Huko Nigeria Mwanamama Alietambulika Kwa Jina La Sadiya amefariki
baada yakufungiwa ndani na mume wake mwaka mzima Huku Akipata chakula
Kidogo.
Imaelezwa Mama Huyo Wa Watoto Wanne Alikua Anafungiwa Ndani Akipatiwa Chakula Kidogo Na Mume Wake Huyo.
Mama
Wa Sadiya Alieleza Kua Alifunga Safari Kwenda Kwa Mtoto Wake Baada
Yakutokua Anaridhiashwa Na Sauti Yake Katika Simu Ndipo Alipomkuta Mtoto
Wake Kwenye Hali Mbaya Akiwa Hawezi Hata Kutembea Kutokana Na Njaa Na
Maradhi Mengine.
Mama Huyo Alimkimbiza Binti Yake Hospital Kwa Matibabu Ambapo Alifariki Siku Chache Badae
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii