Waziri wa Masuala ya Ndani nchini Uganda anadai kuwa watu maskini hawataenda mbinguni kwa sababu wanamtukana Mungu kupitia malalamishi na shutuma kila siku.Kulingana na mwanasiasa huyo, utajiri ni utu . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa, uliowasilishwa kwake na Mjumbe huyo Maalum Balozi . . .
Rais wa Ukraine anaendelea na ziara yake kupitia mkutano kwa njia ya video na viongozi wa dunia. Volodymyr Zelensky atahutubia Jumatatu hii Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF), ambalo linakutana tena . . .
Rais wa Senegal Macky Sall Jumapili amesema atafanya ziara siku za hivi karibuni nchini Russia na huko Ukraine kwa niaba ya Umoja wa Afrika, kama kiongozi wa Umoja huo. Ziara hiyo ilikuwa . . .
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan alitangaza Jumapili kwamba ataongoza maandamano ya amani dhidi ya serikali kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Islamabad baadae wiki hii kushinikiza madai . . .
Serikali za mataifa duniani zinatakiwa kutoa ruzuku kwa ajili ya gharama ya chakula na nishati kwa watu maskini zaidi katika jamii, mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Watu kote ulimw . . .
Serikali ya Ukraine inasema haitakubali makubaliano ya kusitisha mapigano na Urusi ambayo yanahusisha kuachia eneo - katika hali inayoonekana kuwa ngumu kwa msimamo wake. Mshauri wa rais Mykha . . .
Rais wa Marekani Joe Biden anawasili Tokyo Jumapili hii baada ya kukaa zaidi ya siku mbili nchini Korea Kusini ili kuthibitisha ahadi ya Marekani ya kumtetea mshirika wake wa . . .
BAADA ya wanajeshi wa Ukraine 531 waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha Azovstal wakipambana na wanajeshi wa Urusi kujisalimisha, Urusi imemesema kuwa jumla ya wapiganaji 2,439 wa Ukraine sasa . . .
Kisa cha kwanza cha homa ya nyani kimegunduliwa nchini Israel kwa mtu aliyerejea kutoka nje ya nchi. Mamlaka nchini humo zinachunguza visa vingine vinavyoshukiwa kuwa vya homa hiyo. Wizara ya Afya . . .
Mataifa kadhaa duniani yamethibitisha maambukizo ya homa ya nyani siku kadhaa tangu Uingereza ilipotangaza mripuko wa maradhi hayo yanayosababishwa na virusi kutoka kwa wanyama wa mwituni wakiwemo . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amewasili nchini Korea Kusini leo kwa ziara itakayomfikisha pia nchini Japan inayofanyika chini ya kiwingu cha kutanuka kwa nguvu za China na kurejea kwa majaribio ya si . . .
Waziri wa Utali nchini Kenya, Najib Balala alisema kwamba Zaidi ya ndovu 70 wamefariki nchini humo, kutokana ukame ambao unashuhudiwa kanda ya Africa Mashariki, kwa kipindi c . . .
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema uchunguzi wake umebaini kuwa, muigizaji wa filamu ya Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina, ambaye anatuhumiwa kuhusika na mauwaji ya kim . . .
Miaka miwili kabla ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi haujakamilika, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amegundua udanganyifu wa kisomi uliofanywa na mkandarasi wa mradi huo.Mrad . . .
MAADHIMISHO ya Siku ya Kutokomeza Fistula Duniani, Kitaifa nchini Tanzania yatafanyika jijini Mwanza katika viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Bugando. . . .
Waziri mkuu wa Rwanda, Edouard Ngirente, amesema awamu ya kwanza ya wahamiaji kutoka nchini Uingereza, watawasili nchini Rwanda hivi karibuni, na kwamba Rwanda imekamilisha matayarisho ya kuwapoke . . .
Mawaziri wa fedha wa nchi wa saba tajiri duniani, wanakutana kwenye mji wa Königswinter, magharibi mwa Ujerumani kujadili mpango wa kuisaidia Ukraine. Mawaziri hao wanajadili namna ya kuuratibish . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2022-2027) wa ushirikiano baina ya Tanzania na Ofisi ya Mrati . . .
Serikali imesema kuwa inaendelea kulishughulikia sauala la migogoro ya watu wa Mindu mkoani Morogoro hivyo wananchi wake wasiwe na wasiwasi.Kauli hiyo iletolewa leo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa . . .
Maafisa wa serikali ya Korea Kusini na Marekani wanasema Korea Kaskazini inaonekana kujiandaa kufanya jaribio la kombora la masafa marefu lenye uwezo wa kutoka bara moja hadi jengine kuelekea ziar . . .
Mabalozi wa Sweden na Finland wamewasilisha rasmi maombi yao ya kujiunga na Jumuiya ya Kujihami ya NATO leo kwa Katibu Mkuu Jens Stoltenberg. Hayo yamefanyika katika hafla ya video mjini Brussels. . . .
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amewalaumu maafisa wa serikali yake kwa uzembe uliosababisha hali ya janga la virusi vya corona nchini humo kuwa mbaya zaidi. Haya yameripotiwa na shirika . . .
Baraza la mawaziri la Uhispania limeidhinisha mswada unaowapa wanawake likizo ya kimatibabu yenye malipo, wanapopitia maumivu makali kipindi cha hedhi. Uhispania sasa inakuwa nchi ya kwanza ya Ula . . .
Kiongozi wa cheo cha juu wa utawala wa Taliban nchini Afghanistan anaahidi nchi yake kamwe haitakuwa tena tishio la kigaidi kwa Marekani na aliahidi habari njema hivi karibuni juu ya kurejea kwa . . .
ZAIDI ya vijana 100 mkoani Mwanza, wameunda umoja wa mabalozi wa Sensa wa kujitolea kwaajili ya kusaidia tukio la Sensa lipate matokeo chanya . . .
Rais mteule wa Somalia anakaribisha taarifa kwamba kikosi maalum cha operesheni cha Marekani kitakuwa tena nchini Somalia kusaidia katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la al-Shabaab. Hass . . .
Serikali imesema itapitia upya mkataba wa mkataba wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Songas ili kuhakikisha kuwa haitakuwa na mkataba wenye dosari.Mkataba wa sasa kati ya Serikali na Kampuni ya Son . . .
Nyati mweupe ameonekana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na kuanza watalii wa ndani na kutoka nje ya nchi kutaka kumuona.Nyati huyo ameonekana kwa mara ya kwanza jana Jumatatu Mei 16, 20 . . .