MWANAUME AOMBA ARUDISHIWE MAHARI YAKE

Baada ya kugundua  kuwa  mke wake siku ya harusi yake, bwana harusi amefutilia mbali mipango ya ndoa.


Kijana huyo  aligundua kwamba mrembo wake tayari alikuwa na watoto wawili na mwanamume mwingine. Katika video ya kusikitisha, alielezea uchungu wake alipofuta mipango ya harusi na kuvua viatu vyake vya harusi na suti.


 Licha ya juhudi kadhaa ya walioshuhudia kumtuliza, bwana harusi aliyekuwa amepandwa na mori alikataa kuendelea na harusi. Pia alidai kurejeshewa mahari aliyolipa.
"Watoto 2? Nirudishie mahari yangu nachukua mahari yangu," alisema

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii