Nyati mweupe ameonekana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na kuanza watalii wa ndani na kutoka nje ya nchi kutaka kumuona.
Nyati
huyo ameonekana kwa mara ya kwanza jana Jumatatu Mei 16, 2022 ndani ya
hifadhi hiyo na kusababisha watalii wengi waliokuwa hifadhini kuanza
kumfatilia.
Na ikiwa ishazoeleka kuonekana kwa nyati za rangi tofauti tofauti ispokuwa rangi nyeupe