Karibu watu 19 wamekufa baada ya lori la mafuta kuanguka na kushika moto nchini Afghnaistan huku wengine 30 wakijeruhiwa vibaya, taarifa hii ikiwa ni kulingana na maafisa jana Jumapili. Maafisa hao wa . . .
Oliver Meshaki (19), mkazi wa Kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumzika mtoto wake mwenye umri wa wiki mbili akiwa hai kwa kigezo cha kumnyi . . .
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy amefariki dunia katika ajali iliyotokea eneo la Mkata wilayani Handeni mkoa wa hapa.Mushy aliteuliwa na Rais Samia Suluhu kuwa Balozi wa Tanzania nch . . .
Polisi wako macho baada ya kupokea ripoti za ujasusi zinazobainisha kwamba kundi la kigaidi la al-Shabaab, linapanga misururu ya mashambulizi wakati wa msimu wa sikukuu ya Christmas.Kamanda wa Kaunti . . .
Watu 140 wamethibitishwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kafuatia mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali katika mji mkuu wa Kinshasa, huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.Waziri mkuu wa DRC Jea . . .
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya rufaa iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya H . . .
Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo ameibua tuhuma dhidi ya viongozi wa Serikali akiwatuhumu kuuwinda uhai wake ikiwamo kumvamia nyumbani kwake eneo la Muriet kwa silaha mbalimbali.Hata hivyo, . . .
Afisa wa ujasusi wa Libya anayeshutumiwa kutengeneza bomu lililotumika kuiangusha ndege ya Pan Am na kuua watu 259, waliokuwa ndani ya ndege na 11 wakiwa chini, huko Lockerbie, Scotland, amefikishwa m . . .
Iran imesema imemnyonga mtuhumiwa mwengine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu wa nchi hiyo. Vyombo vya habari nchini Iran vinasema Majidreza Rahnava . . .
Polisi wa Uhispania wamewatia mbaroni abiria 14 akiwemo mama mjamzito baada ya kusababisha ndege ya kibiashara kutua kwa dharura ikiripotiwa mama huyo alikuwa akitaka kujifungua.Ndege hiyo ilikuwa i . . .
Mahakama ya Msumbiji imemhukumu mwana wake aliyekuwa rais wa taifa hilo Armando Guebuza kifungo cha miaka 12 jela kwa kuhusika katika kashfa ya rushwa.Ndambi Guebuza, na wakuu wawili wa zamani wa ujas . . .
Rais wa Russia Vladimir Putin Jumatano amesema kwamba huenda vita vya Ukraine vikachukua muda mrefu, lakini haoni haja ya kuongeza wanajeshi wengine kwenye uwanja wa vita. Putin wakati akiwa k . . .
Makamu wa rais wa Argentina Christina Fernandez de Kirchner, Jumanne amepatikana na hatia ya ubadhirifu wa dola bilioni moja za kimarekani, alizopokea wakati wa kutoa kandarasi za umma akiwa mamlakani . . .
Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN), Boniphace Kwangu (61) amekutwa amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbr . . .
Kufuatia serikali na mashirika mbalimbali kuendelea kupiga vita suala la ukeketaji mkoani Mara, jamii ya Wakurya wilayani Tarime imebuni mbinu mpya za ukeketaji kwa kuwavalisha wasichana nguo za kiume . . .
Kijana mwenye umri wa miaka 19, mkazi wa Kafukola wilayani Kalambo, anashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Rukwa kwa kosa la kumuua bibi yake mwenye umri wa miaka 80 baada ya bibi huyo kumnyang'anya v . . .
Kizaazaa kilizuka katika Bunge la Kitaifa nchini Senegal siku ya Alhamisi, Disemba 1, baada ya mbunge wa kiume kumtandika mwenzake wa kike kichwani.Tukio hilo lilitokea wakati wa uwasilishaji wa bajet . . .
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe amesema tayari Watu wawili akiwemo Dereva na Utingo wa Basi la Shule ya Starlight Pre and Primary wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumbaka na k . . .
Wanasiasa wa upinzani nchini Uganda na makundi ya kutetea haki za kibinadamu wanataka maafisa wa usalama kumuachilia huru mwanasiasa wa upinzani Joseph Kabuleta aliyekamatwa Juamatatu. Polisi . . .
Shirika linalochunguza haki za binadamu nchini Iran limesema watu 488 wameuawa na maafisa wa usalama katika kukandamiza maandamano yaliyozuka baada ya kifo cha msichana Mahsa amini, aliyekufa mikononi . . .
Mahakama ya hakimu mkazi Njombe imewahukumia kutumikia kifungo cha miaka 10 gerezani Focus lutengano na Aizack Lutengano baada ya kuwakuta na hatia ya kujaribu kumua mama yao mdogo Rehema Ngimbudzi mk . . .
Polisi nchini Somalia imesema operesheni dhidi ya wanamgambo wa al-Shabaab waliokuwa wameingia katika hoteli ya mjini Mogadishu imemalizika na magaidi wote sita waliokuwa wakitafutwa wameuawa. Msemaji . . .
Muigizaji wa Squid Game, O Yeong-su amefunguliwa mashtaka ya unyanyasaji wa kingono kitendo alichofanya mwaka 2017. Mwendesha mashtaka wa Korea Kusini amesema kuwa, O Yeong-su mwenye umri wa miaka 78 . . .
Waumini wa kanisa la SDA jijini Johannesburg walipoteza vitu vya thamani ikiwemo pesa taslimu wakati wa ibada ya kanisaniRipoti zinaonyesha kuwa wanaume sita waliokuwa wamejihami na bunduki walivamia . . .