Ndege ya Precision Air Yaanguka

Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022

Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani wakati ikijaribu kutua; uokoaji wa abiria unaendelea

Kwa mujibu wa mashuhuda, hali ya hewa ilikuwa mbaya huku kukiwa na mvua na ukungu uwanjani hapo


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii