Yule Diwani aliyepotea kwa Miezi mitatu na kupatikana kwenye nyumba ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Ashura Ally Matitu, mkazi wa Tabata darajani, Diwani Rwakatale wa kata ya Kawe amepotea tena
Ndugu wakiri kumtafuta, Kwa Ashura Tabata hayupo.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii