Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya linamshikilia Ezekia Luhweshe (31) mchimbaji na mnunuzi wa madini, wilayani Chunya, mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya wakala wa maegesho ya magari aitwaye William Mgay . . .
WATU wawili waliotambulika kwa jina la Ibrahim Juma na Mohamed Kibavu wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kutokana na kosa la kulawiti.Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani ,Pius Lutumo alieleza hayo, wakat . . .
Wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga wamefariki dunia huku 29 wakinusirika baada ya bweni walilokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Kamanda wa Polisi mkoa wa S . . .
Polisi nchini India wamewalaumu panya kwa kuharibu karibu kilo 200 (lbs 440) za bangi iliyonaswa kutoka kwa wachuuzi na kuhifadhiwa katika vituo vya polisi. “Panya ni wanyama wadogo na hawa . . .
Serikali ya Somalia imesema wapiganaji 49 wa kundi la al Shabaab wameuliwa katika operesheni ya kijeshi kwenye eneo la Lower Shabelle kufuatia kampeni inaoendelea kwa miezi kadhaa kwa lengo la kul . . .
Huko Nigeria Mwanamama Alietambulika Kwa Jina La Sadiya amefariki baada yakufungiwa ndani na mume wake mwaka mzima Huku Akipata chakula Kidogo.Imaelezwa Mama Huyo Wa Watoto Wanne Alikua Anafungiwa . . .
Mamlaka katika jimbo la Kaskazini Magharibi mwa Nigeria la Zamfara zinasema watu wasiopungua 130 wametekwa nyara na watu wenye silaha katika mfululizo wa mashambulizi katika maeneo mawili tofauti . . .
Serikali ya Uganda imesema itatuma wanajeshi wake 1000 katika nchi jirani ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kufikia mwishoni mwa mwezi huu. Wanajeshi hao wanaingia mashariki mwa DRC c . . .
Maafisa wa huduma za dharura nchini Indonesia wanaendelea kuitafuta miili zaidi ya watu kutoka kwenye vifusi vya nyumba na majengo yaliyoangushwa na tetemeko la ardhi lililosababisha vifo vya watu . . .
Baada ya kugundua kuwa mke wake siku ya harusi yake, bwana harusi amefutilia mbali mipango ya ndoa.Kijana huyo aligundua kwamba mrembo wake tayari alikuwa na watoto wawili na mwanamu . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetuma jana ndege mbili za kivita ili kukabiliana na wanamgambo wa M23 wanaoendelea kusonga mbele katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo lenye hali tete, baada ya jum . . .
Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamefariki dunia kutokana na kupigwa risasi na polisi usiku wa kuamkia jana, baada ya kutokea majibizano ya risasi baina ya kundi la watu watano na askari, k . . .
Yule Diwani aliyepotea kwa Miezi mitatu na kupatikana kwenye nyumba ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Ashura Ally Matitu, mkazi wa Tabata darajani, Diwani Rwakatale wa kata ya Kawe amepotea . . .
Maafisa katika Kituo cha Polisi cha Maragua, Kaunti ya Murang'a wanaishi kwa hofu baada ya maelefu ya popo kuvamia kituo hicho. Maafisa hao wa usalama wamesimulia masaibu ya kuvamiwa na popo weng . . .
Maelfu ya watu waliingia katika mtaa muhimu wa jiji kuu la Mexico, kuandamana kupinga mapendekezo ya rais Andres Manuel Lopez Obrador ya mabadiliko ya tume ya uchaguzi. Maandamano hayo ni makub . . .
Takriban watu sita wameuawa na wengine 81 kujeruhiwa katika mlipuko katika eneo lenye shughuli nyingi katikati mwa Istanbul, mamlaka ya Uturuki imesema. Mlipuko huo ulitokea mwendo wa saa 16:20 kwa s . . .
Mapigano yameanza upya jana nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kati ya jeshi la kundi la waasi wa M23, siku moja baada ya watu wengi kukimbia maeneo yanayodhibitiwa na waasi yanayoshambuliwa na n . . .
Mfalme Charles III na mkewe Malkia Consort Camilla wapondwa na mayai wakati wakiwa kwenye ziara ya kaskazini mwa Uingereza. Kisa hicho kilitokea wakati umati wa watu ulikusanyika kwenye eneo la . . .
Watu wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari manne likiwemo basi la abiria la Kampuni ya Mangare Express lenye namba za usajili T 601 DCX linalofanya safa . . .
PRECISION AIR IKIVUTWA KWA KAMBA NA WANANCHI TOKA ZIWA VICTORIA MKOANI KAGERA BAADA YA KUTOKEA AJALI MAPEMA asubuhi ya leo Jumapili ya tarehe 6 November 2022 mara baada ya ajali wananchi wameon . . .
Akizungumza toka eneo la tukio leo Jumapili 6, 2022, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, William Mwampaghale amethibitisha taarifa za ajali hiyo na kusema kuwa yupo kwenye eneo la tukio akiendel . . .
Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani wakati ikijaribu kutua; uokoa . . .
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Senegal alifikishwa katika mahakama moja ya Dakar kutokana na tuhuma za ubakaji kwa mara ya kwanza siku ya Alhamisi, huku wakili wake akiitaja kesi hiyo kuwa ni njama . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima ametoa siku saba kwa viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa huo kufanya opereshi na kuwakamata waliohusika na mauaji ya Joseph Mathias mwenye umri&nbs . . .