Mamlaka nchini humo zimesema shughuli za uokoaji zimekamilika na majeruhi wamepelekwa hospitalini.Afisa mkuu wa shirika la reli nchini humo, Mahmoodur Rehman Lakho, amesema mabehewa 10 ya treni iliyok . . .
Mtumiaji wa intaneti raia wa Morocco amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kumkosoa mfalme kwenye mtandao wa Facebook juu ya hatua ya Morocco kuboresha uhusiano na Israel.Said Boukioud, mwenye . . .
Vikosi vya usalama vya Kenya vimewauwa karibu wapiganaji 60 wa kundi la itikadi kali za kiislamu la al-ShabaabWaziri wa Mambo ya ndani wa Kenya Kithure Kindiki amesema kuwa askari wa Kenya walikabilia . . .
Nigeria, kiongozi wa kambi muhimu ya Afrika Magharibi na nchi yenye nguvu ya kiuchumi katika bara hilo, imeongeza juhudi zake za kubadili mapinduzi yaliyoikumba nchi jirani ya Niger, na kuwasilisha Ab . . .
Watu 13 wanaaminika wamefariki dunia baada ya mitumbwi miwili waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Victoria wilayani Bunda mkoa Mara, ambapo jitihada za kutafuta miili zinaendelea.Inahisiwa kuwa . . .
Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 atatumikia kifungo cha jela kwa miaka 15 ijayo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mkewe. Crispin Nyaga mwenye umri wa miaka 56 alimuua mkewe, Catherine Mbuya . . .
Wazazi wametaka uchunguzi ufanywe baada ya mwanafunzi wa shule ya upili ya Kajiunduthi eneo bunge la Maara kupatikana amefariki katika eneo la River Maara jirani. Wanafunzi hao wanadaiwa kuanza k . . .
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, linamshikilia dereva bajaji, Abdan Abdi, mkazi wa Majengo kwa Mtei, Manispaa ya Moshi, kwa tuhuma za mauaji ya Michael Dastani Ngulizi, aliyekuwa mlinzi ofisi ya Mk . . .
Polisi nchini Uganda wanamshikilia Mwanaume (23) na Mpenzi wake (35) kwa kosa la kuingia nyumba ya Jirani wakiwa wanatoka Baa usiku kisha kufanya mapenzi kwenye kitanda cha Jirani huyo Margaret Awino . . .
Takribani raia 20 wa Sudan wameuawa katika mashambulizi ya makombora yaliyorushwa katika maeneo ya makaazi ya mojawapo ya miji muhimu ya Darfur na karibu na hospitali katika jimbo la Kordofan Kaskazin . . .
Upepo mkali unatarajiwa kutatiza shughuli ya kuzima moto unaowaka katika kisiwa cha Ugiriki cha Rhodes, ambapo takriban watu elfu 30,000 wamelazimika kuhama.Upepo mkali unatarajiwa kutatiza shughuli y . . .
BAADHI ya wanahabari waliofika katika mahakama ya Milimani mnamo Ijumaa, Julai 21, 2023 kunasa matukio wakati wa kesi dhidi ya Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino, wamepata wakati mgumu baada ya k . . .
Ndege ya kijeshi iliyokuwa na marubani wawili imeanguka ndani ya Ziwa Victoria, hatua chache kutoka Uwanja wa Ndege wa Bukoba.Tukio hilo limetokea saa 3:30 asubuhi leo Julai 20, 2023 kuibua hofu na ta . . .
Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi amemsamehe mtafiti wa haki za binadamu Patrick Zaki, siku moja baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa mashtaka ya kusambaza habari za uongo.Zaki ameku . . .
Watu wawili waliuawa Jumatano nchini Kenya kufuatia maandamano ya kuipinga serikali, afisa mmoja wa hospitali amesema, huku wizara ya mambo ya ndani ikitangaza kukamatwa kwa zaidi ya watu 300 kuhusian . . .
Mamia ya waandamanaji wamevamia ubalozi wa Uswidi katika mji mkuu wa Iraq wa Baghdad kutokana na mpango ulioripotiwa wa kuchoma moto Qur'ani nyingine, kitabu kitakatifu cha Waislamu, huko Stockholm, m . . .
Mwanaume kutoka Ghana amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufunguka sababu ya kuvunja uhusiano na mpenzi wake. mwanaume huyo, ambaye alionekana kuwa na hasira, alimweleza rafiki yake . . .
Tukio limetokea usiku wa kuamkia Julai 19, 2023 Mkoani #Arusha, ikielezwa Mtuhumiwa alienda Kanisani kumgongea mlango Padri Pamphilius Nada wa Parokia ya Karatu ili amuombeeBaada ya Padri kufungua mla . . .
Mlinzi wa Raila, Maurice Ogeta, alidaiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana akiwa amevalia mavazi ya kawaida. Katika taarifa, Philip Etale, mkurugenzi wa mawasiliano wa Chama cha ODM, alidai Ogeta al . . .
Watu wanane wakiwemo saba kutoka familia moja walifariki mjini Cairo Jumatatu wakati jengo la makazi katika mji mkuu wa Misri lilipoporomoka, ofisi ya mwendesha mashtaka na vyombo vya habari wamesema. . . .
Maandamano yaliyoitishwa na kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga yaligeuka kuwa ya vurugu huku polisi wakikabiliana na waandamanaji katika maeneo mbalimbali nchini. Maandamano ya Ju . . .
Wananchi wa vijiji vya Ilolo na Nanguchile Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi, wamelalamika kupigwa, kuvunjiwa nyumba na mali zao lakini pia mazao yao kugeuzwa kuwa sehemu ya malisho na wafugaji jamii y . . .
Mamlaka nchini Uhispania zimefahamisha kuwa zimefanikiwa kuwaokoa wasaka hifadhi 86 karibu na visiwa vya Canary ambao walikuwa kwenye mashua ndogo inayoaminika ilitokea nchini Senegal ikielekea barani . . .
WAZAZI wengi eneo la Mlima Kenya wanaishi kwa hofu ya kuangamizwa na watoto wao wa kiume, kufuatia njama zinazochochewa na urithi wa mali.Katika hali hiyo, wazazi wengi haswa walio na vijana waliozama . . .