logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 13, 2022

Wazazi wataka mbegu za mtoto wao aliyekufa

Familia moja nchini India imewasilisha ombi la kushangaza katika Mahakama Kuu ya Delhi, ikitaka Hospitali ya Sir Gangaram kuwakabidhi mbegu za kiume za mtoto wao aliyekufa.Lakini jinsi ya kuto . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 13, 2022

Ng'ombe 25,000 wafa Kiteto kwa ukame

Zaidi ya ng’ombe 25,000 wamekufa katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara kutokana na ukosefu wa maji na malisho hali iliyokumba baadhi ya maeneo hapa nchini. Akizungumza Februari 12, 2022 . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 13, 2022

KIKAO KAZI CHA MAJAJI WAFAWIDHI CHAHITIMISHWA, JAJI MKUU ASISITIZA UTEKELEZAJI THABITI

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma amefunga kikao kazi cha Majaji Wafawidhi mwishoni mwa wiki iliyopita tarehe 11 Februari, 2022 huku akitoa rai kwa Majaji hao kutekeleza na kueneza . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

Naibu Rais William Ruto amewaka moto

Naibu Rais William Ruto amewaka moto baada ya Mwakilishi wa Wanawake kaunti ya Murang'a Sabina Chege kusema kwamba kiongozi huyo anafahamu vyema jinsi Jubilee iliingia mahakamaniAkizungumza wakati wa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

Uganda yazingatia kuwafunga jela wale wanaokataa chanjo ya COVID-19

Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Uganda yanakosoa sheria inayopendekezwa ambayo itawaadhibu watu wanaokataa chanjo wakati wa mlipuko wa maradhi wa hadi miezi sita jela.Wiki iliyopita, w . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

Baraza la mawaziri wa EAC laidhinisha DR Congo kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) iko hatua moja karibu na kujiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya baraza la mawaziri la eneo hilo kupitisha kujiunga kwake Mawaziri wa J . . .

Uwekezaji
  • Na JZ The Brand
  • February 11, 2022

Tanzania Yaunga Mkono Hifadhi Ya Ziwa Tanganyika

TANZANIA imeahidi kuunga mkono utekelezaji wa Awamu ya Pili ya Programu ya Kikanda ya Hifadhi ya Mazingiraya Bonde la Ziwa Tanganyika kutokana na umuhimu wa program hiyo kwa wananchi wa nchi nne . . .

Afrika Mashariki
  • Na JZ The Brand
  • February 11, 2022

Baraza la mawaziri wa EAC laidhinisha DR Congo kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) iko hatua moja karibu na kujiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya baraza la mawaziri la eneo hilo kupitisha kujiunga kwake Mawaziri wa J . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

Maboresho Kwenye Visima Vya Gesi Songosongo Yakamilika

. . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

Marekani yakemea jaribio la shambulizi kwenye uwanja wa ndege wa Saudi Arabia

Mshauri mkuu usalama wa kitaifa wa Marekani Jake Sullivan ameshutumu jaribio la shambulizi la drone la Alhamisi lililotekelezwa na waasi wa Houthi wanoungwa mkono na Yemen . Tukio hilo li . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

Aliyemnyima jirani kitanda cha kulala avunjiwa nyumba.

Mwanamme mmoja aliyefahamika kwa jina la Daniel Ooko Alego wa nchini Kenya amefikishwa Mahakamani kutokana na kujihusisha na tukio la wizi nyumbani kwa jirani yake ambaye alimnyima nafasi ya kulal . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 11, 2022

CCM wamjulia hali Prof. Jay

umemuona Ndugu yetu (Prof Jay) hali yake inazidi kuimarika, tumshukuru Mungu lakini niwashukuru madaktari kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kumhudumia, pamoja na mchango huu wa kuwezesha matatibu lak . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 10, 2022

Marekani yaomba Iran kufufua mkataba wa nyuklia kwa haraka

Ikulu ya Marekani Jumatano imeshinikiza Iran waziwazi kwamba ifufue kwa haraka mkataba wa nyuklia wa 2015, ikiongeza kwamba itakuwa vigumu kwa hilo kufanyika, wiki chache kuanzia sasa. . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • February 10, 2022

Magazeti manne yafunguliwa

Serikali imetangaza rasmi kuyafungulia magazeti manene ya Mwanahalisi, Mawio, Tanzania Daima na Mseto miezi kadhaa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aagize vyombo vya habari vilivyofungwa kufunguliwa . . .

Kilimo
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Ofisi ya Rais-TAMISEMI,Wizara ya Kilimo kuimarisha ushirikiano kuboresha kilimo nchini

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amesema wataendeleza ushirikiano na Wizara ya Kilimo ili kuhakikisha kuwa wanaimarisha Se . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

WILDAF,TGNP WASISITIZA UMUHIMU WANAWAKE KUENDELEA KUPATA NAFASI ZAIDI ZA UONGOZI

IMEELEZWA lengo la kufikia 50 kwa 50 katika uongozi na nafasi za kufanya maamuzi nchini litafanikiwa tu endapo wanawake zaidi wataendelea kupata nafasi za uongozi kuanzia katika vyama vya siasa, . . .

