Watu wasiopungua saba wamekufa hii leo baada ya tetemeko la ardhi kuupiga mji wa Kangding ulio katika jimbo la kusini magharibi mwa China la Sichuan. Tetemeko hilo la ukubwa wa 6.6 katika kipimo cha R . . .
Polisi nchini Canada inawasaka washukiwa wawili katika tukio ambalo watu kumi waliuawa kwa kuchomwa kisu na wengine karibu 15 kujeruhiwa katika eneo moja la jamii ya kiasili lisilo na wakaazi wengi. M . . .
Shambulio hilo lilitokea usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi, na kuua takriban raia 19, kulingana na ripoti ya hivi punde. Wiki mbili zilizopita, hoteli moja katika mji mkuu, Mogadishu, ililengwa na mash . . .
Mahakama ya Wilaya ya Kiteto imemhukumu Amos Nyang’waji kifungo cha miaka minne jela au kulipa faini ya Sh1.2 milioni kwa kosa la kumchapa viboko karani wa Sensa ya Watu na Makazi aliyekuwa Kijiji c . . .
Wakiwa ndani ya chumba cha marubani wakiendesha ndege angani, marubani wawili wa Shirika la Ndege la Air France wanaripotiwa kuzichapa kavukavu. Mtu ukiwa unasafiri kwa ndege, matukio kedekede ya . . .
Watu wenye silaha na wasiojulikana wamewaua watu sita na kuwajeruhi wengine wawili katika shambulio dhidi ya msafara kutoka mgodi wa dhahabu wa Boungou mashariki mwa Burkina Faso. Taarifa ya Jeshi ime . . .
Pakistan inaomba msaada zaidi wa kimataifa baada ya mafuriko kusababisha uharibifu mkubwa kote nchini humo.Marekani, Uingereza, Umoja wa Falme za Kiarabu na nchi nyingine zimechangia kusaidia madhara . . .
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Taisi Kata ya Bumera, mkoani Mara, Ibrahimu Maryoba, amefariki dunia kutokana na shinikizo la damu wakati akienda kuamua ugomvi wa jirani yake. Mwenyekiti wa Kijij . . .
Takriban watu 22 wameuawa na darzeni kujeruhiwa Jumatano katika shambulio la kombora la Russia kwenye kituo cha treni cha Ukraine, Rais Volodymyr Zelenskiy amesema, wakati taifa lake likiadhimisha uhu . . .
Mbunge mteule wa Kimilili Didmus Barasa amekana mashtaka ya kumuua mlinzi wa mpinzani wake siku ya uchaguzi mkuu mapema mwezi huu.Mbunge huyo alikuwa amefikishwa mbele ya mahakama ya Kakamega ambapo u . . .
Polisi watatu katika jimbo la Arkansas nchini Marekani, wamesimamishwa kazi kutokana na video iliyozaagaa mitandaoni ikiwaonesha wakimpiga mshukiwa mmoja huku wamemlaza chini Mmoja wa maofisa ame . . .
Biwi la simanzi limevaa kijiji cha Migingo, katika Kaunti Ndogo ya Kadibo, baada ya Naibu Mwalimu Mkuu wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Migingo, Roseline Atieno Nyawada, kupatikana ameuawa nyumbani k . . .
Kufuatia mvutano unaoongezeka barani Asia tangu uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, Japan inafanya kilio chini ya uwezo wake ili kupata uwezo mpya wa ulinzi. Inaweza kupeleka makombora zaidi ya elfu mo . . .
Polisi wa serikali kuu ya Somalia wamesema Jumapili kwamba maafisa wa usalama wamemaliza kushikiliwa kwa hoteli moja kwenye mji mkuu wa Mogadishu. Shambulizi hilo lilifanywa na ku . . .
Lounceny Camara, mwenye umri wa miaka 62, ni miongoni mwa mawaziri wa zamani na maafisa waandamamizi walioshtumiwa ubadhirifu wa pesa za umma na kufungwa jela baada ya jeshi kumuondoa madarakani rais . . .
Mwanamume mmoja kutoka taifa la Ghana anaendelea kupokea matibabu hospitalini baada ya kujikata sehemu zake za siri kwa bahati mbaya akilala.Kofia Atta mkulima mwenye umri wa miaka 47 alisema kuwa ali . . .
Polosi mjini Kabul wamesema watu zaidi ya 21 wamefariki kutokana na mlipuko uliotokea ndani ya Msikiti Mkubwa zaidi jijini Kabul, Kati ya hao majeruhi zaidi ya 33 wameripotiwa.Mlipuko wa Jumatano ulit . . .
Tajiri wa Canada mwenye asili ya China, Xiao Jianhua, ambaye alitoweka mnamo 2017 kutoka hoteli moja huko Hong Kong, amehukumiwa kifungo cha miaka kumi na tatu jela, vyombo vya shria vimetangaza Ijuma . . .
Mtu anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka wa 1994 Felicien Kabuga, atapandishwa kizimbani mjini The Hague Septemba 2. Jaji wa mahakama hiyo ya Umoja wa Mataifa Iain Bonomy ames . . .
RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani shambulio dhidi ya makazi ya watu katika mji wa pili kwa ukubwa nchini humo, ambalo alilitaja kuwa la ‘kudharauliwa’. Shambulio hilo limeacha maafa . . .
Basi la kampuni ya usafirishaji la Tashrif limeteketea kwa moto asubuhi ya leo tarehe 16 Agosti 2022 wakati likiwa safarini kutoka Tanga Mjini kuelekea Masasi mkoani Mtwara. Dereva wa Basi hilo a . . .
BINGWA wa kupanda milima na kuteleza kwenye theluji mwanadada Adele Milloz, 26, afariki dunia baada ya kuanguka kutoka safu za milima ya Montblanc nchini Ufaransa.Milloz alikuwa ameachana na michezo y . . .
Sudan ilikumbwa na mafuriko katika wiki za hivi karibuni. Kulingana na Baraza la Kitaifa la Ulinzi wa Raia, watu 52 wamefariki dunia tangu mwezi Mei mwaka jana, mwanzoni mwa msimu wa mvua. Zaidi ya ny . . .
Polisi wa Israel wamempiga risasi na kumuua Mpalestina mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohammed al-Shaham ambaye alijaribu kuwashambulia maafisa hao kwa kisu wakati wakifanya msako wa silaha zinazomil . . .