Takriban watu 229 walifaiki katika maporomoko ya ardhi, tukio lililotokea Julai 22 kusini mwa Ethiopia baada ya mvua kubwa kunyesha, kulingana na ripoti ya muda ambapo idadi ya vifo inaweza kuongezeka . . .
FAMILIA ya mvulana mwenye umri wa miaka 12 aliyepigwa risasi na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga serikali, imeagizwa na mahakama kutafuta mbinu mbadala za kutatua mgogoro baina yao.Hakimu Mkuu w . . .
Tume ya kitaifa ya haki za binadamu nchini Kenya, imesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maandamano yaliyoanza mwezi uliopita imefikia 50 baada ya hapo jana watu wawili kuripotiwa kuuawa kwa kupi . . .
Mahakama ya wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imemuhukumu kwenda jela miaka miwili au faini ya milioni 5 Shadrack Chaula kijana ambaye video yake ilisambaa mitandaoni akimkashifu na kuchoma picha inayomuo . . .
Aliyekuwa mwenyekiti wa Mtaa Mwatulole Halmashauri ya mji wa Geita Noel Ndasa (40), ameuawa na watu wasiojulikana nyumbani kwake majira ya saa 2:00 usiku wa kuamkia leo Juni 24, 2024.Watoto wa marehem . . .
Zaidi ya watu 1,300 wamefariki dunia wakati wa ibada ya Hija mwaka huu nchini Saudi Arabia huku waumini wakikabiliwa na hali ya joto kali katika maeneo matakatifu ya Kiislamu katika ufalme huo wa jang . . .
Nchini Kenya, mtu mmoja amethibitishwa kufariki katika maandamano yaliofanyika Alhamis ya wiki hii jijini Nairobi kupinga muswada mpya wa fedha mwa mwaka wa 2024.Kwa mujibu wa shirika la kimataifa la . . .
Mamia kwa maelfu ya mahujaji wa kiislamu wanaanza leo ibada Hijja katika mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia kutimiza moja ya nguzo kuu za dini hiyo yenye zaidi ya waumini bilioni 2 kote ulimw . . .
Mashambulizi yasiyosita dhidi ya meli za kimataifa yanayofanywa na wanamgambo wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen yanaathiri juhudi za kibiashara na misaada licha ya majaribio ya Marekani . . .
Eneo la kuchimba dawa lilivyogeuzwa fursa, Spika Tulia waunga mkonoKama wewe unatembelea mitandao ya kijamii basi bila shika umewahi kukutana na video hii inayoonyesha eneo maarufu kwa jina la Kona ya . . .
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amethibitisha kuwa hakuna abiria aliyepona katika ajali ya ndege iliokuwa imembeba makamu wa rais Saulos Chilima na watu wengine tisa.Makamu wa rais wa Malawi, Saulos C . . .
Shambulizi la kombora lililofanywa na waasi wa Houthi wa Yemen, lililenga meli ya mizigo yenye bendera ya Antigua na Barbuda katika Ghuba ya Aden, ikiwa ni shambulizi la karibuni zaidi kwenye kwa meli . . .
Rosemary Ndlovu, aliyekuwa askari polisi huko Afrika Kusini, alipatikana na hatia ya kuua mpenzi wake pamoja na ndugu zake watano (5) kisha akachukua fedha za bima zao za maisha jumla ya dola za kimar . . .
Wakati awamu ya tano ya zoezi la uchimbaji wa makaburi iliyoanza Jumatatu baada ya mapumziko ya miezi minane huko katika msitu wa Shakahola, miili mingine mitatu imefukuliwa na kuongeza wasiwasi kuwa . . .
MWALIMU wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Nyamira ameaga dunia baada ya kudaiwa kujitia kitanzi alipopoteza pesa kwenye mchezo wa kamari unaofahamika kama ‘Aviator‘.Aviator ni mchezo wa kamari . . .
Wakazi 12 wa Sumbawanga Mkoani Rukwa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu na kujipatia fedha kiasi cha Sh 9,200,000 kwa njia ya uda . . .
Makumi ya watu walioajiriwa na kampuni ya uchimbaji madini walikuwa wakifanya kazi katika mgodi mkubwa katika kijiji cha Galkogo, wilayani Shiroro, Jumapili jioni wakati ajali hiyo ilipotokea, amesema . . .
Mkazi wa Kijiji cha Nyamburi Kata ya Sedeco, wilayani Serengeti mkoani Mara, Nyaikongoro Mwita (34), amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na kulipa faini ya Sh 2,000,000 kosa la shambulio la kudhu . . .
Wachunguzi wa Kenya Jumatatu waligundua miili saba zaidi huku shughuli ya kufukua miili zaidi ikianza tena katika msitu ambako mamia ya watu waliokufa kwa njaa walizikwa katika makaburi ya pamoja, pol . . .
Kwenye miaka ya 1980, kipindi ambacho Michael Jackson yuko kwenye ubora wa muziki wake, alichukua sura tofauti kwenye macho ya watu kwa uamuzi wake wa kuishi na sokwe ambaye alipewa jina la Bubbles.Bu . . .
Picha zilizoelezewa na AP zilionyesha MQ-9 imeanguka katika jangwa na eneo lake la mkia limekatika kutoka kichwa cha ndege.Ndege nyingine ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper isiyokuwa na rubani, ilianguka . . .
Watu wawili (majina yao yamehifadhiwa), wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Arusha, kwa tuhuma za mauaji ya Ndembora Exaud Nanyaro, aliyefariki dunia wakati akipatiwa matibabu baada ya kujeruhumiw . . .
Wanajeshi watatu wa Marekani walipata majeraha yasiyo ya kivita katika juhudi za kutengeneza gati la muda kwenye pwani ya Gaza ikiwa ni njia ya misaada ya kibinadamu, huku mmoja akiwa katika hali mbay . . .
Mratibu wa Maafa Mkoa wa Pwani, Rose Kimaro amesema takribani Watoto tisa wamezaliwa kwenye kambi za waathirika wa mafuriko ya Mto Rufiji Wilayani Rufiji na Kibiti, Pwani ambapo kati ya hao wapo mapac . . .