Uwekezaji
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Waziri Dkt Mabula Kuanza Ukaguzi Na Utambuzi Maeneo Ya Uwekezaji

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema wizara yake itaanza ukaguzi na kuyatambua maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji nchini.Dkt Mabula alisema hayo . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Utafiti: Samaki Wa Ziwa Victoria Hawajaathirika Kwa Zebaki

Waziri wa Nchin Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema tafiti zinaonesha samaki na dagaa wanaopatikana katika Ziwa Victoria hawajaathirika kwa zebaki.Am . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • February 9, 2022

Boaz Okoth Amtimua Spika kwa Utovu wa Nidhamu

Wawakilishi wadi katika Bunge la Migori (MCA) walimtimua Spika wao Boaz Okoth siku chache baada ya kukamatwa kwake. Jumla ya MCAs 46 walijitokeza kwenye kikao hicho, 11 walikosa kuhudhuria, wawili haw . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • February 9, 2022

Kilimanjaro: Nyumba 20 Zasobwa na Maji, Mmoja Afariki

MVUA  kubwa zilizoambatana na upepo mkali zinazoendelea kunyesha baadhi ya maeneo ya mkoa wa Kilimanjaro, zimeezua  mapaa na kubomoa nyumba  20 zilizoko katika Kijiji cha Munge  . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Milionea wa Czech aliyeendesha gari kwa kasi ya kilomita 417 kwa saa Ujerumani sasa anakabiliwa na mashtaka

Milionea kutoka Jamhuri ya Czech Radim Passer anakumbwa na uchunguzi wa ofisi ya mwendesha mashtaka wa Ujerumani.Mmiliki huyo wa gari aina ya Bugatti Chiron alichapisha video ya jinsi alivyoongeza . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Korea Kaskazini yajigamba kuwa na uwezo wa kuitikisa dunia kwa mamkombora yanayofika Marekani

Korea Kaskazini ilijigamba siku ya Jumanne kwamba ni mojawapo ya nchi chache tu duniani zenye uwezo wa kuweka silaha za nyuklia na makombora ya hali ya juu na ndiyo pekee iliyosimama kidete kwa "ku . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Marekani yatangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa Somalia

Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia.Hatua hiyo inawadia wakati ambapo Marekani inasukuma kufanyika . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

ATCL yaagizwa kufanya mapitio ya nauli zake

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeiagiza Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kufanya uchunguzi wa nauli zinazotozwa na mashirika washindani katika safari za ndani, na kuweka nauli ambazo zitawavutia . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Balozi Liberata Mulamula akutana na Wajumbe wa Timu ya Usimamizi wa Benki ya Standard Chartered

Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania, Balozi Liberata Mulamula (wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Timu ya Usimamizi wa Benki ya S . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • February 8, 2022

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Awapongeza Wajumbe Kamati Kuu Ya Taifa Ya Sensa Ya Watu Na Makaazi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewapongeza wajumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya watu na Makaazi kwa hatua waliyofikia katika maandalizi ya Se . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • February 8, 2022

Mabadiliko ya hali ya hewa kusababisa hasara ya kifedha kwa mataifa

Benki ya dunia Jumatatu imesema kwamba uchafuzi wa hewa mashariki ya kati pamoja na kaskazini mwa Afrika unasababisha hasara ya dola bilioni 141 za kimarekani kila mwaka.Kiasi hicho ni takriban as . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

WATUMISHI WAMPONGEZA WAZIRI JENISTA KUUNDA TIMU YA WATAALAM ITAKAYOPENDEKEZA MFUMO MPYA WA KUPIMA UTENDAJI KAZI WAO

Watumishi wa Umma mkoani Mwanza wamempongeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kwa hatua yake ya kuunda kikosi kazi maalum cha wata . . .

matukio
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Watu 22 mbaroni kwa tuhuma za mauaji Mbeya

Kufuatia kuwepo kwa wimbi la matukio ya mauaji jijini Mbeya, Jeshi la Polisi mkoani humo limewatia nguvuni watu 22 kwa tuhuma za kuhusika na vitendo hivyo, huku likitoa mwelekeo wa namna ya kumal . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

Mazungumzo ya nyuklia na Iran kuendelea Vienna

Mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran yanatarajiwa kuendelea tena Jumanne (08.02.2022) mjini Vienna, Austria baada ya kusitishwa mwishoni mwa mwezi Januari.Marekani imesema inawezekana mkata . . .

Kurasa 116 ya 123

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 9 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 9 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 10 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode