu ya Chipa Uni . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • September 13, 2022

Mwanasarakasi wa Kike Asiye na Miguu Aliyeweka Rekodi Duniani

 Jen Bricker au Moceanu ni  mhamasishaji na mwanasarakasi wa kike kutoka Marekani asiye na miguu yote miwili.Jen ana umri wa miaka 32, ni mwanamke aliyepitia ma . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 12, 2022

KISINDA AKWAMA YANGA

Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imekata mzizi wa fitina kwa kuuzuia usajili wa winga aliyerejea Yanga, Tuis . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 7, 2022

HIKI NDIO CHANZO CHA KOCHA WA SIMBA KUONDOLEWA.

Uongozi wa Simba jana mchana ulitangaza kuvunja mkataba na kocha wake Mserbia Zoran Manoljović  baada ya kudumu kwa miezi miwili huku sababu tatu zikitajwa kumuondo . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 5, 2022

TARIFA KUTOKA TFF.

TFF yatoa ufafanuzi dhidi ya usajili wa wachezaji wa kigeni na hii ni kutokana na sakata la timu ya yanga. . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 4, 2022

Qatar yaruhusu Bia wakati wa Kombe la Dunia.

Qatar itawaruhusu mashabiki kununua bia zenye kileo katika mechi za soka za kombe la dunia saa tatu kabla ya kuanza na kumalizika kwa filimbi ya mwisho, lakini sio wakati . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

Mziki Wa Mayele

SI Yanga pekee inayopiga hesabu za kukutana na Al Hilal ya Sudan hata wao huko walipo ni kama wameshaivuka St Georges wanaiwaza Yanga.Yanga inacheza mechi mbili nyumbani . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 1, 2022

Moallin Atamani Kuendelea.

Aliyekuwa  Kocha Mkuu wa Azam FC, Abdihamid Moallin amesema kwamba anaheshimu maamuzi ya uongozi wa timu hiyo baada ya kuondolewa kwenye majukumu hayo.Akizungumza na . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 31, 2022

Phiri apata dawa mpya, asema gari limewaka

Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Mzambia Moses Phiri amepata dawa mpya ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo.Phiri ameweka wazi kwamba yuko fiti kucheza nafasi . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Asha Business
  • August 29, 2022

Pogba: Wanafanya Njama Niwape Pesa, Kaka Yangu Anahusika Pia.

Kufuatia maneno ya kaka mkubwa wa kiungo wa kati wa Ufaransa na klabu ya Juventus Paul Pogba, Mathias Pogba    siku kadhaa zilizopita, akidai hivi karibuni . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 28, 2022

Man United yaendeleza Furaha kwa Mashabiki wake

Miamba ya soka Uingereza, Manchester United leo imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kupata ushindi mwembamba wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Southampton katika mfululizo wa . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Bailly aondoka Man United na kujiunga na Marseille.

Baada ya kuitumikia Man United kwa miaka sita beki wa kimataifa wa Ivory Coast Eric Bailly ameondoka Man United na kwenda kujiunga na Olympic Marseille kwa mkopo hadi mwi . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

Kocha Simba ‘Maki’ Atoa Sababu ya Nahodha Wake John Bocco Kutooneka uwanjani.

BOSI wa benchi la ufundi la Simba, Zoran Manojlovic ‘Maki’, ameweka wazi kuwa matakwa ya kimfumo ambao anautumia ndiyo sababu kubwa ya kutoonekana kwa straika na naho . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

WANAMICHEZO WA SUDANI KUHAMIA KWA MKAPA

Klabu ya Zalan ya Sudan Kusini imewasilisha rasmi maombi ya mechi zao zote dhidi ya Mabingwa wa Tanzania Yanga zichezwe hapa nchini kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa.Taari . . .

news
Masumbwi
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Twaha Kiduku "Nitapambana Kwa ajili ya Watanzania"

Bondia Twaha Kassim ‘Kiduku’ ameanza Kambi ya kujiandaa na Pambano la Kimataifa ambalo huenda likaunguruma Septemba 24, katika mkoa ambao utatangazwa baadae.Kiduku am . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Wamalawi waumiza vichwa kwa ajili ya Sakho na Chama, Ligi Ya Mabingwa

Kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya kwanza, Kocha Mkuu wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa, amefichua kuwa kwa sasa amekuwa akiwafuatilia kwa karibu wachezaji wa S . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Kanali Mtanzania Atunukiwa Medani na Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani

Wizara ya Ulinzi ya Jeshi la Shirikisho Urusi limemtunuku nishani kwa kuimarisha ushirikiano katika Majeshi Kimataifa. Kanali Joseph Bakari ni mwanajeshi anayetumiki . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Mapya Yaibuka Mshambuliaji wa Vipers Manzoki Kutua Simba, Watoa Kauli Hii

Wakati zikisaliwa takribani siku 13 kabla ya usajili wa dirisha kubwa kufungwa hapa nchini, uongozi wa Simba, umetangaza kuachana mazima na mshambuliaji wa Vipers FC ya U . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Elon Musk kuhusu kuinunua Manchester United, hapana nilikuwa natania

Bilionea namba moja duniani mwenye utajiri wa $265.7 bilioni Elon Musk amekanusha kuhusu kuinunua klabu ya Manchester United baada ya kuandika kupitia akaunti yake ya Twi . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Man United Yaachana na Rabiot Kisa Mshahara Mkubwa, Yamfungia kazi Casemiro

Baada ya mazungumzo kwa siku kadhaa na klabu ya Juventus pamoja na muwakilishi wa mchezaji Adrien Rabiot ambaye ni mama yake, Klabu ya Manchester United imeshindwa kufiki . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 12, 2022

Yanga Wathibitisha Kuachana na Hassani Bumbuli, Aliyekuwa Afisa wa Habari na Mawasiliano

YANGA wamethibitisha rasmi leo Agosti 12, 2022 kuachana na aliyekuwa Afisa wa habari na mawasiliano wake, Hassani Bumbuli. . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 5, 2022

mchezaji wa mpira wa kikapu Brittney Griner ahukumiwa miaka 9 jela

Hukumu ya mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani Brittney Griner kwenda jela miaka 9 nchini Urusi kwa ulanguzi wa madawa ya kulevya, katika muktadha wa mahusiano yenye m . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 5, 2022

Manula apewa siku saba kwa Yanga

Kocha msaidizi na mtaalamu wa viungo Simba, Karim Sbai amesema kwa muda wa wiki mbili aliokuwa kwenye kikosi hicho amefanikiwa katika maeneo mengi tofauti na alivyokuwa a . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 5, 2022

Morrison apewa wiki mbili Yanga

Morrison ameanza kazi rasmi Yanga na leo akiingia siku ya nne mazoezini, lakini kocha mmoja fundi wa mazoezi ameshtukia kitu kwa winga huyo Mghana kisha akamtengea siku 1 . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 4, 2022

Simba sasa imeiva

Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya Simba na Yanga kukutana kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii, Agosti 13 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kocha wa Simba . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 4, 2022

Waarabu wamuwekea Sakho milioni 800

Klabu ya wananchi ya Raja Athletic ya Morocco iko katika hesabu kali ikipigania saini ya winga wa Simba, Pape Sakho na fedha ambayo wameitaja kupata saini hiyo ni kam . . .

Kurasa 18 ya 25

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • DKT BITEKO AZINDUA MFUKO WA DUNIA WA PAMOJA WA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

    • saa moja lililopita
  • Ruto atoa siku saba za maombolezo

    • 2 masaa yaliopita
  • JAMII IMETAKIWA KUJIEPUSHA NA UHALIFU MTANDAONI

    • 4 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode